Kikwete alitumia uchawi gani?

Kikwete alitumia uchawi gani?

Ofsi za umma za siku hizi zina sheria kibao bila chochote, yaani unatekeleza sheria bila pesa, "yaani sheria kibao bila pesa bhana" si sawa na utumwa au ?. JK kweli uongozi kipaji chake. Ivi wadau, hatuwezi kufanya mchakato wa kumrudisha Mkwere?
 
Ukweli ni kwamba Kikwete ndo rais bora nchi hii kuwahi kupata.
huo utumbo wako ulioandika nimekujibu humohumo KWENYE MABANO KWA HERUFI KUBWA ILI USILETE VISINGIZO KUWA HUJAONA; kama ifuatavyo mpuuzi wewe;

Huwezi kuwalazimisha watu wote wakae ndani ya box la ccm lililojaa damu za Watanzania as if hiyo ndiyo best practice na standard ya mwisho y aWatanzania.

Ccm ni moja ileile inayonyonya damu za Watanzania.

Tatitzo lake hamna lolote wanabaki kudandia jujuu agenda za wapinzani bila kujua namna ya kuzitekeleza.

Nilitegemea mbele ya kusifia ujenzi wa shule, barbara na majumba ya kisasa, uongezee mzigo wa kodi kwa wafanyakazi (KIKWETE ALISHUSHA KODI YA WAFANYAKAZI KUTOKA 18% MPAKA 11%; MAGUFULI AMESHUSHA KUTOKA 11% KUJA 9% TU ILA HUWEZI KUONA HAYA KAMA UNA MAKENGEZA), kiwango cha elimu Tanzania ambacho ndiyo mtaji wa taifa na vizazi vyake (UNAONGELEA KIWANGO CHA ELIMU KIPI? KWA MIAKA ZAIDI YA 40 ELIMU YA SEKONDARI ILIKUWA ANASA, LAKINI KUPITIA UONGOZI ULIOTUKUKA WA KIKWETE HATA WEWE MPUMBAVU UMEBAHATIKA KUSOMA NDO MAANA UKO BIZE HAPA KUMTUKANA, KINYUME CHAKE WEWE UNGEKUWA MCHUNGA NG'OMBE TU MPUUZE WEWE), uzungumezie ufisadi ulikithiri kuanzia richmond (RICHMOND ILICHUKUA MUDA MFUPI TU KUJULIKANA PAMOJA NA KUWA HILO LILIKUWA DILI LA MARAFIKI ZAKE WAKUU WAWILI, lowasa na rostam, KIONGOZI GANI ANGEKUWA NA UBAVU WA KUWATOSA WATU WAKE WA KARIBU KIASI KILE KWA KUHUJUMU SERIKALI? HUJIULIZI BWE'GE WEWE? KWANI KIKWETE ANGESEMA TU NENO MOJA; MWAKYEMBE ACHANA NA HIYO RIPOTI MPUUZI KAMA WEWE UNGEJUA NINI? MBONA HAMTUMII AKILI MAFALA NYIE? MNA MACHO NA MASIKIO LAKINI HAYAWASAIDII KUSIKIA/KUONA WAPUUZI NYIE) , epa (EPA ILITOKEA KIPINDI CHA MKAPA, NA WALA HAMUINUI HAYA MABAKULI YENU KUSEMA CHOCHOTE PAMOJA NA KUWA NI UTAWALA WA KIKWETE ULIOYARUHUSU HAYA HATA "MBWA" KUYAJUA, NA LEO HII MBWA HAO WANAFIKIRIA EPA NI YA KIKWETE) escrow (ESCROW-MAELEZO KAMA YA RICHMOND), kagoda (KAGOGA-MKAPA NA MAELEZO KAMA YA EPA), meremeta (MEREMETA YA MKAPA NA MAELEZO KAMA YA EPA), ujenzi wa bomba la gas (UNAUSHAHIDI GANI KUWA KUNA RUSHWA KWENYE BOMBA LA GESI? AU UNAYAAMINI YALE MANENO YA DJ WENU MBOWE?), lugumi (HATUJAONA RIPORT, AFTERALL HILI LINAONEKANA LA MTU WA KARIBU WA MAGUFULU), iptl (IPTL-YA MKAPA, MAELEZO KAMA YA EPA) nk. kisha uendelee kidogo hadi kwenye ongezeko la kutisha la deni la serikali lisilo maelezo (HILO DENI LIMEONGEZAKA KUTOKA SH NGAPI? HADI NGAPI? NA KIKWETE ALILIKUTAJE HILO DENI, AU MNALISHANA MATAPUTAPU TU NA UPUUZI WENU BILA DATA), uangalie hujuma za mali asili zetu (MIGODI KARIBIA YOTE INAYOCHIMBWA ILISAINIWA KIPINDI CHA MKAPA ISIPOKUWA MICHACHE KAMA UBUZWAGI AMBAYO HATA FAULO ILIPOFANYIKA SERIKALI YA KIKWETE ILIANIKA KILA KITU IWE NI KUPITIA CCM AU HATA UPINZANI) ikiwamo usafirishaji wa wanyama na mauaji ya tembo (TATIZO LA TEMBO HALIKUWA LA TANZANIA PEKEE BALI DUNIA NZIMA JAPO KWA HILO NAWEZA UNGANA NA WEWE KUWA ANGEWEZA KUFANYA ZAIDI KUZUIA MAUAJI YA TEMBO WETU) , hatua gani serikali ilichukua, thamani ya hujuma hizi ulinganishe na uwekezaji kwenye hiyo barabara na magorofa nssf unayoyasema (KAMA UNA AKILI TIMAMU HUWEZI KUKOSOA KAZI ILIYOTUKUKA ALIYOIFANYA KIKWETE KWENYE UJENZI WA MIUNDO MBUNU UNLESS WEWE NI TAAHIRA; KAMA UNAWEZA KUSAFIRI KWENDA SEHEMU MOJA YA NCHI KWA SIKU MOJA KWA BARABARA KITU AMBACHO KILIKUWA NI NDOTO HALAFU MPUUZI KAMA WEWE UNAPINGA? UMESAHAU HATA WALE WALIOKUWA WANASAFIRI KUTOKA SEHEMU MOJA YA NCHI KWENDA INGINE KWA KUPITIA CHI JIRANI ZA "NAIROBI NA KAMPALA", BILA SHAKA MPINGAJI ATAKUWA NA UCHIZI), mwisho utazame mauaji ya kisiasa ya kina Mwangosi (MUUAJI WA MWANGOSI ALISHITAKIWA NA JUZI AMEHUKUMIWA MIAKA 15), uovyo wa huduma za afya (KIKWETE NDO RAIS PEKEE ALIYEWEKEZA ZAIDI KWENYE HUDUMA ZA AFYA, ANGALIA JINSI ALIVYOWEKEZA KUZALISHA WATAALAMU WENGI WA AFYA, ANGALIA KARIBIA HOSIPITAL ZOTE ZA MIKOA NA WILAYA IKIWA NI PAMOJA NA KUONGEZA MAJENGO MAPYA, HIVI WEWE MPUUZI HUONI KUWA HATA ZILE MBWEMBWE ZA AKINA MENGI KUSAFIRISHA WAGONJWA WA MOYO KWENDA INDIA TULIYOKUWA TUNAONA KWENYE ITV SIKU HIZI ZIMEKWISHA? AU UNAMATATIZO YA AKILI NINI KAMA HUWEZI KUONA HATA VITU VYA WAZI KAMA HIVI? kitu ambacho ni cha msingi kkuliko yote, habari za M'nyang, ulimboka, na wengine walioteswa kwa maslahi ya mtu mmoja (YAANI OLIMBOKA ALITESWA KWA MASILAHI YA MTU MMOJA? UNA MATATIZO WEWE. HIVI HUJIULIZI NI WATU WANGAPI WASIO NA HATIA WALIPOTEZA MAISHA KWA UPUUZI WA AKINA ULIMBOKA? UNAWAJUA WALIOMTESA HUYO JAMAA YENU? AU MNATAFUTA WA KUMUANGUSHIA JUMBA BOVU?, watanzania wanaoendelea kufa hadi leo kwa sababu ya ukosefu wa huduma za afya, uharamia na hujuma zilizofanywa juu ya katiba ya nchi uliolengesha kwenye kile kinachoendelea sasa, uchakachuaji wa kura na hitimisha uchaguzi wa zanzibar (KATIBA YA WANANCHI NA SUALA LA ZANZIBAR, HAYA NAUNGANA NA WEWE, SIO HIZO PUMBA ZINGINE ULIZOANDIKA).

Yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa yanayotokea leo hii,, ni matokeo ya utawala wa huyo mkwere wenu asiyekuwa na maono wala mipango ya maana ya maendeleo ya taifa zaidi ya kulinda maslahi yake na ya familia yake. (EWE BWE'GE UNAMAANISHA HATA SUKARI ULIYOKUWA UKINUNUA MPAKA SH. 5000 NI MIPANGO YA MKWERE? VIPI ILE YA KUWAFUKUZA WANAFUNZI WA DIPLOMA UDOM HALAFU ANAWAPELEKA KWENNYE VYUO VINGINE KWENDA KUMALIZIA HIYOHIYO DIPLOMA?)

Lawama zote zirudi kwa mkwere kwa sababu ndiye muasisi wa udikteta na utawala unaoendelezwa hapa Tz (KIKWETE ALIWADEKEZA SANA MPAKA KUWAITA KWENDA KUNYWA JUICE IKULU NA HUKU MKIMTUKANA, SASA ACHA MKUTANE NA MKONO WA CHUMA, MAGUFULI, JUICE YA IKULU MTAISIKILIZIA KWENYE BOMBA TU, LABDA MAHABUSU). Kila kitu aliasisi yeye na sasa anafurahia matunda ya mkono wake wa mgongoni.

Naomba "ukome" kuwaudhi Watanzania (NI KWELI BINAFSI SITOKOMA KUWAUDHI MBWA KWA KUWAELEZA UKWELI MCHUNGU NA NITAENDELEA KUWAPA UKWELI WATANZANIA WENZANGU WASIOPENDA UONGO) kwa kuwalazimisha kuishi katika himaya ya kishetani ya ccm. Ccm ni ileile, hujuma inazofanya kwa watanzania katika awamu zake za uongozi wa kulazimisha ni rangi za maua katika shina la mti mmoja.

