Superman
R I P
- Mar 31, 2007
- 5,693
- 1,707
Mimi nimepata kumsikia mtu mzima na asie na hiyana anasema alikuwa na JK mlimani and he was one of the best students academical tangu siku ile namheshimu kwa mambo mawili moja elimu yake na ni rais wa nchi yangu. Ametumiaje elimu yake kwa Taifa labda ndio swali linaloniumiza kichwa... na JK yeye kama yeye sio mtekelezaji wa uchaguzi hapa naona matatizo yapo kwa wasaidizi wake na labda chama chake I am sorry kama nitakuwa nimetumia maneno yasiyofaa.
Kwa maswala yake binafsi kila mmoja wetu ana hulka yake. Hulka ni tabia isiyobadilishika kuna watu ukiwaona kama wanalia... hata awakiwa na furaha..kuna wengine kama wanacheka kumbe wanahuzuni. Kuna wengine wachamungu lakini wafiraji/wasagaji kuna wanaoonyesha wazi kuwa watu watotoz/wanaume kunawanaoficha kwa siri kubwa lakini mwisho wa siku ukichukua idadi ymathalani ya wanaojionyesha wameshatembea na totoz ngapi na wale wanaofanya siri unaweza kupata presha wa siri ikawa mara kumi ya wadhahiri.
Na ushauri mdogo tu msipende maneno ya kusikikia sikia mara nyingi hukuzwa kuliko yanavyotakiwa kuwa.
Mkuu, tupe maoni yako ya ziada katika hayo niliyobold ili tupate uelewa wa juu.