Kikwete: In Black And White


Mkuu, tupe maoni yako ya ziada katika hayo niliyobold ili tupate uelewa wa juu.
 
Mkuu asante sana. Wengi sasa umetufumbua macho.

Je, kuna chochote unachofahamu juu ya watoto wanaodaiwa JK alizaa na wanawake wengine kama baadhi ya post zinavyojieleza?

wale watoto wake walioko tabata je?mbona hamwasemi wako watatu.mama yao alikuwa anaishi karatu ambaye pia alimtelekeza kwa mda na mama yule alimfungulia kesi,ilibidi Mkwere amtunze mpaka alipo fariki mwaka Juzi mwishoni.

Not only that yule mwanamke mtoto wa mfalme anamtoto mdogo wa kikwete i think the kid is about 5 years now.
 

Post yako nimeisoma mpaka palipoandikwa:
Source: Gazeti la Uhuru

Huko kwingine sijasoma kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
 
Faithful, umeiona post No. 88 ya Mlalahoi?
Nimeiona lakini sijaiona hy evidence inayosema anatembea na wanawake awape madaraka.kama wapo basi ni wachache sana hayo ya kusema ma dc wote na mabalozi wote wanawake wamempa nasema HAPANA na hao wanaume waliopewa madaraka halafu hawafanyi vizuri walitoa nini?acheni hizooo!
 

Muulize Kikwete aliyewaambia kuwa wakitaka kula lazima nao waliwe
 

Kagemro; hizi facts ni nzito sana . . .

Unaweza kutoa data za hao wa tabata na ni kipindi gani walizaliwa na wana umri gani?

Any details kuhusu mama yao alikuwa anafanya kazi gani enzi za uhai wake na alikufa kwa nini?

Kesi aliyomfungulia kuna details zozote?

Hii ya Mtoto wa mfalme: Please tunaomba details zaidi. Ni yupi, mfalme wa wapi? walikutana wapi na anaishi wapi nk.
 
Post yako nimeisoma mpaka palipoandikwa:
Source: Gazeti la Uhuru

Huko kwingine sijasoma kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!

Mkuu, unakosa mambo . . .

Pitia post zote. Kuna mazuri na mabaya.
 

Mkuu ninakubaliana na hoja yako kwamba siyo rahisi kwamba wanawake wote aliowateuwa amewapitia. Hii ni ngumu kuweza kuithibitisha, ingawa wapo ambao wamepitiwa na inajulikana wala sio siri.

Wanaume ambao amewateuwa siyo kwamba kuna kitu walimpa, bali walimsaidia katika kufanikisha azima yake ya kuwa Rais [huko ndiko unakoanzia mtandao - kumbuka jinsi wana mtandao walivyosambaratika wengine wakawa mtandao maslahi na wengine mtandao matumaini]. Kwa hiyo hizo appointments za wanawake/wanaume wengi wao wameshiriki kumsaidia kuingia madarakani. Ndiyo maana kila siku analia kwamba watendaji ni wabovu na huku akishindwa kuwawajibisha kwa kuwa hana ubavu wa kuwashughulikia maana wanaweza kumlipua ama kufichua uchafu waliofanya.

Je, wewe ulimfahamu Tom Mwang'onda kabla hajateuliwa na JK kuwa mbunge wa kuteuliwa? Uliwahi kusikia akishiriki siasa mahali popote? Ni kwanini alimteua? Je, alikuwa na sifa za kuteuliwa au ilikuwa ni kumpa ulaji ama kulipa fadhila za yaliyofanywa wakati wa kumuandaa JK kuingia madarakani?

Hakuna appointment ya JK inafanyika hivi hivi, ukichunguza behind the scene kuna key players ambao wanapeleka majina au wanapendekeza nani ateuliwe, na wengine ni wa kwake yeye mwenyewe JK. Upupu wa Salva uko hapa, ukiwa kama ushahidi wa watu waliofanya madudu na wakasahaulika kupewa ulaji na wakaanza kulialia kwamba wamesahauliwa.
 

Mkuu Sokomoko,

Mimi hapa ndipo ninapochoka kabisa, JK akipita huko kwenye kampeni anasema chama chake na serikali yake wamefanya hiki na kile. Lakini kukitokea mapungufu mnasema ni matatizo ya wasaidizi. Je, nani anateua hao wasaidizi? Mara ngapi baadhi ya wanachama wa CCM wamelalamika kwamba Makamba ameshindwa na kumuomba JK amtoe? Je, JK alisikia hicho kilio cha hao wanachama? Nani wa kulaumiwa hapo?

JK ni Rais ndio anateua mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya na vigogo wengine wa idara za serikali, kwanini hao watendaji wakishindwa kutekeleza majukumu yao anashindwa kuwawajibisha? Kwanini kama anaona wana kasoro au wameshindwa kutekeleza ipasavyo majukumu yao bado anaendelea kuwabeba, ina maana hakuna wengine wenye uwezo wa kufanya hizo kazi?

Kweli mwenye tatizo ni JK mwenyewe na sioni sababu ya kulaumu chama chake wala watendaji wa serikali, maana yeye ndio anawateua. Mfano kwenye Chama, yeye ndio anapendekeza nani awe Katibu Mkuu pamoja na makatibu wa Idara nyingine zote. Sasa kama Katibu amepwaya kwanini asimbadilishe?
 
Rev. Nchi fulani "Muhimu" ni UK na US tu? Mtafute Mlalahoi aje aweke mambo sawa.

