Kikwete alikuwa AK leo yuko London!

Kikwete alikuwa AK leo yuko London!

Mtakufa navyo vijiba vya roho.

Naam, ndiyo ametufikisha hapa kwa Magufuli, baya hilo?

Alipomtema Lowassa mliona kamuonea na alipomwambia Magufuli akagombee Urais alikuwa hakisii.
Wengine Utanzania mnalazimishwa tu vinginevyo mnanchi zenu mnazotetea katika akili zenu.
 
hili povu wala halitakupa faida yoyote,jamaa yenu hayupo tena madarakani,pili hampo tena kwenye payroll za Lumumba.
itabidi mfanye kazi kwa kujitolea mana hakuna namna.
jk ataendelea kusafiri,huwezi kumpangia mtu akae kwake asisafiri as if wewe ni babake,ha ha ha,mijitu mingine bana so hopeless,tuseme jk anakosa nauli kweli ya kwenda africa kusini?
Jk kawa na marafiki wengi duniani,vipi kama alikwenda kubonga na rafiki yake hu jing tao?
 
Itakua kuna makubaliano ya safari za nje baina ya Magufuli na Kikwete. Lakn wananchi wanahitaji kujua kupokea tuzo ya aina gani? Gharama za mstaafu za safari zinalipwa na Nani vinginevo Yale ya magufuli aliyosema kuhusu safar ni maigizo.
 
Itakua kuna makubaliano ya safari za nje baina ya Magufuli na Kikwete. Lakn wananchi wanahitaji kujua kupokea tuzo ya aina gani? Gharama za mstaafu za safari zinalipwa na Nani vinginevo Yale ya magufuli aliyosema kuhusu safar ni maigizo.
rais mstaafu kisheria ana idadi ya safari za nje kwa mwaka nadhani hazizidi tano,lakini haina maana umzuie kusafiri hata kwasafari zake binafsi
 
Kheri haya majipu awe anayasikia kwenye luninga
 
Nani anaye approve safari za kijinga hizi? Je ni chama? maana ni Mwenyekiti wake. Je ni idara ya utumishi? Maana ni rais mstaafu

Kwa sasa wanachoface idara ya Utumishi ni maumivu ambayo hawakuyatarajia coz sa hivi wanaona how it feels kulipia safari za mkwere.!! Wanamlipia safari zote na hela yote ya matumizi
 
JK alikuja na jina lake ndiyo na Mkapa akapiga veto ndo Magufuli akaokota dodo kwenye muarobaini. Dhambi aliyonayo JK ni kumkata Lowassa na sasa assubiri tu aaje atueleze mwanae alipata wapi mtaji wa biashara zake anazoendesha bila kulipa kodi.

Uongo huo.

"wapumbavu na malofa" - Mkapa.

Lowassa kaenda kuchunga ng'ombe au anahemea kwenye nanihii, maana'ke kimbembe kimenza kwa akina Bashir, Bade, Nnasikia na babu mwenyekiti wa wachawi alikuwa mkwepa kodi maarufu.

Mtaisoma namba.

Kikwete anapokea matuzo ya Kimataifa tu, huku akichambuwa offer alizopewa duniani, ipi aifanyie kazi.
 
Wakati wengine tunaambiwa tufunge mikanda Raisi mstaafu ambaye kwa namna moja ama nyingine amechangia kwenye kutufikisha hapa tulipo anakula bata kwa kubadilisha viwanja tu!


Picha ya kwanza alivyokuwa AK kuhudhuria mkutano wa Raisi wa Uchina


attachment.php



Picha ya Pili alivyotoka AK moja kwa moja London kwenda kupokea tuzo fulani kama anavyoonekena kwenye picha hapo chini!


attachment.php




Umechanganya madesa ni from london to AK
 
wazee wanakula pensheni, kila mtu na nssf yake, ulichowekeza ndicho uvunacho badala ya kuwekeza uzeeni na wewe upige tripu, unakesha JF kulalamika, uzee utakukuta JF bado unacomment tu.
 
Kwa sasa haendi na delegate, gharama ni ndogo ukilinganisha na zamani akiwa madarakani.
 
wazee wanakula pensheni, kila mtu na nssf yake, ulichowekeza ndicho uvunacho badala ya kuwekeza uzeeni na wewe upige tripu, unakesha JF kulalamika, uzee utakukuta JF bado unacomment tu.
you said it,
 
Nani kampa kibali? Maana vibali vinatolewa na makuli tu na mtu maalum
 
Magufuli asipomdhibiti atadharaulika upesi na kuonekana yote anayofanya ni picha ya isidingo
 
Back
Top Bottom