Kikwete: In Black And White

Kikwete: In Black And White

Nilisema zamani, safari zimeanza siku nyingi. Sasa JU imekuwaje ametoswa? Si walipatana sana? Mbona imebadilika?

Nini kiketokea tangu miaka hiyo ya 70 mpaka leo?
 
Nilisema zamani, safari zimeanza siku nyingi. Sasa JU imekuwaje ametoswa? Si walipatana sana? Mbona imebadilika?

Nini kiketokea tangu miaka hiyo ya 70 mpaka leo?

kumbe huyu ni JU na aliwahi kuwa karibu na kikwete?
 
kumbe huyu ni JU na aliwahi kuwa karibu na kikwete?

JU anajulikana kwa uwezo wake mkubwa sana na upembuzi wake yakinifu....mtafute atakupa historia yake alimopita hata BWM anamjua kuwa jamaa kichwa sana sana....classmate wa Zakia Meghji na wengineo wengi wanamjua....ila ana misimamo mikali tangu enzi....ndio maana wanamtosa...BWM aliwahi mpa ikuu wilaya jama akakataa.....alipewa singida...na aliwahi kuwa team member kampeni BWM
 
ju-jenerali ulimwengu,na hyo thread ya makala aliyoiandika kwenye gazati lake la raia mwema mara tu baada ya jk kuingia ikulu
 
Mahudhui ya hii hadithi ni kwamba, kama mtu hawezi kuitunza passpoti yake, je anawejaze kuitunza nchi? Hizi ni ishara za udhaifu. Tangu utotoni jamaa ni dhaifu? ama kweli dhaifu ni dhaifu tu
 
JU naona ile skendo ya Uraia ndo ilimsumbua hasa kipindi cha BWM ingawa alimuoa mchagga na kuwa Katibu wa Vijana Africa Mkuu wa Wilaya ya Ilala
Nakumbuka wakati wa vurugu za Rwanda kabla hata ya kifo cha Habyarimana walianzisha gazeti la Rai na Mnyarwanda mmoja na likavuma lakini jina la Gazeti na Rwanda vikatia .... Tuyaache nani asiyejua mabwepande
 
Simulizi nzuri....imeonesha jinsi kijana innocent aliyejawa na ari pamoja bashasha tele......before and after

What went wrong?
 
AMARIDONG Kitu ambacho wengi huwa hawaelewi ni kuwa change hutokea kila mara na kwa kila namna pia kwa kila mtu tokana na mazingira mbali mbali. Hilo swali lako ni sawa na kuuliza kuwa wasomi wa hapa nchini wapo wapi? Inakuwaje kuwa pale wanafunzi wa Elimu ya juu tunapokuwa campus huwa tunazungumzia uozo na uhalifu wa Serkali pamoja na viongozi wao but still tukiwa katika jamii tunakuwa maradufu ya hao waliopo katika uongozi?? Swali linabaki... Is it the system, Is it the Leadership or is it "US"? The whole of US?

Uzalendo ndio msingi wa kuweza weka mambo sawa katika levo ya uongozi na wananchi wake... na HUWEZI pima uzalendo wa mwananchi awapo chini, maskini na hana kitu (for hawa watu tuna one thing in common; Maisha ambayo si ya kuridhisha) The same people ambao wakija kuwa weloff wanasahau walikotoka na their fellows who could not make it and desperately need to be represented by them....
 