Nimenong'onezwa ni Bal Majaar chakula ya Kiwete na mumewe mzee Sharif anajua hilo ndo maana naye alijirusha na yule mbunge wa Singinda! hizi habari hazina uhakika
 
Nimenong'onezwa ni Bal Majaar chakula ya Kiwete na mumewe mzee Sharif anajua hilo ndo maana naye alijirusha na yule mbunge wa Singinda! hizi habari hazina uhakika




Masanilo, Wabunge wa Kanda ya kati Singida ni Dewji, Msindai, Nyarandu na Missanga. Kuna wa kike? Diana Chilolo ni wa Viti Maalumu na hakuna kumbu kumbu zinazoonyesha alisoma UK. Kanda ya kati ni ipi? Au Dodoma?
 
Masanilo, Wabunge wa Kanda ya kati Singida ni Dewji, Msindai, Nyarandu na Missanga. Kuna wa kike? Diana Chilolo ni wa Viti Maalumu na hakuna kumbu kumbu zinazoonyesha alisoma UK. Kanda ya kati ni ipi? Au Dodoma?

lol .... Martha Mlata kasoma UK juzi juzi na alikuwa kwenye blogs kibao kila kukicha akifungua matawi ya CCM huko UK akishirikiana na aliyekuwa Balozi wa hapo aliyetajwa na Mchungaji Masanilo. Kwa hiyo kama Mbunge wa Viti Maalum kutoka mkoa wa Singida aliyesoma UK, basi jibu ni hilo mkuu wangu.
 
=======

Na huyu Mama Mlatta alikuwa anaolewa Karagwe-Kagera kwa Prof Runyoro wa UDSM. Aliachwa akawa anafagia kanisa pale Azania Front na baadaye kuimba kwaya. Alitoa CD moja ndiyo ikamweka chati, Mkwere akamuona. Akavutwa sketi mpaka viti maalum. Hivi sasa anakula kuku kwa mrija. Mmewe waq zamani alirudi kumktaka warudiane akarusha, na yeye akagoma kutoma makaratasi ya talaka, kwa hiyo Mkwere anakula lakini hana ruhusa ya kumiliki asiye kufunguliwa mashtaka. Amekaa sana London mwaka jana akisoma kwa sababu elimu ya awali sidhani kama ilikuwa zaidi ya shule ya msingi. Ila na miguu ya kunywea bia ndo maana mkwere aligwaya. Salma hampendi huyo si haba.
 
JK and CCM have managed to steer this country towards peace, harmony and prosperity. Vote CCM, Vote JK!
The opposition folks in this country are full of tribalism, xenophobia, jealousy and racism. When foreigners in this country become successful after years of hardwork and perseverance, majority of you keep on blaming them for bribing the corrupt incumbent politicians, which is absolutely not true! Remember it takes two to tango! In addition, this is a democratic country and therefore you can throw out the party in power through the ballot box. CCM has proved time and time again to be the choice of the majority Tanzanians since independence. Stop whining and being lazy. Work hard and avoid Xenophobia.
Vote CCM, Vote JK:A S 100:
 
Wow!! Even Raj Jr. is in the house. Welcome aboard man. Whatever became of Raj Patel Sr.?
 
Wow!! Even Raj Jr. is in the house. Welcome aboard man. Whatever became of Raj Patel Sr.?

Duhh nilifikiri hujamuona........maana nilikuwa nakuletea hii quote hapa chini

.....hapa inabidi aje na Mkuu Njabu ndio timu itatimia................
 

Mkuu Bongolander, kudanganya ni dhambi, na sidhani kama unataka dhambi hizo tu kwa kutaka kuonyesha uongo. Haiwezekani wazo la kuanzisha Chuo cha Dodoma alitoe Kikwete, halafu useme kuwa kila kitu kilipangwa awamu ya tatu. Inaanza mipango ndio kije chuo, na kama ilianza mipango, ningesema ni Mkapa. Kwa nini kama kafanya Mkapa nikatae, sihitaji dhambi ya uogo, kama kujidanganya nafsi yangu kwa kitu kilicho wazi. Kikwete alilitangaza hili katika kampeni, na haikuwa katika ilani ya CCM. Akasema akiwa Rais atajenga Chuo Dodoma, na kwa kuanzia atatumia majengo ya Chimwaga.

Nitazungumzia uwanja wa Taifa, huu ulianza awamu ya tatu, na ukaisha wakati wa Kikwete ni Rais, huwezi sema kuwa wazo la uwanja wa Taifa lilitoka kwa Kikwete. Pia daraja la Mkapa kama unalijua, wazo halikuanza awamu ya nne, bali awamu zilizopita. Hivyo kwenye ukweli tuwe wakweli, na katika uongo tujitenge nao.
 
Mkuu asante sana. Wengi sasa umetufumbua macho.

Je, kuna chochote unachofahamu juu ya watoto wanaodaiwa JK alizaa na wanawake wengine kama baadhi ya post zinavyojieleza?

Kwa watoto wengine kwelisijui, lakini wanaosema kuna watoto wangetaja majina ya hao watoto na Mama zao. Kwa nini wanaficha, hapa tuwe wawazi na wakweli. Kama unajua mtoto wa JK yuko Magomeni, unamficha wa nini, kumficha ni ufisadi wa nafsi, na kusema yuko wakati hayuko ni uongo wa kifisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…