Kikwete hunywa guiness moja kila siku

Nini guiness, chairman wa chama chetu kile na mkuu wa kambi fulani kule mjengoni anakula ndumu bin msuba !
 
Ndugu yangu hii nimeipata kutoka kwa source za ndani...presidential vallei....rais kunywa pombe kali kama guiness huenda ikaathiri utendaji kazi wake je tija kwa taifa itakuwepo utendaji kazi wa rais ukiathirika? mbona hufikiri vizuri ndugu yangu?
Kwani tatizo liko wapi, mbona Chenkapa alikuwa akinywa Konyagi? Chapa lapa gtna hoja.
 
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?

viongozi wa nchi nyingi duniani hupiga kinywaji.
Sarkhozy=varieties of Cognac spirits
Obama= Corona Light
Bush=Jim Beam/Jack Daniels (lakini aliacha mitungi on his 40th birthday)
Kim Il Jong=Hennessy
Saadam Hussein=Johnnie Walker (Black label)
Saudi King=Hennessy
Mkapa=variety of beers
Gadhafi=sauvignon wines
Berlusconi=Cinzano
Putin=Greygoose Vodka
Hu Jintao=Sake beer

sasa kama mkuu wa kaya anagonga Guiness basi shega tu
 
wataalam wa kilaji guiness .......sio pombe??????????
 
viongozi wa nchi nyingi duniani hupiga kinywaji.
Sarkhozy=varieties of Cognac spirits
Obama= Corona Light
Bush=Jim Beam/Jack Daniels (lakini aliacha mitungi on his 40th birthday)
Kim Il Jong=Hennessy
Saadam Hussein=Johnnie Walker (Black label)
Saudi King=Hennessy
Mkapa=variety of beers
Gadhafi=sauvignon wines
Berlusconi=Cinzano
Putin=Greygoose Vodka
Hu Jintao=Sake beer

sasa kama mkuu wa kaya anagonga Guiness basi shega tu
 
wewe unayesema street gossip unauhakika? mimi mimejua kutoka source za ndani za ikulu...mi ninavyofahamu unywaji wa pombe ni hatari kwa afya...je afya ya rais ikihatarishwa hiyo ni tija kwa taifa?
Mh najua alikuwa ni mtu wa wines sana grants mara chache na nakumbuka one time tukuwa mnadani Dodoma akiwa waziri 2001 alikuwaanakunywa castle na pale mtaa wa usino opposite na home kwake ilikuwa Greem Paladium siku hizi wapo chines alikuwa anakunywa santiana wine.
 
viongozi wa nchi nyingi duniani hupiga kinywaji.Sarkhozy=varieties of Cognac spiritsObama= Corona LightBush=Jim Beam/Jack Daniels (lakini aliacha mitungi on his 40th birthday)Kim Il Jong=HennessySaadam Hussein=Johnnie Walker (Black label)Saudi King=HennessyMkapa=variety of beersGadhafi=sauvignon winesBerlusconi=CinzanoPutin=Greygoose VodkaHu Jintao=Sake beersasa kama mkuu wa kaya anagonga Guiness basi shega tu
Mkuu, Mkapa alikuwa anakunywa konyagi na mdudu mbaya kabisa.That guy was something else kwenye konyagi, mizinga miwili in one sitting ni kawaida sana.
 
Hii nchi ishakuwa ya wale wenye mrengo wa siasa kali za kidini sio? wewe yeye kunywa bia inakuhusu nini au ashakuwa mfaadhina kwako weye! Peleka ushambeka wako huko!
 
Nini guiness, chairman wa chama chetu kile na mkuu wa kambi fulani kule mjengoni anakula ndumu bin msuba !
Kama msuba ndo unamfanya awe na uwezo alonao wa kuwalaza macho wazi watu wa lumumba, basi natoa rai kwa wananchi wote watumie ndumu!
 
Tafsiri isiyo rasmi ya Guinness:G= GirlsU= UnderI= ImproperN= NakednessN= NeverE = EnjoyS= SeriousS = SexSasa sijui kama unywaji wa mukulu una uhusiano na hilo
 
Wadau ningependa kufahamishwa nimesikia kikwete hanywi pombe yoyote isipokuwa chupa moja ya guiness kwa siku, je ni kweli? watu wengi huona pombe ndio starehe inayoweza kuwatuliza baada ya majukumu kumbe naye ni mwenzetu?

Hivi ni kweli tumeishiwa ya kujadili hadi tunajadili kinywaji anachokunywa JK? Jamani tuna mengi ya kujadili kwa manufaa ya taifa na si hili la Kikwete anakunywa au hanywi ni nini! Tuna masualaya uhaba wa chakulauliokumba baadhi ya maeneo hapa nchini, kuporomoka kwa thamani ya sarafu yetu kunakoongeza ughali wa bidhaa na kuongeza ugumu wa maisha, masuala ya bunge kuendeshwa kishabiki zaidi kama timu za Yanga na Simba na nchi kuvamiwa na virusi vya ufisadi kiasi cha kutishia nchi kufilisika. Ni kweli yote hayo na mengine kibao hayatutoshi mpaka tuanze kumjadili JK kama anakunywa chai, Konyagi au Guiness wakati hiyo ni starehe yake binafsi ambayo ni haki yake kimsingi? Mijadala kama hii inampa JK na CCM yake likizo dhidi ya kuandamwa kwa madhambi yanayofanywa na serikali na chama chake.
 
Kama msuba ndo unamfanya awe na uwezo alonao wa kuwalaza macho wazi watu wa lumumba, basi natoa rai kwa wananchi wote watumie ndumu!
Nasikia kitu cha Kishimundu balaa kinazidi kile cha Kibosho bande za kina Mallya
 
Back
Top Bottom