mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,310
- 6,548
Ni kama yule jamaa wa mzeriKuna mwana jf mmoja aliwahi kusema kuwa mzee wa msoga neno aibu halipo kichwani mwake
Ni kama yule jamaa wa mzeriKuna mwana jf mmoja aliwahi kusema kuwa mzee wa msoga neno aibu halipo kichwani mwake
Wewe jamaa naona ushapiga kayoga yako, mimi nipo hapa kakonko centre nakula lagerNi kama yule jamaa wa mzeri
Kwa katiba ipi? Au ya msoga?Halafu wadhifa wake bado unamruhusu kufanya hivyo.
Bahati mbaya lowasa amesha oa vinginevyo ungekuwa mkewe wa piliLowasa katengeneza mfumo gani mpya hapo CDM?
Mkuu picha haifungukiWewe jamaa naona ushapiga kayoga yako, mimi nipo hapa kakonko centre nakula lager
Obuma uko sahihi yawezekana hata huu msululu wa makatibu wakuu ina mkono wake.Nimeangali na kufuatilia mambo nimegundua Tanzania yangu ina serekali Mbili.Moja tunaijua ambayo ni halali na nyingine inafanyia kazi mafichoni.Hii ya mafichoni muda si mrefu kama system haitaikemea inaimeza serekali halali muda si mrefu.Tuupe muda wakati.
Bonge la remoteObuma uko sahihi yawezekana hata huu msululu wa makatibu wakuu ina mkono wake.
Nafikiri ni tatizo la kimtandao hata mimi niligundua hiloMkuu picha haifunguki
Tuma tena.....Nafikiri ni tatizo la kimtandao hata mimi niligundua hilo
Inakataaa kabisa kwa sasa natumia simuTuma tena.....
Ok wacha nikuoneshe za mzeriInakataaa kabisa kwa sasa natumia simu
Teeeeeeh teeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeh ziko wapi mkuu?Ok wacha nikuoneshe za mzeri
Huku ni mist tuOk wacha nikuoneshe za mzeri
maswali mengine ya kipuuzi sanaLowasa katengeneza mfumo gani mpya hapo CDM?