Kikwete baba tunakukumbuka na tunazidi kukukumbuka

Kikwete baba tunakukumbuka na tunazidi kukukumbuka

Mzee wewe kumbe ulikua

Kiongozi
Mwanadiplmasia mahiri
Mwana siasa hatari
Muungwana sana
Hekima imi

Kiswahili na Kiingereza anajua kwa ufasaha na raha kumsikiliza akiingea.

Mapato Billiin 800 kwa mwezi lakin "" ilitosha".
Mihimili ya serikal ulijua kucheza nayo sio kuiburuza.
.
Trip zako zilikua nying lakini baadhi zilileta faida kwa wafanyabiashara/wawejezaji.

>Taasisi ya moyo JMK,
>Daraja Kigamboni
> Real estate kushika kasi
> Barabara za lami kuongezeka,na hata majiji kadhaa kurekebishwa[strategic cities project]
>BRT
>Tourism

Mzee umeacha legacy ya ukweli mnoo. Na sasa naskia unapiga mananasi Bagamoyo.
Sema UNAmkumbuka
 
Baba Kikwete.. for the first time, nakukumbuka... we are suffering, things are stagnant,
economy is going down.. no ajira, no promotion, no allowances, no salary increments, no foreign trips, no seminars, no training, daah..!!

Hali ngumu, Baba JK, mshauri Mh. Rais alegeze kamba, au asimamishe gari tusheke basi, yeye aendelee na speed yake..

Haaa
 
Bado speed haijafika 80kpm
 
Daah tumuombee rais wetu akusanye pesa nyingi , walipa kodi wote walipe wasikwepe mwishowe tutanehemeka
 
Hakuna haja ya kulaumu au kutoa majumuisho ya utawala huu naona tuwe wavumilivu ataanza kutunyooshea mambo bado anamalizia kusafisha nyumba kisha aipange iwe safi
 
Kazi ipo, ila alegeze kidogo maana ni hatari sasa kama speed itakua ni hii ya:

Watu kukosa ajira, maslahi duni watumishi, no demokrasia, no mikopo elimu juu, maskini kulialia badala ya kuona unafuu!

Apungeze kero na vilio ili mambo yawe katkat!
 
Acha Unafiki WW Mtoa MADA akitoka Magufuli akingia mwingine Utamsifia Magu WW.Au WW NI MPIGA DILI?? UMEBANWA SASA .ACHA HIZOO MH: RAIS ANAIJENGA NCHI.
 
Kumekuwepo na hisia kwamba kipindi cha JK kilikuwa kizuri kuliko cha sasa lakini kipindi hicho kauli mbiu ilikuwa "maisha bora kwa kila mtanzania" kauli ambayo ilipingwa kwamba hakukuwa na hayo maisha bora kwa kila Mtanzania.

Kumkumbuka JK leo ni kukubali kwamba kulikuwa na maisha bora kwa kila Mtanzania na sasa hayapo?
 
Uchafu wa mrisho ndo unafanya benja aonekane msafi..................
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom