Jamani eeh. Majadiliano ya cabinet yanapitia Cabinet Secretariat. CS ndio secretary mwenyewe and also head of the Civl Service. Sasa kama Rais huwa anapata habari zilizo chakachuliwa.. Muacheni afanye ziara kama anaona zitasaidia. Atakama ni vitisho tuu hivi vitisho vitasaidia. CHADEMA na maandamano yamemtishia yeye na yeye anawatishia kina Ghasia. Nachowaambia nikuwa huyu jamaa kuna uwezekano akawapoteza kina Lowassa vibaya sana. Ndio hawatoenad jela, lakini kwa jinsi watu wanaomjua kiundani wanasema... he is fighting them kichinichini na japokuwa wananguvu sana kwa pesa zao. Jama anan'gata na kupuliza ila siku zake zitakapo isha Magogoni hamna anaejua atakacho fanya huyu mtu. Msimponde akinfaya jambo zuri.. Hii sinema bado sana inabid tuendee kuangalia... Stering Bado ata hajajulikana kama ni Watanzania, JK, Lowassa, SLaa, 6, Magufuli, Freeman (supporting actors: Pengo, Mufti Simba, Kina Mdee, Zitto, Malisa) (Extras kina Kubenea, Mwanakijiji, wahadhiri mbali mbali [im sure they wont appreciate being in the same group as kina Mwanakijiji but what I mean is really old and new media and academia]) Ndio kwanza dakika 2 za movie...