Ccm ondoka ukafie baharini kusikokaliwa na binadamu. TAnzania siyo mali yako, huna hatimiliki na Watanzania wamekuktaa na hawakutaki1.

Kama unataka kujifunza kaa kando waanchie Watanzania waongoze nchi kwa ufanisi bila kutumia nguvu ya majeshi kama mnavyofanya sasa.
(NA MWISHO KABISA JITATHIMINI KAMA KWELI UKO TIMAMU BAADA YA KUZI-CRUSH PUMBA ZAKO ZOTE HAPO JUU)

TUMECHOKA NA UFIRAUNI WA CCM!
 
Wewe ni mzoga unanuka dunia nzima. Ondoka hapa na funza wako kichwani. Pumbavu!
 
Wote tulilaumu ufisadi

Kodi zilikuwa hazilipwi?

Rais aliitwa dhaifu kwa kutokuwa mkali!

Wana ccm wakabadili gia Dodoma na kuhama!

Rais alikuwa anasafiri karibu kila mwezi

Lakini barabara zilijengwa, Vyuo vikuu na shule nchi nzima.

Majengo ya kisasa na upanuzi mkubwa wa miji wenye majengo ya kisasa kabisa!

Watumishi wa umma na wafanyabiashara walineemeka!

Na Rais wetu alikuwa full kutabasamu, urais kwake ilikuwa kitu kidogo kama ukiranja wa zamu tu!

Leo sasa!

Kila kitu kimerekebishwa, na rais hacheki cheki!

Lakini Mambo yamezidi kuwa magumu, na hata mwenyewe amesikika akisema anajutia uamuzi wake wa kukitaka kikombe hiki!

Je, ni wakati wa kurejea kupata semina elekezi toka kwa "mkwere"?

Au Mkuu apitie tu kisirisiri hadidu za rejea za serikali ya "mkwere" ili mambo yasiende mrama!
Duu ukweli tunafunga mikanda wapi nafuu haipatikani, ela za field kimya,ajira kimya
 
Chini ya Kikwete deni la taifa lilifika trl 40. Mambo uliyotaja yalifanywa kwa mikopo badala ya mapato ya ndani na kwa kua uthibiti ulikua mdaifu mikopo mingine iliishia mifukoni mwa watu. Ndio maana Tanzania inaitwa shamba la bibi kwa kuwa wajanja wachache walitafuna fedha ya ndani kwa kutolipa kodi.
Huyu kakopa trilion 23 bajet ya mwaka mmoja je miaka 5 itafika ngapi
 
Wewe ni mzoga unanuka dunia nzima. Ondoka hapa na funza wako kichwani. Pumbavu!
WE BWE'GE SOMA TENA NILICHOANDIKA LABDA HUJAELEWA

Huwezi kuwalazimisha watu wote wakae ndani ya box la ccm lililojaa damu za Watanzania as if hiyo ndiyo best practice na standard ya mwisho y aWatanzania.

Ccm ni moja ileile inayonyonya damu za Watanzania.

Tatitzo lake hamna lolote wanabaki kudandia jujuu agenda za wapinzani bila kujua namna ya kuzitekeleza.

