MwanaHabari
JF-Expert Member
- Nov 9, 2006
- 442
- 13
kwakweli he needs to rest, akae ikulu apumzike afanye kazi from there, hizi shughuli zingine atume wawakilishi. Tena na campaign inakuja around the corner he really needs to pace himself.
Baada ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kustaafu urais na kubakia kuwa mwenyekiti wa chama, nilipata bahati ya kutumwa naye na wenzangu wawili, kwenda kumjulia hali rafiki yake mmoja aliyekuwa anaumwa, lakini wakati huo akiendelea kuongoza chombo muhimu cha dola katika taifa moja la Afrika.
Tulipofika, tulikuta ugomvi ambao hata mkuu wa nchi ile alikuwa amejaribu kusuluhisha bila mafanikio.
Ugomvi ulihusu nafasi ya waganga wa kienyeji katika kumshauri mkubwa yule juu ya afya yake. Mara mbili alipelekwa hospitalini Ulaya na Marekani, na madaktari walishauri afanyiwe upasuaji lakini kila alipoandaliwa kwa ajili hiyo, alibadili mawazo dakika za mwisho na madaktari waliheshimu uamuzi wake.
kwakweli he needs to rest, akae ikulu apumzike afanye kazi from there, hizi shughuli zingine atume wawakilishi. Tena na campaign inakuja around the corner he really needs to pace himself.
Kikwete anaumwa, tena seriously.Watu hawataki kusema tu.
Hii incident wala ile ya 2005 si habari za uchovu wa safari
Kwani anaumwa nini mzee?
Akuna cha ugonjwa waulizeni waliokuwepo...wapendwa walikuwa wanakemea mapepo sasa hawakujua rais nae ndio anaanza kuhutubia...rais akiwa anaendelea jamaa huku wanaongeza moto..//loh!!!!!!rais akaona iswe tabu ikabidi kala chapa huyoo....sio wa kwanza ,rais kamuzu banda aliwahi kudondka pale chuo kikuu wakati vijana wako nje wanakemea na kusali....
kwa hiyo ana mapepo?
Kikwete anaumwa, tena seriously.Watu hawataki kusema tu.
Hii incident wala ile ya 2005 si habari za uchovu wa safari
kumbuka mtu wa bagamoyo huyu, na huko ndio kuna waganga wao wa kienyeji wanaotumia nguvu za giza kuwatabiria mambo yao.mmmh pretty uko kutafutana
kasharudi dar..
true ..ameonekana mida ya saa tatu usiku msafara wake unatokea bagamoyo kurudi mjini....
...!!!