Kweli kabisa!...ni sawa na wabunge wa CDM walivyotoka bungeni...ni usanii tu!!Hata aliposhika madaraka alifanya hivyo. Hakuna jipya
Watanzania wenzangu tafadhali mnyonge mnyongeni lakini haki yake mwachieni. Kwa hili jambo alifanyalo Jakaya la kupita mawizarani na kuangalia ufanisi wa kazi anastahili pongezi kubwa sana. Watendaji ndiyo wamekuwa wakimuangusha JK na sasa kaamua kuwavalia njuga, nina imani kubwa kwamba hali ya utendaji na uwajibikaji itabadilika kwa kiasi kikubwa.
Nimeona kwa kifupi, TBC walikuwa wanaonesha kwa ufupi ziara ya JK kwa wizara mbalimbali, aisee huyu Mr angekuwa mkali namna hii siku zote nchi yetu ingekua mbali, waziri wa uchukuzi alikua anampiga longo longo za kitoto jamaa akamkatisha katikati ya speech halafu akatema madini ya kutosha, yaani hadi ananifanya nijiulize mara mbili mbili hivi anafanyaga makusudi tu kuwabeba watu wasio na tija au?
Kitu gani kimemsukuma sasa amewawakia, yaani sijui kama hili baraza litamaliza 5 yrs
sijawahi ona msanii ambaye hana mchezo
Kwani kaanza leo kuwakia watu kwenye TiiVii?? Aliwawakia akina Mramba na EPA halafu akaenda kumnadi rombo :ballchain:
Naendelea kushangaa maoni ya great thinkers. Very funny.Huyu changa la macho tu, Hana lolote. anatafuta mbuzi mwingine wa kafara ili aonekane msafi. kama alivyofanya kwa Dani yona na Mramba! ila mi namuona ni kama mtu anayenuka jasho afu anajipulizia pafyum, wakati dawa yake ni kuoga tu!!
Ni usanii tupu. Labda zaidi kujikosha.
Ishu za kuwakoromea mawaziri wake zilitakiwa ziwe zimefanyika kwenye vikao vya baraza la mawaziri. Hapa anawadanganya wasioelewa utendaji wa serikali. Istoshe angeliwafukuza kazi mawaziri wanaochemsha. Anaendelea kuuonesha ulimwengu kuwa ameimudu sanaa.
sijui ngoja niendelee kumcheck hizi siku mbili tatu, blv me jamaa alikua hackeck na mtu, kawaka sana, waziri wa nishati alikua anatetemeka tu, ile haikuwa sanaa jamaa alim-mind sana yule waziri, dizaini alitaka kumchakachua halafu Kikwete akashtukia issue dah ilikua mara ya mwisho nimemuona Kikwete kachukia vile ni ile siku ya mgaya wa walimu
Watanzania wenzangu tafadhali mnyonge mnyongeni lakini haki yake mwachieni. Kwa hili jambo alifanyalo Jakaya la kupita mawizarani na kuangalia ufanisi wa kazi anastahili pongezi kubwa sana. Watendaji ndiyo wamekuwa wakimuangusha JK na sasa kaamua kuwavalia njuga, nina imani kubwa kwamba hali ya utendaji na uwajibikaji itabadilika kwa kiasi kikubwa.
Jamani hebu tukatae umbumbumbu na tuwe wa wazi, hakuna management style wala case study iliyoonyesha hicho anachofanya kimewahi kuleta mabadiliko yoyote wala ufanisi.Tuacha kuleta siasa kwenye swala la science, swali kuu nini lengo la ziara hizi? pili ningemshauri kama ni matembezi ya kawaida basi asikilize zaidi na asijabu kutoa ama kushauri nini kifanyike kwa sasa kwa lengo la kupata media attention. Natumaini ana washauri wake basi wachukue notes, atafanyia kazi maelezo anayopewa wakati huo yakiwa yamejumuisha na taarifa ya uchunguzi ya anachoambiwa ndipo aseme analosema. Sitaki hii style yake peke yake inayozidi kuonyesha udhaifu wake haipendezi na ashauriwe na wahusika kwamba muda wa campaign umeisha. Hawa mawaziri si watendaji, hawana uwezo, wanajua hawajachaguliwa kwa uwezo bali kwa mahusiano zaidi, wenye uwezo wakina magufuli ndio hao yeye mwenyewe aneyewakata mikono sasa hiyo ni nini? Mi nashauri hiki kipindi cha mwisho aache u rafiki na mambo ya kusema huyu si mwenzetu, badala yake atafute watanzania wenye uwezo wamsaidie walau anapoondoka awe ameache 'legacy' kipindi chake cha kwanza ameshindwa kabisa kuonyesha lolote zaidi ya kuboronga, awamu ya pili mwaka umeshakatika hajaanza hata kutoa vision yake maana hiyo ya ari zaidi.... tayari imekufa kabla ya kuanza maana huwezi kuwa na zaidi pasipo 'mpya' kwanza.
Watanzania wenzangu tafadhali mnyonge mnyongeni lakini haki yake mwachieni. Kwa hili jambo alifanyalo Jakaya la kupita mawizarani na kuangalia ufanisi wa kazi anastahili pongezi kubwa sana. Watendaji ndiyo wamekuwa wakimuangusha JK na sasa kaamua kuwavalia njuga, nina imani kubwa kwamba hali ya utendaji na uwajibikaji itabadilika kwa kiasi kikubwa.
sijui ngoja niendelee kumcheck hizi siku mbili tatu, blv me jamaa alikua hackeck na mtu, kawaka sana, waziri wa nishati alikua anatetemeka tu, ile haikuwa sanaa jamaa alim-mind sana yule waziri, dizaini alitaka kumchakachua halafu Kikwete akashtukia issue dah ilikua mara ya mwisho nimemuona Kikwete kachukia vile ni ile siku ya mgaya wa walimu
<br />Kikwete hana tofauti na <font color="blue">Theodore "T - Bag" Bagwell</font> wa kwenye Prison Break maana ana character kama za huyo jamaa