mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,757
- 6,290
Dua yako ikurudie wewe.
Tofautisha dua na habari za Shigongo kabla ya kutokwa na povu.
Dua yako ikurudie wewe.
Kweli aisee, hilo ni jimbo lao ...baba, mama, watoto mpaka vitukuu, kwani si mnaona picha! Ila kuna likampuni moja likubwa sana na lina majina lukuki mpaka mengine linayabadilisha kila uchao.Hapo ni wami.ni haki yake jamani maji ya hapo ndio yananywesha chalinze
Ahsante kwa kushiriki!Tofautisha dua na habari za Shigongo kabla ya kutokwa na povu.
Sijaelewa! Kaenda kukagua kama nani? Rais, waziri au mbunge? Sielewii.
ficha ujinga wako,kikwete hakumtaka magufuli kikwete alimtaka kaka yake membe,wafuasi wa lowassa ndio waliomchagua magufuli ili membe akose sio unarukiarukia mambo kama wadada wauza bar,huyo jk akipumzika msoga atakosa nini anakagua mradi kama nani,waziri wa maji anafanya kazi gani,mijitu ya pwani mijinga sana ndio maana magufuli kaitosa kwenye uongozi najua na wewe kwa akili zako zinakutosha kuvukia barabara tu ubongo umejaa makamasi kushabikia ujinga ,watanzania dizaini yako mnaongeza idadi ya watu wasio na tija kwa nchi yao tunaonekana tuko mil 45 kumbe kuna mijitu kama bure kabisa,
Off point! To be recycled in the bin.Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mpumbavu,, na inaonekana utakuwa katika moja ya makundi haya..
1. Kula kulala bure.
2. Umehama kwa wazazi wako ulipokuwa over 28.
3. Umekaa Sana kwa shemeji yako aliyemuoa
dada yako.
4. Umetairiwa ukubwani, na hukukaa jandoni.
Katika vitu ambavyo huvijui mpaka sasa kwa akili yako fupi, hawa ndio mawaziri kutoka pwani kwenye serikali ya JPM.
1. KHASIM MAJALIWA.
2.DR HUSSEIN MWINYI.
3.MAKAME MBAWALA.
4. JAFO. Nk.
Kingine ambacho kimeonyesha akili yako fupi, hao wanachama wa CCM waliopiga kura za hasira kwa kumchagua JPM ili kumkomoa JK huku wakijua bosi wao ataama chama na kugombea urais sasa hizo kura za hasira kwanini wasizipeleke kwa mgombea dhaifu wa CCM kama Migiro, Makamba au yule mama wa Zanzibar, ili washinde uchaguzi kirahisi,, kama JK alikuwa na chaguo lake ambaye ni Membe kama unavyotaka kutuaminisha, aliwezaje kumuingiza tano bora na kuwakata mapapa na kumuacha Magufuri ambaye ni tishio kwa mtu wake?? Maana mpaka Makamba,Rose na Membe wameingia tano bora mnasema ni watu Jk sasa hapo inaonyesha ni kwa jinsi gani huyu JK alivyokuwa na nguvu sasa sijui alishindwake kumkata JPM,, nafikiri hujajua kwanini bado Kingunge alikuwa anamlilia Mwenyekiti ambaye ni JK,, bila shaka hujui pia ni kwa jinsi gani vyama vya kijamaa kama CCM vinaendeshaje mambo yake, nenda kasome...
Chuki yako kwa watu wa pwani haiwezi kukusaidia maana hawa watu wanahistoria kubwa kwenye taifa hili ambayo wewe mnya wima huwezi kuijua, jiulize kwanini Nyerere alikuja kukaka dar kuendesha harakati za uhuru zilizoanzwa na kina Sykes, dossa nk,, unajua kuwa kuna watu wa pwani kama Dossa Aziz walifilisika baada ya kutumia rasimali zao kupigania uhuru?? hujui kuwa NYERERE alipewa uongozi na akina Sykes??? Kwa taarifa yako huwezi kuwa rais wa nchi hii kama huna influence kwa watu wa pwani.
Mpaka sasa jiulize na ujanja wenu wote kwanini watu wa pwani ndio wanaongoza hii nchi..