Nilitegemea mbele ya kusifia ujenzi wa shule, barbara na majumba ya kisasa, uongezee mzigo wa kodi kwa wafanyakazi (KIKWETE ALISHUSHA KODI YA WAFANYAKAZI KUTOKA 18% MPAKA 11%; MAGUFULI AMESHUSHA KUTOKA 11% KUJA 9% TU ILA HUWEZI KUONA HAYA KAMA UNA MAKENGEZA), kiwango cha elimu Tanzania ambacho ndiyo mtaji wa taifa na vizazi vyake (UNAONGELEA KIWANGO CHA ELIMU KIPI? KWA MIAKA ZAIDI YA 40 ELIMU YA SEKONDARI ILIKUWA ANASA, LAKINI KUPITIA UONGOZI ULIOTUKUKA WA KIKWETE HATA WEWE MPUMBAVU UMEBAHATIKA KUSOMA NDO MAANA UKO BIZE HAPA KUMTUKANA, KINYUME CHAKE WEWE UNGEKUWA MCHUNGA NG'OMBE TU MPUUZE WEWE), uzungumezie ufisadi ulikithiri kuanzia richmond (RICHMOND ILICHUKUA MUDA MFUPI TU KUJULIKANA PAMOJA NA KUWA HILO LILIKUWA DILI LA MARAFIKI ZAKE WAKUU WAWILI, lowasa na rostam, KIONGOZI GANI ANGEKUWA NA UBAVU WA KUWATOSA WATU WAKE WA KARIBU KIASI KILE KWA KUHUJUMU SERIKALI? HUJIULIZI BWE'GE WEWE? KWANI KIKWETE ANGESEMA TU NENO MOJA; MWAKYEMBE ACHANA NA HIYO RIPOTI MPUUZI KAMA WEWE UNGEJUA NINI? MBONA HAMTUMII AKILI MAFALA NYIE? MNA MACHO NA MASIKIO LAKINI HAYAWASAIDII KUSIKIA/KUONA WAPUUZI NYIE) , epa (EPA ILITOKEA KIPINDI CHA MKAPA, NA WALA HAMUINUI HAYA MABAKULI YENU KUSEMA CHOCHOTE PAMOJA NA KUWA NI UTAWALA WA KIKWETE ULIOYARUHUSU HAYA HATA "MBWA" KUYAJUA, NA LEO HII MBWA HAO WANAFIKIRIA EPA NI YA KIKWETE) escrow (ESCROW-MAELEZO KAMA YA RICHMOND), kagoda (KAGOGA-MKAPA NA MAELEZO KAMA YA EPA), meremeta (MEREMETA YA MKAPA NA MAELEZO KAMA YA EPA), ujenzi wa bomba la gas (UNAUSHAHIDI GANI KUWA KUNA RUSHWA KWENYE BOMBA LA GESI? AU UNAYAAMINI YALE MANENO YA DJ WENU MBOWE?), lugumi (HATUJAONA RIPORT, AFTERALL HILI LINAONEKANA LA MTU WA KARIBU WA MAGUFULU), iptl (IPTL-YA MKAPA, MAELEZO KAMA YA EPA) nk. kisha uendelee kidogo hadi kwenye ongezeko la kutisha la deni la serikali lisilo maelezo (HILO DENI LIMEONGEZAKA KUTOKA SH NGAPI? HADI NGAPI? NA KIKWETE ALILIKUTAJE HILO DENI, AU MNALISHANA MATAPUTAPU TU NA UPUUZI WENU BILA DATA), uangalie hujuma za mali asili zetu (MIGODI KARIBIA YOTE INAYOCHIMBWA ILISAINIWA KIPINDI CHA MKAPA ISIPOKUWA MICHACHE KAMA UBUZWAGI AMBAYO HATA FAULO ILIPOFANYIKA SERIKALI YA KIKWETE ILIANIKA KILA KITU IWE NI KUPITIA CCM AU HATA UPINZANI) ikiwamo usafirishaji wa wanyama na mauaji ya tembo (TATIZO LA TEMBO HALIKUWA LA TANZANIA PEKEE BALI DUNIA NZIMA JAPO KWA HILO NAWEZA UNGANA NA WEWE KUWA ANGEWEZA KUFANYA ZAIDI KUZUIA MAUAJI YA TEMBO WETU) , hatua gani serikali ilichukua, thamani ya hujuma hizi ulinganishe na uwekezaji kwenye hiyo barabara na magorofa nssf unayoyasema (KAMA UNA AKILI TIMAMU HUWEZI KUKOSOA KAZI ILIYOTUKUKA ALIYOIFANYA KIKWETE KWENYE UJENZI WA MIUNDO MBUNU UNLESS WEWE NI TAAHIRA; KAMA UNAWEZA KUSAFIRI KWENDA SEHEMU MOJA YA NCHI KWA SIKU MOJA KWA BARABARA KITU AMBACHO KILIKUWA NI NDOTO HALAFU MPUUZI KAMA WEWE UNAPINGA? UMESAHAU HATA WALE WALIOKUWA WANASAFIRI KUTOKA SEHEMU MOJA YA NCHI KWENDA INGINE KWA KUPITIA CHI JIRANI ZA "NAIROBI NA KAMPALA", BILA SHAKA MPINGAJI ATAKUWA NA UCHIZI), mwisho utazame mauaji ya kisiasa ya kina Mwangosi (MUUAJI WA MWANGOSI ALISHITAKIWA NA JUZI AMEHUKUMIWA MIAKA 15), uovyo wa huduma za afya (KIKWETE NDO RAIS PEKEE ALIYEWEKEZA ZAIDI KWENYE HUDUMA ZA AFYA, ANGALIA JINSI ALIVYOWEKEZA KUZALISHA WATAALAMU WENGI WA AFYA, ANGALIA KARIBIA HOSIPITAL ZOTE ZA MIKOA NA WILAYA IKIWA NI PAMOJA NA KUONGEZA MAJENGO MAPYA, HIVI WEWE MPUUZI HUONI KUWA HATA ZILE MBWEMBWE ZA AKINA MENGI KUSAFIRISHA WAGONJWA WA MOYO KWENDA INDIA TULIYOKUWA TUNAONA KWENYE ITV SIKU HIZI ZIMEKWISHA? AU UNAMATATIZO YA AKILI NINI KAMA HUWEZI KUONA HATA VITU VYA WAZI KAMA HIVI? kitu ambacho ni cha msingi kkuliko yote, habari za M'nyang, ulimboka, na wengine walioteswa kwa maslahi ya mtu mmoja (YAANI OLIMBOKA ALITESWA KWA MASILAHI YA MTU MMOJA? UNA MATATIZO WEWE. HIVI HUJIULIZI NI WATU WANGAPI WASIO NA HATIA WALIPOTEZA MAISHA KWA UPUUZI WA AKINA ULIMBOKA? UNAWAJUA WALIOMTESA HUYO JAMAA YENU? AU MNATAFUTA WA KUMUANGUSHIA JUMBA BOVU?, watanzania wanaoendelea kufa hadi leo kwa sababu ya ukosefu wa huduma za afya, uharamia na hujuma zilizofanywa juu ya katiba ya nchi uliolengesha kwenye kile kinachoendelea sasa, uchakachuaji wa kura na hitimisha uchaguzi wa zanzibar (KATIBA YA WANANCHI NA SUALA LA ZANZIBAR, HAYA NAUNGANA NA WEWE, SIO HIZO PUMBA ZINGINE ULIZOANDIKA).

Yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa yanayotokea leo hii,, ni matokeo ya utawala wa huyo mkwere wenu asiyekuwa na maono wala mipango ya maana ya maendeleo ya taifa zaidi ya kulinda maslahi yake na ya familia yake. (EWE BWE'GE UNAMAANISHA HATA SUKARI ULIYOKUWA UKINUNUA MPAKA SH. 5000 NI MIPANGO YA MKWERE? VIPI ILE YA KUWAFUKUZA WANAFUNZI WA DIPLOMA UDOM HALAFU ANAWAPELEKA KWENNYE VYUO VINGINE KWENDA KUMALIZIA HIYOHIYO DIPLOMA?)

Lawama zote zirudi kwa mkwere kwa sababu ndiye muasisi wa udikteta na utawala unaoendelezwa hapa Tz (KIKWETE ALIWADEKEZA SANA MPAKA KUWAITA KWENDA KUNYWA JUICE IKULU NA HUKU MKIMTUKANA, SASA ACHA MKUTANE NA MKONO WA CHUMA, MAGUFULI, JUICE YA IKULU MTAISIKILIZIA KWENYE BOMBA TU, LABDA MAHABUSU). Kila kitu aliasisi yeye na sasa anafurahia matunda ya mkono wake wa mgongoni.

Naomba "ukome" kuwaudhi Watanzania (NI KWELI BINAFSI SITOKOMA KUWAUDHI MBWA KWA KUWAELEZA UKWELI MCHUNGU NA NITAENDELEA KUWAPA UKWELI WATANZANIA WENZANGU WASIOPENDA UONGO) kwa kuwalazimisha kuishi katika himaya ya kishetani ya ccm. Ccm ni ileile, hujuma inazofanya kwa watanzania katika awamu zake za uongozi wa kulazimisha ni rangi za maua katika shina la mti mmoja.

Ccm ondoka ukafie baharini kusikokaliwa na binadamu. TAnzania siyo mali yako, huna hatimiliki na Watanzania wamekuktaa na hawakutaki1.

Kama unataka kujifunza kaa kando waanchie Watanzania waongoze nchi kwa ufanisi bila kutumia nguvu ya majeshi kama mnavyofanya sasa.
(NA MWISHO KABISA JITATHIMINI KAMA KWELI UKO TIMAMU BAADA YA KUZI-CRUSH PUMBA ZAKO ZOTE HAPO JUU)
 
JK Zungu la roho, Roho yake nyeupee kama theluji.
Kwa JK kama una mpunga ndiyo kwanza roho yake inafurahi, hafikiriifikirii kukunyang'anya tonge.
Roho yake siyo ya kushukushuku watu.
Kwanza yeye mwenyewe mtoto wa mjini toka kitambo sana, Kula bata anajua, Ana exposure ya kutosha, Karuka sana mamtoni, anajua binadamu wengine wanaishi vipi, Au siyo Buana!
JK ana Class yule mtu, full maconfidence.
Bibi Condi mwenyewe aliblow!

Mtu anapanda pipa yuko angani, huku chini ardhini mabarabara yanatandikwa, Waathirika wanapata ARV bure, vijijini wanapata umeme wa REA, Shule za kata zinajengwa, mishahara ya wafanyakazi inaboreshwa kila mwaka.

Wakati JK anatumia Vyombo vya dola ili Bomba la Gesi lipite
Wengine wanavitumia kuzuia Demokrasia.

Wakati JK anapanua wigo waTZ wasome kwa wingi elimu ya chuo kwa kuongeza udahili wa wanafunzi, wengine wanaona eti how come watu bwena wawe na digrii?

Huyo ndiyo JK the legend!
Salute kwako baba, kazi kubwa uliifanya na polepole tu baada ya hangover ya unywaji wa Demokrasia uliyowasevia watu, sasa macho na akili vinafunguka, na kweli tunaona ULIIFANYIA NCHI HII MAKUBWA NA YA MAANA
 
Uko obsessed na Mkwere!
Yeye sio mwanzilishi wa CCM, yet wote mnaimba na kuabudu jina la mwanzilishi wa CCM!
Yeye si aliyeanzisha azimio la Zanzibar lililofuta ujamaa!
Pia ufisadi ulianza labda hata kabla ya mkwere kumaliza shule, rejea issues za uhujumu uchumi enzi hizo za Mwalimu na hadithi za fagio la chuma za Mwinyi!
Serikali ya mkapa pia had a lot of scandals and possibly most of hizi cases zilikuwa ni muendelezo wa mambo yaliyotangulia!

Essence ya uandishi wangu sio kumsifu mkwere kuwa ndio raisi bora, na kubeza Magu na team yake! Ila ni ukweli kuwa uwezo wa kufikiri na kuplan kwa sasa haupo!
Tulipokuwa hatukusanyi kodi na kulinda rasilimali mali za nchi ndio mambo yalipaswa kuwa mabaya! Leo tumeongeza uwezo wa ndani, tu!epunguza wafanyakazi hewa na wanafunzi hewa, lkn hizo huduma za jamii kama afya, elimu ndio zimedorora maradufu!

States walizofikia che nkapa na mkwere hadi leo tumesharudi more than 5 steps back! Hii case chanjo inayozuka kama rumours kwa sasa ikiwa ni kweli utakuja kuwa balaa kubwa! Hizi cases za kipindupindu cha mwaka mmoja hakijawahi kutokea, outbreak ya nchi nzima kwa zaidi ya miezi 6!

