Kikwete alikuwa AK leo yuko London!

Kikwete alikuwa AK leo yuko London!

Wakati wengine tunaambiwa tufunge mikanda Raisi mstaafu ambaye kwa namna moja ama nyingine amechangia kwenye kutufikisha hapa tulipo anakula bata kwa kubadilisha viwanja tu!
njaa mbaya...acha unafiki.

Picha ya kwanza alivyokuwa AK kuhudhuria mkutano wa Raisi wa Uchina


attachment.php



Picha ya Pili alivyotoka AK moja kwa moja London kwenda kupokea tuzo fulani kama anavyoonekena kwenye picha hapo chini!


attachment.php




​

Njaa mbaya sana ....acha unafiki
 
Yeye ameenda south Africa kama nani asilete zile za Vladimir Putin kutoka madarakani lakini vikao vyoote vya nje alikua anaudhuria yeye..amuamini mwenzie aache magufuri afanye kazi zake mwenyewe..
 
Tumuache apumzike."!,alivyoingia madarakani,alisema hawezi kumshitaki Mkapa.na yeye naamini Magufuli atakuwa na kauli ya namna hii.
Yaani safari itakuwa imapata idhini ya Mkuu.
Wakati Magufuli anatumbua majipu,kuna watu watakuwa wanamsumbua Mwenyekiti awasaidie kutatua matatizo ya tiba itokanayo na mkamuaji wa majipu.!!

Magufuli akimwacha tunamgeuka. Kwanza nani anagharimia hizi safari za Jk?
 
Huenda JPM amemteua Jakaya Mrisho kuwa Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
 
hawezi kumzuia kwa sababu ya fadhira aliyo mfanyia.. mkapa aliwahi waambia wabunge wa ccm wanaoikosoa serikali kuwa ninani anaweza kusema alifika bungeni bila msaada wa chama anyooshe mkono juu.. hakuna hata mmoja aliye nyoosha.. bila ujanja ujanja wa mkwere.. mambo yalikuwa tofauti sana.. hivyo msitegemee ana weza kumdhibiti.. kifupi.. mkwere ndo mjanja wake
 
Geofrey,faiza fox,elungata wote mmesema kweli,jk ni mtu maarufu tanzania hii,mh magufuli hana cha kupinga wala kukataa toka kwa jk,inshort he is the godfather of magufuli,mtapiga kelele hazitowasaidia,mkwere ni bonge la mjanja kuliko yyt ndani ya ccm na wote wanamkubali
 
Huyu jk anapenda sana kutumia vibaya pesa ya walala hoi..maana tumekubaliana sote tubaki hapa tanganyika..sasa yeye anatusaliti

Umeandika point ila nimecheka sana.
Eti tumekubaliana sote tubaki hapa tanganyika.
 
Magufuri hana maujanja kwa mkwele.. halafu magufuri ni muoga wa usafiri wa anga.. te te te
 
Mtakufa navyo vijiba vya roho.

Naam, ndiyo ametufikisha hapa kwa Magufuli, baya hilo?

Alipomtema Lowassa mliona kamuonea na alipomwambia Magufuli akagombee Urais alikuwa hakisii.

Ushaanza kujipendekeza kwa maguful we bibi,kama awamu ya jk ukupewa ukuu wa wilaya kwa kuutetea utawala wa jk kwa jpm forget kabisa about it,hivi ukiitwa ulete vielelezo vya kudhibitisha jk alimuandaa pombe amrith una yo,una masikio husikii,una macho huoni,mapadlock amesema na anasema alichukua form kimya kimya,alienda Dom kimya kimya,hakuna mkwepa kod a.k.a mfanyabiashara alomchangia Angie ikulu ni Mungu alomsimamia akawa rais.Unastahili ban ya wiki kwa kutuaminisha uongo we ajuza
 
Ifikie hatua tukubaliane na hali halisi. Kuna mambo ambayo utaishia kuyaona kwa wengne tu lakn ww huwezi kuyafikia. Hata kwenye biblia imeandikwa aliyenacho huongezewa. Kwahyo tuache kulialia.
 
Anatumbua mahela aliyotuibia, si mnakumbuka pale Diamond Jubilee alisema hela za escrow ni hela za madafu tu. Jamani mtu wake home shpoping centre hatajwi ukwepaji kodi inamaana yeye ni mjanja sana hawezi gundulika!?

jifunze kuwa mkweli,hata kama unaemsema humpend..hlo la madafu umeongopa
 
Back
Top Bottom