Last edited by a moderator:
lakini kumbukumbu zinaonyesha ju alishawahi kuwa mkuu wa wilaya kadhaa hapa nchini na mara ya mwisho alikuwa mkuu wa wilaya ya ilala kabla ya kuingia katika ujjasiliamari wa kuanzisha vyombo vya habari
 
lakini kumbukumbu zinaonyesha ju alishawahi kuwa mkuu wa wilaya kadhaa hapa nchini na mara ya mwisho alikuwa mkuu wa wilaya ya ilala kabla ya kuingia katika ujjasiliamari wa kuanzisha vyombo vya habari

JU alikuwa serikalini. Alikuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Wakati wa kuanza kwa vyama vingi wakuu wa wailaya ndio walikuwa wakitoa vibali vya mikutano ya vyama basi akawa anatoa vibali bila kinyongo wala uoga na tukawa tunafanya mikutano kwa kujinafasi. Serikali kuona hivyo ikamhamishia Singida; akaachana na ukuu wa wilaya na kujianzishia gazeti la Dimba akiwa na wenzake toka magazeti ya uhuru na mzalendo.
 
JU alikuwa serikalini. Alikuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Wakati wa kuanza kwa vyama vingi wakuu wa wailaya ndio walikuwa wakitoa vibali vya mikutano ya vyama basi akawa anatoa vibali bila kinyongo wala uoga na tukawa tunafanya mikutano kwa kujinafasi. Serikali kuona hivyo ikamhamishia Singida; akaachana na ukuu wa wilaya na kujianzishia gazeti la Dimba akiwa na wenzake toka magazeti ya uhuru na mzalendo.

Hao "Wenzake" ni pamoja na marehemu John Rutayisingwa, , akina Dr. Gideon Shoo na Bwana Johnson Mbwambo ambaye wako wote mpaka sasa pale Raia Mwema
 
Ninachofahamu kwa dhati ni kwamba Mama Salma sio Mke wa Kwanza Wa Rais Jakaya Kikwete.

Mama huyu (ambaye kwa Taaluma ni Mwalimu) ameolewa rasmi kati ya miaka ya mwisho mwa 1980 wakati huo Rais Kikwete akiwa Waziri Wizara ya Madini,nakumbuka kwenye Harusi hiyo Juwata Jazz walitumbuiza na nilisikia Kiongozi wa Bendi hiyo Mzee Muhidin Ngurumo ana undugu wa karibu ama na Rais au Mkewe. Kipindi hicho cha harusi watoto wa Rais, Ridhiwan na Salama walikuwepo. Mkuu wa Nchi alifanya Harusi hiyo pale nyumbani kwake Regency Estate.

Katika kuandika haya tujaribu kuepuka kejeli na lugha za matusi, vinginevyo thread itaondoa maana yake. Heshima ni kitu cha bure!

Hapo kwenye Red, Mzee Gurumo (Maalim Gurumo) miaka yote ya 80 hakuwahi kuwepo Msondo, alitoka Msondo mwishoni mwa miaka 70 na kuanzisha Bendi Mlimani park Orch. then mwaka 1984/5 alikwenda OSS almaarufu kama Ndekule then 1990 alirudi Msondo, so aidha Mama Salma aliolewa mwaka 1977-1978 au 1990 if not, Maalim Gurumo alikuja kama wageni wengine while Msondo wakitumbuiza.
 
Hao "Wenzake" ni pamoja na marehemu John Rutayisingwa, , akina Dr. Gideon Shoo na Bwana Johnson Mbwambo ambaye wako wote mpaka sasa pale Raia Mwema

Mkuu Idimi kumbe unamkumbuka John Rutayisingwa (RIP) na hadithi zake za Jamhuri ya Ukenge kwenye gazeti la Rai!
 
Last edited by a moderator:
Roger that Pasco.

Pia Superman, ungetuelezea ni jinsi gani wewe unamjua Kikwete ( Kama Raisi na kama binadamu wa kawaida). Ungeanza kwa mazuri (kama ulivyofanya) kisha ukamalizia na udhaifu wake alafu sisi wadau tungemalizia tunayoyajua. Ila kwa kutupa habari kutoka UHURU (Gazeti la chama) na Wikipedia, unatuweka katika wakati mgumu kwani hatujui hata unachotaka sisi tuonge ni nini.

Hiyo CV ya wikipedia ni wazungu waliandika wakati wanamwintroduce kwa audience ili aombe pesa za vyandarua.
 
