George Maige Nhigula Jr.
JF-Expert Member
- Mar 14, 2008
- 470
- 149
you never know if the snake is pregnant.... Juzi nilikuwa vijijini sana ktk mkoa mpya wa simiyu nikaamua kufanya mini research, ktk wanakijiji 20 niliowahoji, wote wanajua kuwa dr slaa anagombea urais kupitia chadema.... Kwa hiyo sibishii wala kushangaa sana hiyo takwimu yako... Ingawa kuikubali pia simo
alie post hizo takwimu ni mpya na wewe unaetoa support ndo kwanza post mbili, duh! Msije kuwa nyinyi nyote ni ma spin master wa aiseeeeeeeeeeeee ili tulegeza uzi, jamani eeh kanyaga twende tutapumua dr slaa akiingia ikulu tusiamini hovyo hovyo hizi takwimu, tuendeleeni kupiga simu vijijini na kuandika barua tuwape ujumbe wa ukombozi watanzania wote, we can do this guys