Kikwete akabidhiwa magari 50 ya wagonjwa

Nani kakasema nipo UKAWA, mie naangalia maslahi mapana ya Taifa, wewe nafikiri unategema kulamba watu miguu ili ule.
Jibu hoja acha porojo

King fish mtoto wa Buguruni team acha kujificha chini ya uyoga UKAWA tu unajifanya kukimbia kivuli chako!
 
Inawezekana maana wakati nazaliwa hata sikuwa najifahamu. Ila mwenzangu ulizaliwa KITU kimesimama, kikapita kinakwaruza kuta. For this reason you are real Mother***ker :)

St .....d Embassy, the devil repr in action!tumika na this year ukawa wanataka uwe ngao kwenye maandamano!Useless
 
Mkuu makuu gani ya kwenda kupewa msaada ya jambo ambalo tunaliweza kwa kodi zetu kama zikipangiliwa vizuri? Ambulance 50 kwa jumla ya $ 300,000.00 ni sawa na $ 6,000.00 kwa kila moja! Yeye na msafara wake katumia ngapi kwenye safari? Juzi kati tulitangaziwa serikali yake ina mpango wa kununua mashangingi (Landcruiser V8) 171 - kwa ajili ya matumizi ya kifahari ya watumishi wa serikali yake! Kwamba tumeonekana hatuna vipaumbele mpaka tukapewe Ambulance za bei hiyo, tumechaguliwa tusi ili lisituumize sana au? Tafakari!

Kupanga ni kuchagua. Hii serikali ina misplaced priorities.

Hivi bei ya Landcruiser mbili tu hainunui hizo Ambulance mpaka tujidhalilishe kutembeza bakuli? Kagame pamoja na chuki tulinazo nazo kwake lazima tukubali kwamba tuna ya kujifunza toka kwake. Aliagiza wataalamu wafanye upembuzi wa matumizi ya magari ya serikali yake. Maana magari hayo gharama si kununua peke yake bali pia kuyahudumia- matengenezo, vipuri na mafuta. Baada ya upembuzi huo, mengi yaliuzwa kwa mnada ambao watanzania wengi walienda kuyanunua.

Tanzania tunahitaji sana kitu cha namna hiyo. Pesa itakayookolewa ipelekwe kwenye elimu na afya.
 
India yenyewe huko vijijini kwao wana matatizo makubwa kuliko ya kwetu hapa eti msaada JK atuambie na yeye kawapa nini hawa Wahindi

Utakuta mtu katoa msaada ili apewe kitalu cha gesi maana akili zetu watanzania hata Mungu anashangaa tumetoa wapi. Sijui tunakula maharage ya wapi wakati wa kufanya maamuzi!
 
India yenyewe huko vijijini kwao wana matatizo makubwa kuliko ya kwetu hapa eti msaada JK atuambie na yeye kawapa nini hawa Wahindi

Jamaa unaakili sana umenikumbusha msemo wake kuwa ukitaka kula lazima na wewe uliwe! te te te!
 
Hii kampuni inajihusisha na Vito vya thaman kam madin...wasije wakawa washapewa shimo geita..cc tunabak na ambulance 2
 
Hahahaaa, uligusa KUTA mshikaji. Wee kubali yaishe. Yaani hujatoka duniani bado, ukaonja URODA. Aisee..... How does test?

stock-photo-thousands-of-tourists-visit-daily-the-chinese-wall-a-family-walking-on-the-great-wall-of-china-138458411.jpg


St .....d Embassy, the devil repr in action!tumika na this year ukawa wanataka uwe ngao kwenye maandamano!Useless
 
Mwenzio VYA CHINI naviogopa sana. Siku zote natazama JUU tu. Dola laki tatu ni UTANI kumpa Rais wa nchi.

Nenda Kenya mpe Moi hiyo fedha kama hajakurushia usoni na kutoa Laki tano na kukupa.

Usitazame aliye juu yako, tazama aliye chini yako.
 
Yaani huyu jamaa huenda anawajua viongozi wa Tanzania kuwa ni mapanya.

Ndio maana akaamua kuleta Magri badala ya kuleta msaada wa fedha kwani kusinge nunuliwa hat gari au kama wakinunua machache lazima yatakuwa mtumba.

Na pia hii ni dharau kwa tanzania. Tuna uwezo mkubwa kiuchumi tatizo hakuna wa kusimamia wote wamekuwa Mapanya tu, kutokana na ufisadi tunashindwa kutoa huduma nzuri za jamii Mfano Upande wa Afya.

CCM 001.jpg


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom