ameshakuwa gwanda huyo,ulimsikia mbowe juzi serena hotel?kipaumbele cha kwanza elimu,cha pili elimu,cha tatu elimu!kaaaaaaaazi kwelikweli!
Katika kile kinachoonekana kama ni kudharau au kupuuza kauli mbiu ya waziri mkuu PINDA, WM mstaafu Edward Lowassa akizungumza na jamii ya wafugaji Ifakara mkoani Morogoro, alisema waachane na kauli mbiu ya kilimo kwanza na wawekeze kwny ELIMU. TBC.
Inaweza kuwa kweli ila elimu ni ya muhimu zaidi coz unaweza kujilinda na maradhi na magonjwa mengi kama unaelimu
Katika bajeti ya Tanzania, tunaambiwa Elimu inaongoza kwa kupewa fedha zaidi ktk bajeti, hapa napata wazo la Elimu Kwanza (ili hali ubora bado duni), lakini upande wa pili, viongozi wetu wa juu serikalini wanatuhubiri Kilimo kwanza, hapa tena napata wazo la Kilimo kwanza (ili hali bado kilimo kinategemea mvua)
Mkanganyiko huu wa nini hasa ni priority number one, unatuchanganya na tunashindwa kujua nini hasa ni "Kwanza" hapa Tanzania, na wapi hasa wananchi waelekeze nguvu na rasilimali zao! Hii inapelekea kushindwa kuonesha ufanisi. Ni vizuri PRIORITY NUMBER ONE, ikaelezwa na vitendo endelevu vikafanywa!
Bajeti inaonesha Elimu ni ya Kwanza. Viongozi wanahubiri Kilimo Kwanza, Mtanzania anakoseshwa msimamo!
Hakuna Afya Bila Chakula!Na Chakula kinatoka Shamba!Kipao mbele cha taifa kinatakiwa kuwa afya kwanza then elimu na sio kilimo kwanza, kwani bila afya uwez kulima, kusoma, kuomba miongozo bungeni n.k ~ Prof Mark Mwandosya
V
SENGEREMA