Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,293
Kipao mbele cha taifa kinatakiwa kuwa afya kwanza then elimu na sio kilimo kwanza, kwani bila afya uwez kulima, kusoma, kuomba miongozo bungeni n.k ~ Prof Mark Mwandosya
V
SENGEREMA
Naamini Elimu kwanza ndio sahihi, ukiwa na Elimu huwezi kutaka kumaliza malaria kwa kugawa vyandarua badala yake utapambana na kuondoa mazalia ya mbu!!