Kikwete akabidhiwa magari 50 ya wagonjwa

Rais Kikwete kafanya makubwa kwa nchi hii. Tutamkumbuka daima

Ni kweli kwa kushusha uchumi kutokea budget ya dola bilion 10 mwaka 2005 mpaka dola bilioni 9 mwaka 2015.
Hongereni sana wana CCM, tuambieni reserve BOT iko kiasi gani???
 
Hivi hapo amefanya au 'kakabidhiwa'!?
Do you still believe on 'free lunch in town...!?
Mazuzu tu ndio wataendelea kuamini lakini ukweli ni kuwa lile deni hili linaongezeka kwenye ile 850,000/- ambayo kila Mtanzania anadaiwa. Tena hiyo 850,000/- ni kabla ya hiyo $800m waliyokopa jana!

None of ua B, WEWe umekopa ngapi?
 
Ni kweli kwa kushusha uchumi kutokea budget ya dola bilion 10 mwaka 2005 mpaka dola bilioni 9 mwaka 2015.
Hongereni sana wana CCM, tuambieni reserve BOT iko kiasi gani???
Baada ya kuona reserve inakaribia sifuri wameamua kwenda kukopa $ 800m kureplace, hao ndio wachumi wetu. Kwa gear hii ni kweli huwezi kujua ni kwa nini nchi ni masikini.
 
Ficha upumbavu wako hizi siasa za ukawa ni maji marefu! dude concentrate kwenye unga wako!

UKAWA politcs is like mkia wa mbuzi, matumbo mbele wananchi kesho dont be poor because your poor! 230 ml per Mp UKAWA included still huoni? Ua Idiot!
 
Baada ya kuona reserve inakaribia sifuri wameamua kwenda kukopa $ 800m kureplace, hao ndio wachumi wetu. Kwa gear hii ni kweli huwezi kujua ni kwa nini nchi ni masikini.

WAULIZE UKAWA this year wamekula ngapi?na bado hawataki kukaguliwa na CAG zombie party in action!
 
Dola laki tatu? Hivi gari analotembelea Mosha ni bei gani vile? Mtoto wa Bakhresa je? Hizo ni SHANGINGI mbili tu.

Mchuma wa Diamond, the Platinamuz, alipewa na mpenziwe Zari ni T.Shs. 500,000,000.
 
Back
Top Bottom