1. Watu wa pwani walimpa hii nchi Nyerere.
2. Watu wa pwani waliwaongoza kupitia Mwinyi.
3. Watu wa pwani pia waliwaongoza kupitia Mkapa, au hujui mkapa naye ni wa pwani pale Masasi, mkoani mtwara..
4. Watu wa pwani wakaongoza tena kupitia JK.
5. Watu wa pwani wakapambana kumleta Magufuri baada ya kulikata lile dubwana, JPM naye kamteua Mtoto wa pwani KHASIM Majariwa.
au hujui kwanini ndugu zetu wa ukawa wanasema JPM ni remote ya Msoga?? Nyie na ujanja wenu wote mnashindwa kabisa kutawala hii nchi wala kuwa na influence katika hii nchi..
Mkuu kati yangu mimi na wewe nina uhakika kwa 100% mimi ndio nina input kubwa kwenye uchumi wa taifa hili kuliko wewe,,kwanza kupitia biashara zangu nalipa kodi kubwa sana ambayo wewe huwezi lipa nina uhakika 100%, pili kupitia aina ya uzalishaji ninaoufanya...
Atakutengeneza kwanza wewe na mubembeLowasa katengeneza mfumo gani mpya hapo CDM?
Alitujengea daraja la mto maragarasi,alakoze mughaboAlikuwa Rais wetu
muacheni
Unapoachangia uzi fulani fanya hivyo ukiwa na akili timamu. Sisis hapa hayo ya dodoma sijui kanda fulani hayatuhusu hata kidogo na wala hatutaki kuyajua tunachojadili ni kuhusu jamaa kupenda attention kuliko raisi aliyeko madarakani kana kwamba utadhani yeye bado raisi na kwa taarifa tu fuatilia mambo utagundua mtu wako unaemtetea kuna aibu ya magari ya state alikuwa anayatumia hata baada ya kutoka kwenye lile jengo ujue mswahili sio mtu.Ukisoma comment za watu utaona ni kwa namna gani watu wanachuki na JK na hii yote ni kwa sababu ya ile shughuli ya pale dodoma goli la dakika ya tisini,, mkiendelea kumjadili JK ni kuendelea kumuongezea umaarufu na hata wale wasiojua kwanini anasakamwa watajua sasa,, endeleeni kupambana jamani jamaa yenu bado ananafasi nyingine 2020, mkiendelea kumsakama JK 2020 mambo yatawaendea kombo tena maana mtakuwa mmetumia muda mwingi kumzomea JK asiye na madhara tena na kusahau kumjenga mtu wenu...
Haya sasa pigo lingine hili tena,, JPM kateua makatibu na naibu kamishna, dah kawatupa mbali jamaa fulani kutoka sehemu fulani hivi maana tabia yao ya wizi, unafiki na tamaa ya kuigeuza tanzania nchi ya watumwa wao imeshajulikana na kila mtu anawachukia sasa,,, game bado mbichi kabisa ndio kwanza asubuhi..
Hamna kitu kizuri kama muda.Sisi tuangalie mwisho wa picha majibu yatapatikana.Jamaa ana hulka ambazo bila kuupa muda wakati watu wanaweza wasimjue ila muda ni jibu zuri sana.Tuupe Muda wakati?sijakusoma Obuma
Umemuuliza swali la msingi sanaaaaaaaaaaaaaaaa.Akijibu natembea u...c...h..i kama kichaaKwa hiyo tuna marais wawili?Mmoja yuko Magogoni na mwingine yuko Msoga?
Ningekuwa babako ningekubadilisha na gunia la pumba ili kuku wa nyumbani wapate chakula kwa sababu ningewatumia kama kitoweo baadae.Mimi nalia na jk katuharibia mno elimu yetu watu na mostly vijana wamekuwa na utapiamlo wa kufikiri au tuseme kwashiakoo ya kufikiri tuombe mungu magufuli anaweza rudisha heshima ya elimu yetu tukaanza kupata vijana wanaoweza kufiki kama zamani.Kizazi cha jk kimekuwa kama yeye hopelessssssss kabisa.Inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mpumbavu,, na inaonekana utakuwa katika moja ya makundi haya..
1. Kula kulala bure.
2. Umehama kwa wazazi wako ulipokuwa over 28.
3. Umekaa Sana kwa shemeji yako aliyemuoa
dada yako.
4. Umetairiwa ukubwani, na hukukaa jandoni.
Katika vitu ambavyo huvijui mpaka sasa kwa akili yako fupi, hawa ndio mawaziri kutoka pwani kwenye serikali ya JPM.
