Kikwete hunywa guiness moja kila siku

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?
 
hiyo guiness ni soda?
 
Hata kama hanywi ina msaada gani? Lete mada zenye manufaa kwa umma!
 
Ndugu yangu hii nimeipata kutoka kwa source za ndani...presidential vallei....rais kunywa pombe kali kama guiness huenda ikaathiri utendaji kazi wake je tija kwa taifa itakuwepo utendaji kazi wa rais ukiathirika? mbona hufikiri vizuri ndugu yangu?
 
wewe unayesema street gossip unauhakika? mimi mimejua kutoka source za ndani za ikulu...mi ninavyofahamu unywaji wa pombe ni hatari kwa afya...je afya ya rais ikihatarishwa hiyo ni tija kwa taifa?
 
Ah!.. Hivi hili nalo ni la kujadiliwa na great thinkers??
ulevi kwa kiongozi ni tatizo....hujamsikia yeye mwenyewe akiwakemea mawaziri wake kule dodoma kwenye semina elekezi part II????aliwaambia mawaziri waache maisha yao ya awali....ikiwemo kunywa pombe.....
 
kwa nini anywe bia moja,hayo matatizo ya hiyo hako kabia kamoja atalala?
anatakiwa anywe tano na kuendelea ili apate usingizi
 
kua na rais mlev pia ni tatizo

Ndugu yangu hii nimeipata kutoka kwa source za ndani...presidential vallei....rais kunywa pombe kali kama guiness huenda ikaathiri utendaji kazi wake je tija kwa taifa itakuwepo utendaji kazi wa rais ukiathirika? mbona hufikiri vizuri ndugu yangu?

ulevi kwa kiongozi ni tatizo....hujamsikia yeye mwenyewe akiwakemea mawaziri wake kule dodoma kwenye semina elekezi part II????aliwaambia mawaziri waache maisha yao ya awali....ikiwemo kunywa pombe.....

According to mleta mada yeye hunywa bia moja kwa siku. Bia moja kwa siku nayo ni ulevi???
 
Kuna maisha mengine ni personal sana kwa sisi Raia kuingilia huo ni uhuru wake ..mwacheni anywe vyovyote vile anavyotaka kwa sababu ni maisha yake binafis...kilio chetu kiko katika misimamo yake na maamuzi pia nchi inangamia hii
 
Back
Top Bottom