pole ehBinafsi nimefunga duka langu , kiroho safi nimepeleka barua TRA yakuwajulisha kuwa mimi si mlipa kodi tena, eti ofisa wa TRA anasikitika tumepoteza mlipa kodi, nikamwambia kaka wewe pia unaishi mtaani hali si unaiona! hali ni ngumu jamani, but bado naamini ni kipindi cha mpito labda few year to come mambo yatabadilika
pole eh
Acha unafiki wako wewe[emoji16]Aaah mbona mimi naona maisha yamekuwa mepesi sana kipindi hiki cha Magu? Au labda kwa wapiga dili ndio mambo tight.,
Aaah mbona mimi naona maisha yamekuwa mepesi sana kipindi hiki cha Magu? Au labda kwa wapiga dili ndio mambo tight.,
Mchawi mkubwa ww,mnfyuuuuu....!!!!Jpm ndio mzuri zaidi ya jpm heshima inaonekana mtaani napenda sana watumishi wa serikali wanavyolia njaa, natamani jpm akaze zaidi
Kweli kaka siku hizi mambo yamekuwa magumu sana, huyu msukuma wa chato anatupelekesha sana, yaan dili za pesa hazitembei kabisa yaanChonde chonde baba yetu sio wote tuliokuona mbaya wengi tunakukumbuka baba. Semasema kidogo tunakufa na hali ngumu ya maisha duu!! Uuwi tunaipata mbaya biashara ndo usiseme haziendi tumenyooka mbaya..
Umenukuu bandiko langu na mwishoni ukaweka alama ya kuuliza kuonyesha kwamba unahitaji kujibiwa.Kama hujaelewa unaachana nayo unafanya ishu zingine, Hilo swali sio Compulsory kuwa lazima uelewe au ujibu kama vile upo Kwny Mtihani!
Interval ya mimi ku post na wewe ku reply ni chini ya dakika kumi lakin wewe umeweza kutumia zaid ya dakika 10 kuisoma kabla huja reply!!
Kijana nakuona unaisoma namba na JPM!!!Hatari sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha uongo mbona jana umekuja home kuniomba chumvi
Watu wa ajabu mkuu,wanajifanya kucheka mdomoni huku moyoni mwao wanalia machozi ya damu.Mkuu vipi kuhusu maisha ya mtanzania kwa sasa je utalinganisha maisha yalivyokuwa kipindi cha JK na sasa? miezi tisa tu hii majanga je huko tunapoelekea?? nadhani hali iliyopo kwa sasa wewe haikugusi kabisa mkuu hakuna unafuu sana sana wananchi tunakufa njaa tu.
Wala usimshangae huyo. Ukiona anayesupport hali ya sasa ujue huyo ni mtoto wa mama, haulizwi ada, kula, wala kulala hata maji ya kunywa. Na hana biashara..Watu wa hivyo ndio hawaoni tofauti katika maisha yakipanda au kushuka.-Kwa hisani ya Mtoto wa mjiniMiaka 10 ya utawala wake ulikuwaje? tulipiga hatua? kwenda wapi? akae tu huko aliko!
mnatamani 2010 irudi au 2020 afike haraka wanaadamu bwana hawana wemaChonde chonde baba yetu sio wote tuliokuona mbaya wengi tunakukumbuka baba. Semasema kidogo tunakufa na hali ngumu ya maisha duu!! Uuwi tunaipata mbaya biashara ndo usiseme haziendi tumenyooka mbaya..
Kazi inafanyika je kipato kinaendana na unachofanyia kazi? hapo ndipo tatizo....
Baba analipwa 700,000
Hapo kuna ada za watoto,
Chakula
Nyumba n.k je mtu huyu ataishi vipi...? Watoto ataweza wasomesha vizuri na kuwapa malezi bora?
Na yeye atalia tu njaa...njaa ni ugonjwa unaoambukiza!!!Sio lengo hilo lakini. Lengo ilikuwa ni kufanya maskini asilie njaa na si kumfanya tajiri awe maskini na kulia wote njaa. Sasa wewe unafaidika nn, au unapendezwa na lipi ili hali njaa yako iko palepale kama si kuongezeka.