Kikwete alikuwa AK leo yuko London!

Kikwete alikuwa AK leo yuko London!

Mtakufa navyo vijiba vya roho.

Naam, ndiyo ametufikisha hapa kwa Magufuli, baya hilo?

Alipomtema Lowassa mliona kamuonea na alipomwambia Magufuli akagombee Urais alikuwa hakisii.

Kichwa kizito sana hicho ni mkubwa. Magufuli si chaguo la Kikwete. Nikukumbushe kwamba, Magufuli alikuwa mgombea binafsi kwa kivuli cha CCM na si kwamba ana mapenzi na hicho chama chenu kichafu.

Anachofanya sasa Magufuli ni kusafisha uchafu wa CCM na sasa anagusa interest za makada wa chama chenu, ndio maana husikii shamra shamra na kujikomba kwa watoto wa Lumumba.

Namba mnaisoma nyinyi, na bado.
 
JK will never rest in peace as long as Magufuli is in power. Kwanza hilo ni jipu sugu linalopaswa kutumbuliwa bila ganzi.

Si mlisema alitoa jina mfukoni mwake? Kulikoni?

Mtakuja na ufataani wa kila aina, hamtoweza, Kikwete yuko Ulaya anapokea tuzo.

Mtaisoma namba CCM ni ile ile, jikumbushe:

jkuhnmmc.jpg
 
Wakati wengine tunaambiwa tufunge mikanda Raisi mstaafu ambaye kwa namna moja ama nyingine amechangia kwenye kutufikisha hapa tulipo anakula bata kwa kubadilisha viwanja tu!

Picha ya kwanza alivyokuwa AK kuhudhuria mkutano wa Raisi wa Uchina

attachment.php

Picha ya Pili alivyotoka AK moja kwa moja London kwenda kupokea tuzo fulani kama anavyoonekena kwenye picha hapo chini!

attachment.php

Miaka kumi iliyopita tulikuwa na Rais mtalii.
 
Na bado mpaka roho zitawapasuka kwa husda,akiotoka UK moja kwa moja new york city kuonana na mr obama
 
Nani anaye approve safari za kijinga hizi? Je ni chama? maana ni Mwenyekiti wake. Je ni idara ya utumishi? Maana ni rais mstaafu
 
Afanye vyovyote atakavyo end of the day ni mavumbi tu na Tanzania itazid kunawiri Mungu ibariki Tanzania
 
Huyu jk anapenda sana kutumia vibaya pesa ya walala hoi..maana tumekubaliana sote tubaki hapa tanganyika..sasa yeye anatusaliti
 
Nani anaye approve safari za kijinga hizi? Je ni chama? maana ni Mwenyekiti wake. Je ni idara ya utumishi? Maana ni rais mstaafu

Kuna watu ni wagumu sana kujifunza...hawataki kujifunza na wanafikiria wanajua sana kuliko vile wanavyojua. Ni ngumu kuwasaidia watu wa aina hiyo!!! Watajifunza siku wakianza kuona mambo yanabomoka kila upande.
 
Si mlisema alitoa jina mfukoni mwake? Kulikoni?

Mtakuja na ufataani wa kila aina, hamtoweza, Kikwete yuko Ulaya anapokea tuzo.

Mtaisoma namba CCM ni ile ile, jikumbushe:

jkuhnmmc.jpg

JK alikuja na jina lake ndiyo na Mkapa akapiga veto ndo Magufuli akaokota dodo kwenye muarobaini. Dhambi aliyonayo JK ni kumkata Lowassa na sasa assubiri tu aaje atueleze mwanae alipata wapi mtaji wa biashara zake anazoendesha bila kulipa kodi.
 
Na bado mpaka roho zitawapasuka kwa husda,akiotoka UK moja kwa moja new york city kuonana na mr obama

hili povu wala halitakupa faida yoyote,jamaa yenu hayupo tena madarakani,pili hampo tena kwenye payroll za Lumumba.
itabidi mfanye kazi kwa kujitolea mana hakuna namna.
 
JK alikuja na jina lake ndiyo na Mkapa akapiga veto ndo Magufuli akaokota dodo kwenye muarobaini. Dhambi aliyonayo JK ni kumkata Lowassa na sasa assubiri tu aaje atueleze mwanae alipata wapi mtaji wa biashara zake anazoendesha bila kulipa kodi.
biashara zipi?waweza kuzitaja na anadaiwa kodi bei gani?
 
Tumuache apumzike."!,alivyoingia madarakani,alisema hawezi kumshitaki Mkapa.na yeye naamini Magufuli atakuwa na kauli ya namna hii.
Yaani safari itakuwa imapata idhini ya Mkuu.
Wakati Magufuli anatumbua majipu,kuna watu watakuwa wanamsumbua Mwenyekiti awasaidie kutatua matatizo ya tiba itokanayo na mkamuaji wa majipu.!!
 
Back
Top Bottom