spinderella
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 1,393
- 1,905
Sio lengo hilo lakini. Lengo ilikuwa ni kufanya maskini asilie njaa na si kumfanya tajiri awe maskini na kulia wote njaa. Sasa wewe unafaidika nn, au unapendezwa na lipi ili hali njaa yako iko palepale kama si kuongezeka.Jpm ndio mzuri zaidi ya jpm heshima inaonekana mtaani napenda sana watumishi wa serikali wanavyolia njaa, natamani jpm akaze zaidi