Anyway nyie ndio mnaofanya watu wa awamu hii wasiwajibike!
Tuna tatizo leo, mnaamsha blames kwa tawala zilizopita!
Si tulishasema tunataka mabadiliko ya kweli?
Si tulijua kikwete katuangusha na sasa ndio wakati wa kampeni wote tuliamua kuhubiri mabadiliko!

So we knew exactly wapi kuna tatizo!
We had plans ambazo zilikuwa better than hizo za waliotangulia!
Now, huu ni wakati wa kuonesha ufundi na kuleta tija kwa mtanzania sio tena turudi kule kuliko tufelisha!
Mimi bado nina tofauti na mlio wengi, bado naamini mkwere alikuwa na vitu vya msingi sana katika kufanya mambo yaende! We need him, tukubali tukatae, time will tell!
Umemaliza? Maana tusiwe tushea na fisadi kubuhu ama mnufaika.
Mbona watu wame-reason sana sababu zilizofanya Watanzania walio weng kuchukia serikali yao,ni jinc nchi ilivyotafunwa na kulindana. Ni kashifa nying sana za wazi zilizotendwa,ambazo hazielezeki! Serikali hii utaipimaje kwa kipindi hata mwaka bado? Unapoanza ujenzi lazima "uharibu". Unatakiwa "kuvunja" mawe ajili ya msingi,unatakiwa "kuchimba" mchanga unatakiwa "kufyeka" kusafisha mazingira,"kuchana" mifuko ya sementi kufyatulia tofari!
Kwa "mpumbavu" atasema huyu jamaa anaharibu mazingira. La kujenga, yeye kwake ni usiku wa giza.
Umekuwa kama wale wanaojiita wwenye siasa, cjui msimamo mkali wa kidini! Hawabadiliki hata kwa mantiki zenye majawabu chanya. Wanachoamaini wao ndichohicho basi.
Ndiyo wewe wa kupima utawala wa miaka nendarudi vs utawala wa miezi8 uliolisasambua taifa kwa ajili ya kulijenga upya!
Wanaenda vizuri sana na Watanzania ambao cyo wachumia tumbo,kwenye kupenda maendeleo ya kweli,tunausifu kwa dhati kabisa utawala wa awamu ya5. Tupo nyuma yao na M/Mungu awasaidie,tunamatumaini watatufikisha tunapopataka.
 
Umemaliza? Maana tusiwe tushea na fisadi kubuhu ama mnufaika.
Mbona watu wame-reason sana sababu zilizofanya Watanzania walio weng kuchukia serikali yao,ni jinc nchi ilivyotafunwa na kulindana. Ni kashifa nying sana za wazi zilizotendwa,ambazo hazielezeki! Serikali hii utaipimaje kwa kipindi hata mwaka bado? Unapoanza ujenzi lazima "uharibu". Unatakiwa "kuvunja" mawe ajili ya msingi,unatakiwa "kuchimba" mchanga unatakiwa "kufyeka" kusafisha mazingira,"kuchana" mifuko ya sementi kufyatulia tofari!
Kwa "********" atasema huyu jamaa anaharibu mazingira. La kujenga, yeye kwake ni usiku wa giza.
Umekuwa kama wale wanaojiita wwenye siasa, cjui msimamo mkali wa kidini! Hawabadiliki hata kwa mantiki zenye majawabu chanya. Wanachoamaini wao ndichohicho basi.
Ndiyo wewe wa kupima utawala wa miaka nendarudi vs utawala wa miezi8 uliolisasambua taifa kwa ajili ya kulijenga upya!
Wanaenda vizuri sana na Watanzania ambao cyo wachumia tumbo,kwenye kupenda maendeleo ya kweli,tunausifu kwa dhati kabisa utawala wa awamu ya5. Tupo nyuma yao na M/Mungu awasaidie,tunamatumaini watatufikisha tunapopataka.
Nimependa maoni yako na mtazamo wako!
Hatupingani tunaelezana jinsi tunavyoona mambo Jana na leo!
Bado una matumaini kuwa raisi anaandaa ground kwa ajili ya kazi nzuri!
Mimi nina Pima kwa kutumia miezi 8 kwa kuwa naona mtu mmoja anatenda bila ya kufuata master plan!
Hofu imekuja hapa, kuna plans sherehe za Uhuru kafuta akaleta barabara hiyo ikawa positive move wote tukafurahia, then ukawa ndio mtindo anaondoa activity A na kufanya B, Mara C anaibadili kwa X. Sasa hafuati master plans, bunge hupanga mambo kwa kutumia vichwa zaidi ya 500 yeye mtu mmoja anabadili!
Kwa mfano wako wa ujenzi na kuvunja kokoto sijui kuchana mifuko, fundi wako anaweza asifuate ramani halafu akajenga jengo usilolikusudia!
Tofauti kubwa ya maraisi hawa wawili ni jinsi ya kushirikisha mawazo mapana zaidi ya wataalam!
Namuona raisi zaidi awamu hii, lkn àwàmu zilizopita watendaji wengi walikuwa wakionekana zaidi!
Labda unataka tusubiri hadi lini, Mimi naamini katika wahenga kuwa Nyota njema huonekana asubuhi!
 