Jile79, share na sisi kwa nini CV iliyobandikwa hapo si ya maana?

Sidhani kama hii CV ni ya ukweli kwani nimegundua makosa fulani e.g. kwenye watoto. Kikwete ana watoto zaidi ya 9. Kuna yule ambaye ni mwanasheria wa serikali (jina nalihifadhi), kuna kama wanne hivi ni wadogo ambao hata hawajatimiza umri wakuingia darasa la kwanza. Sasa kuchanganya na hao wengine wanaofahamika nafikiri hawapungui 15. Sijui kama aliyeandika hii CV alipewa data sahihi au labda aliambiwa aandike hivyo. Either way kama tayari kwenye kitu muhimu kama familia wamechemsha je huko kwingine si lazima kuna ulakini? All in all CV hii haijamsaidia chochote kwenye utendaji- mwenye macho aambiwi tazama.
 
Kikwete ana watoto nane kama ifuatavyo:-

Mke wake wa kwanza Marehemu, Mama Aziza Sabuni alikuwa na watoto wawili, Ridhiwani na Salama.

Mke wake wa pili, Mama Salma (ambaye alimuoa baada ya mke wa kwanza kufariki) ana watoto Miraji, Ally, Khalfan, Mwanaisha na Rashid ‘Chodo’.

Mtoto wa nane ni wa kuasili, alimchukua akiwa mdogo wakati huo pia akiwa Rais na kumfanya ni mwanae, ni mtoto yatima.


Si kweli Kikwete ana watoto nane; tuseme tu ana watoto nane anaowatambulisha lakini wapo zaidi ya nane. Kuna mmoja anaitwa "Mapinduzi" yeye ni mtu mzima na ni mwanasheria wa serikali. Huyo watu wengi wa system wanamjua sana tu. Kikwete ana watoto wengine wadogo (sio watu wazima); singependa kutaja majina lakini mama zao wako mikoani e.g. Iringa.
Na kuna tetesi kwamba hao watoto anaowaita waku-adopt ni wakwake alizaa na mama wa Kihaya. Hili sina uhakika nalo lakini ndivyo inajulikana na wengi. Inawezekana baada ya-kukana/kukataa kuwatambua hao wengine; kumefanya watu kutilia mashaka hao anaoita wakufikia (not sure). Nilicho na uhakika nacho ni kwamba ana watoto zaidi ya kumi na tano.
 
Mnyika = Pasco.....wote wanamtzamo sawa...kumbe Pasco ndo mwasisi wa kumkosea heshima rais.....wapi Job Ndugai

Hongera Super Man, unafanya kazi nzuri, ili usiishie kwenye kupitisha ufagio peke yake kwa kufagilia tuu, baada ya kufagia, sio vibaya ukachoma na takataka pia, ili kuuhalalisha huo usafi ulio ufagia, sio mbaya ukasema na uchafu uliosafishwa.

The guy is good, ila binafsi nina mashaka na intelect yake, kugraduate sio issue enzi za Nyerere, GPA jee?.
Wizara zote alizopita alifanya nini na aliacha nini cha kukumbukwa (kila kona alipitia, kila kilichokatiza mbele ya macho yake ali...!)

He is married to Salma na wana watoto 8!, find out hao watoto 8 kama mama yao ndio huyo! you'll be surprised!.

Kufagilia tufagilie, lakini hapa JF, twende deep zaidi kidogo kwa kwenda over and above google na wikipedia, kwa vile JK ni rais wetu, tunaishi nae, tunamfahamu kwa karibu his streghths ni katika kusmile, na weaknesses zake jee?, yeye ni binadamu tuu kama binadamu wengine, tena dhaifu sana, sio tuu kwenye mambo ya kitaifa!, jamaa ni dhaifu!...

Tuendelee na kufagilia.
 
Back
Top Bottom