1. KHASIM MAJALIWA.
2.DR HUSSEIN MWINYI.
3.MAKAME MBAWALA.
4. JAFO. Nk.
Kingine ambacho kimeonyesha akili yako fupi, hao wanachama wa CCM waliopiga kura za hasira kwa kumchagua JPM ili kumkomoa JK huku wakijua bosi wao ataama chama na kugombea urais sasa hizo kura za hasira kwanini wasizipeleke kwa mgombea dhaifu wa CCM kama Migiro, Makamba au yule mama wa Zanzibar, ili washinde uchaguzi kirahisi,, kama JK alikuwa na chaguo lake ambaye ni Membe kama unavyotaka kutuaminisha, aliwezaje kumuingiza tano bora na kuwakata mapapa na kumuacha Magufuri ambaye ni tishio kwa mtu wake?? Maana mpaka Makamba,Rose na Membe wameingia tano bora mnasema ni watu Jk sasa hapo inaonyesha ni kwa jinsi gani huyu JK alivyokuwa na nguvu sasa sijui alishindwake kumkata JPM,, nafikiri hujajua kwanini bado Kingunge alikuwa anamlilia Mwenyekiti ambaye ni JK,, bila shaka hujui pia ni kwa jinsi gani vyama vya kijamaa kama CCM vinaendeshaje mambo yake, nenda kasome...
Chuki yako kwa watu wa pwani haiwezi kukusaidia maana hawa watu wanahistoria kubwa kwenye taifa hili ambayo wewe mnya wima huwezi kuijua, jiulize kwanini Nyerere alikuja kukaka dar kuendesha harakati za uhuru zilizoanzwa na kina Sykes, dossa nk,, unajua kuwa kuna watu wa pwani kama Dossa Aziz walifilisika baada ya kutumia rasimali zao kupigania uhuru?? hujui kuwa NYERERE alipewa uongozi na akina Sykes??? Kwa taarifa yako huwezi kuwa rais wa nchi hii kama huna influence kwa watu wa pwani.
Mpaka sasa jiulize na ujanja wenu wote kwanini watu wa pwani ndio wanaongoza hii nchi..
1. Watu wa pwani walimpa hii nchi Nyerere.
2. Watu wa pwani waliwaongoza kupitia Mwinyi.
3. Watu wa pwani pia waliwaongoza kupitia Mkapa, au hujui mkapa naye ni wa pwani pale Masasi, mkoani mtwara..
4. Watu wa pwani wakaongoza tena kupitia JK.
5. Watu wa pwani wakapambana kumleta Magufuri baada ya kulikata lile dubwana, JPM naye kamteua Mtoto wa pwani KHASIM Majariwa.
au hujui kwanini ndugu zetu wa ukawa wanasema JPM ni remote ya Msoga?? Nyie na ujanja wenu wote mnashindwa kabisa kutawala hii nchi wala kuwa na influence katika hii nchi..
Mkuu kati yangu mimi na wewe nina uhakika kwa 100% mimi ndio nina input kubwa kwenye uchumi wa taifa hili kuliko wewe,,kwanza kupitia biashara zangu nalipa kodi kubwa sana ambayo wewe huwezi lipa nina uhakika 100%, pili kupitia aina ya uzalishaji ninaoufanya...
Hyperbole aside.umeongea kweli mkuuHuyu mkweree ndio atakuwa obstacle nambari moja kwa Magufuli kutimiza malengo yake ama sivyo atamuwekea kiwingu ili awe one term president!! Magufuli ni lazima awe macho na mbinu za DHAIFU!!
KweliJK ashauliwe atulie, mbona yeye Mkapa hakumuingiliaga hivi? angejua kwa madudu yake tunapata kichefuchefu kumuona wala asingetokeza tokez adharani hivi
Hii kali kabisa..nasikia jamaa ni mtu wa congoanatakiwa achunguzwe kuhusu uraia wake ,mtu gani asiye na huruma ,alitakiwa awe amejifungia msoga huko kwa uzembe na uzururaji aliofanya akiwa rais
hatutatoa tena nchii kwa mijitu ya pwani ,post yako imethibitisha tanzania iko nyuma kwa sababu ya mijitu ya pwani kama wewe na hao uliowatajaInaonyesha ni jinsi gani ulivyo mpumbavu,, na inaonekana utakuwa katika moja ya makundi haya..