Huyu kakopa trilion 23 bajet ya mwaka mmoja je miaka 5 itafika ngapi
Huwa mnaandika utumbo hata sijui mnautoa wapi. 23tr. kwa mwaka mmoja, hizo figure kakupa nani, au umeamua kuwa mjinga? 23tr wadhani ni pesa ya kukopa mwaka mmoja?, nani atakukopesha pesa hiyo mwaka mmoja tu?

Nchi imejaa mbatata sana hii.
 
Hebu tuelewane kitu kimoja hapa!
Kikwete amekuwa raisi pekee wa Tanzania aliyekaribisha challenges bila ya uwoga na ndio maana mnaweza kuyasema yote hayo!
Hakuna raisi mwingine yeyote wa nchi hii, Mwalimu included aliyeweza kuruhusu watu waichunguze na kuijadili serikali openly.
Mifano: uhujumu uchumi ulikuwepo enzi ya Mwalimu, lakini ni Mwalimu na sokoine ndio waliowajua hao wahujumu uchumi na kudeal nao! Lkn wakati wa awamu ya pili, Mwinyi matendo yake yaliashiria kuwa bado hao watu walikuwepo akaja na fagio, lkn ni taasisi ya uraisi pekee na vyombo vyao vya usalama vilikuwa vinadeal na hao waliotaka kufagiwa! Mkapa na askari wake wa miamvuli akawasaka wezi alioingia nao mzee ruksa na mabaki ya wezi wa enzi za Mwl!
Kikwete pekee ambaye hakusaka mwizi peke yake!
Taasisi za kusaka wezi zilikuwa nyingi, zilikuwa awali ziliongezewa nguvu na Mahakama Kuu ya mafisadi (Bunge) ilitengenezwa!
Kwa kutohofia changamoto wananchi walikuwa huru kusema na taarifa zako ukimpa mbunge Mara moja zinafanyiwa kazi! Kumbukeni kesi ya "tumbili" ilivyowaporomosha watu!
Kuna kesi ambazo tusingeweza hata kuzisikia zama hizi!
Just imagine kama Kafulila na issue yake ya escrow angeitoa sasa hivi, angeweza hata kukamatwa kwa kuwachafua watu! Mwanzoni mwa kesi ya escrow au Richmond zilikuwa kama rumours zisizo na ushahidi, ila kila zilivyokuwa zinaachiwa watu wakawa wanaongeza nguvu ya ushahidi! Uwajibikaji na transparency huanzia katika freedom of speech! Inaonekana kama mijadala ya kisiasa ni kupoteza muda, lkn tazama hasara kiasi gani imeepushwa na bunge lililopita just kwa wabunge kuongea bila ya kutumia mahakama!
Hata hii mahakama ya mafisadi haiwezi kuwa na kesi mpya, itadeal na kesi za zamani tu!
Shida kubwa mno aliyokuwa nayo Kikwete ni kuanika haya mambo, lkn watu wale wakubwa hawakupelekwa mahakamani!
Nilidhani raisi mpya angemalizia hapo, bila ya kuathiri mchakato wa awali!
Yaani bunge na wananchi waibue mambo, then mahakama ya mafisadi tumalizie kuwafunga hao mafisadi!
 
NILITAKA NIPITE TUU BILA KUSEMA NENO.
Ki - UKWELI JK alikuwa Rais Bora. Aliheshimu utawala wa sheria na uhuru wa mahakama. we felt proud of being Tanzanian. Kwa kiasi aliheshimu uhuru wa bunge na kufanyia kazi maazimia mengi ya Bunge.

Mimi bado nashangaa suala la Kuhamia Dodoma. HIVI BAJETI YAKE IMEPITISHWA NA BUNGE LIPI???

Suala la kuhamia Dodoma halina mjadala.....serikali ilibidi ihamie kule toka miaka ya 70 katikati. JPM ni mkombozi wa kweli, usichelewe mkuu...kimbilia Dom viwanja vinakwisha.
 
Kingine tazama hili:
Awamu ya nne serikali ilikuwa inawajibika kwa wananchi! Watu walihoji serikali kupitia wabunge na maoni yao ktk mitandao ya kijamii!
Leo, wananchi wanawajibika kwa serikali! Tunapokea maagizo toka kwao tu, na sisi tumepewa amri ya kazi tu na hamna kupigizana kelele!
 
Suala la kuhamia Dodoma halina mjadala.....serikali ilibidi ihamie kule toka miaka ya 70 katikati. JPM ni mkombozi wa kweli, usichelewe mkuu...kimbilia Dom viwanja vinakwisha.
Kwanini wenzie walishindwa kuhama?
Tunapaswa kujifunza kwa waliofeli pia!
Lakini serikali mipango yake huwa na ushirikishwaji mpana zaidi! Tunaposema bajeti imepitishwa haiishii ktk kutengewa pesa tu, hii ina maanisha kujadiliwa kwa kina, kuaaidiana kupanga pamoja!
Tanzania inahitaji trillion 29 ktk bajeti ya mwaka huu, hizo ndizo pesa zilizoidhinishwa na watanzania wote kuwa zitumike! Kama tunaweka matumizi mengine ambayo hayapo ktk bajeti maana yake ni kwamba tusimamishe baadhi ya huduma au tukakope ili kujazia palipoongezeka! Ila sasa changamoto, nani anayeruhusu serikali kutenda yote hayo? Bunge ndilo lilipaswa kuisimamia serikali on our behalf!
Tuache kuipotosha serikali, tuwakumbushe wafuate taratibu za utumishi wa umma! Kweli tumeshachagua watuongoze lkn tumewapelekea na wawakilishi wetu ili wawe wanajadiliana! Hapa sizungumzii bunge kuwa live or la, nazungumzia uwasilishwaji wa hoja mbalimbali bungeni kwa dialogues!
 
