Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,838
Wakati wengine tunaambiwa tufunge mikanda Raisi mstaafu ambaye kwa namna moja ama nyingine amechangia kwenye kutufikisha hapa tulipo anakula bata kwa kubadilisha viwanja tu!
Picha ya kwanza alivyokuwa AK kuhudhuria mkutano wa Raisi wa Uchina
Picha ya Pili alivyotoka AK moja kwa moja London kwenda kupokea tuzo fulani kama anavyoonekena kwenye picha hapo chini!
Picha ya Pili alivyotoka AK moja kwa moja London kwenda kupokea tuzo fulani kama anavyoonekena kwenye picha hapo chini!