Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
Akiwa waziri wa fedha aliunda tume ya kuchunguza matumizi mabaya aliyokuwa amefanya Kigoma Malima, enzi hizo za Mzee Rksa KM alikuwa haambiliki lakini JK alitoa findings za tume yake na kumfukuzisha kazi Malima. Inasemekana hata fedha za Malima zilizokuwa nje alizifreez na ikawa chanzo cha kifo chake. Hicho peke yake ndio kilichompa umaarufu kwa Watanzania.
Sijui kwa nini alishindwa kukamata za kina Chenge na za Epa.
Mkuu, hii ya Malima unaweza kutupatia data zaidi?