Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
Yote haya si kweli UDOM ni MKAPA
BRT ni awamu ya tatu
Daraja la Kigamboni awamu ya tatu
MPASUKO WA ZANZIBAR wameuziba wenyewe, kwa kuwa wanaogopa moto wa CUF
CCM haina demokrasia ya kweli, Muulize Mangula, Bashe, na wengine wengi,
Sheria ya madini bado iko ovyo
Unajua ni kwanini wanawake wengi wameongezwa kwenye nafasi za uongozi? kweli wana uwezo wa kuongozwa, mbona wenye uwezo wa kuongoza wako pembeni?
Mkuu mbona TAKUKURU iko ovyo na wote tunajua, inaweza kwenda kumkamata RA, EL au Chenge?
Uhuru wa habari wa magazeti ya shigongo si uhuru, au wa FM stations si uhuru
Mkuu JF si ya watoto tunaangalia nchi yetu inavyokwenda.
Oooh my Gosh! Maumivu ya Kichwa huanza taratibu