Huwezi kuwalazimisha watu wote wakae ndani ya box la ccm lililojaa damu za Watanzania as if hiyo ndiyo best practice na standard ya mwisho y aWatanzania.

Ccm ni moja ileile inayonyonya damu za Watanzania.

Tatitzo lake hamna lolote wanabaki kudandia jujuu agenda za wapinzani bila kujua namna ya kuzitekeleza.

Nilitegemea mbele ya kusifia ujenzi wa shule, barbara na majumba ya kisasa, uongezee mzigo wa kodi kwa wafanyakazi, kiwango cha elimu Tanzania ambacho ndiyo mtaji wa taifa na vizazi vyake, uzungumezie ufisadi ulikithiri kuanzia richmond, epa, escrow, kagoda, meremeta, ujenzi wa bomba la gas, lugumi, iptl nk. kisha uendelee kidogo hadi kwenye ongezeko la kutisha la deni la serikali lisilo maelezo, uangalie hujuma za mali asili zetu ikiwamo usafirishaji wa wanyama na mauaji ya tembo, hatua gani serikali ilichukua, thamani ya hujuma hizi ulinganishe na uwekezaji kwenye hiyo barabara na magorofa nssf unayoyasema, mwisho utazame mauaji ya kisiasa ya kina Mwangosi, uovyo wa huduma za afya kitu ambacho ni cha msingi kkuliko yote, habari za M'nyang, ulimboka, na wengine walioteswa kwa maslahi ya mtu mmoja, watanzania wanaoendelea kufa hadi leo kwa sababu ya ukosefu wa huduma za afya, uharamia na hujuma zilizofanywa juu ya katiba ya nchi uliolengesha kwenye kile kinachoendelea sasa, uchakachuaji wa kura na hitimisha uchaguzi wa zanzibar.

Yeyote mwenye akili timamu anajua kabisa yanayotokea leo hii,, ni matokeo ya utawala wa huyo mkwere wenu asiyekuwa na maono wala mipango ya maana ya maendeleo ya taifa zaidi ya kulinda maslahi yake na ya familia yake.

Lawama zote zirudi kwa mkwere kwa sababu ndiye muasisi wa udikteta na utawala unaoendelezwa hapa Tz. Kila kitu aliasisi yeye na sasa anafurahia matunda ya mkono wake wa mgongoni.

Naomba "ukome" kuwaudhi Watanzania kwa kuwalazimisha kuishi katika himaya ya kishetani ya ccm. Ccm ni ileile, hujuma inazofanya kwa watanzania katika awamu zake za uongozi wa kulazimisha ni rangi za maua katika shina la mti mmoja.

Ccm ondoka ukafie baharini kusikokaliwa na binadamu. TAnzania siyo mali yako, huna hatimiliki na Watanzania wamekuktaa na hawakutaki1.

Kama unataka kujifunza kaa kando waanchie Watanzania waongoze nchi kwa ufanisi bila kutumia nguvu ya majeshi kama mnavyofanya sasa.

TUMECHOKA NA UFIRAUNI WA CCM!
hata wewe aibu yako....
 
kwa lugha nyepesi ccm imefanya kitu chini ya utawala wa JK?? maana nilisikiaga ccm haijafanya kitu kwa miaka zaidi ya 50
 
Kwa kweli uongozi ni kipaji sio wala elimu, Unaweza ukawa na elimu tosha ila huna sifa ya uongozi...
Kiongozi anatakiwa kuwa mvumilivu, kiongozi ukishasema wewe unajutia uongozi wako je unaowaongoza wawe ktk hali gani?
Kiongozi anatakiwa akubali kuwa yeye ni jalala (kama ilivyo usemi wa wahenga 'Mkubwa jalala') unatakiwa usipanic panic na kuwa na hasira hasira zisizo na mipaka.
Rais ni sawa na Baba na familia yake...sisi ndio watoto wake yeye ni baba.

Mkwere alikuwa anasifa za uvumilivu..Sifa ya uongozi...Japo kuna sifa nyingine hakuwa nazo km za kiufanisi lakini zilitegemea wale wanaomshauri ndio wawe nazo.
Ukishakubali hayo yote impact yake inakuwaje?

Anyway , Magufuli is a deal and is a real deal.
 
Huwa mnaandika utumbo hata sijui mnautoa wapi. 23tr. kwa mwaka mmoja, hizo figure kakupa nani, au umeamua kuwa mjinga? 23tr wadhani ni pesa ya kukopa mwaka mmoja?, nani atakukopesha pesa hiyo mwaka mmoja tu?

Nchi imejaa mbatata sana hii.
Labda analinganisha na ile mikopo yao ya riba ya 30% kwa mwezi na unaweka rehani ATM kadi yako.
 
Back
Top Bottom