Kikwete akabidhiwa magari 50 ya wagonjwa

Kikwete akabidhiwa magari 50 ya wagonjwa

Yaani huyu jamaa huenda anawajua viongozi wa Tanzania kuwa ni mapanya.

Ndio maana akaamua kuleta Magri badala ya kuleta msaada wa fedha kwani kusinge nunuliwa hat gari au kama wakinunua machache lazima yatakuwa mtumba.

Na pia hii ni dharau kwa tanzania. Tuna uwezo mkubwa kiuchumi tatizo hakuna wa kusimamia wote wamekuwa Mapanya tu, kutokana na ufisadi tunashindwa kutoa huduma nzuri za jamii Mfano Upande wa Afya.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Nguvu ya sembe utaijua tu teh teh teh Soma meseji chini hapo inasemaje afu uniambie na wewe ni mtanzania au muhamiaji haramu tatizo la kucopy na kupaste bila kutumia akili mazuzu utayajua tu!
 
Mwenzio VYA CHINI naviogopa sana. Siku zote natazama JUU tu. Dola laki tatu ni UTANI kumpa Rais wa nchi.

Nenda Kenya mpe Moi hiyo fedha kama hajakurushia usoni na kutoa Laki tano na kukupa.

Ambulance hamsini itakuwa wamekosea figure ni million 3.

Hata uki google bei za ambulance used ni zaidi ya hiyo.

Wewe tazama tu wajuu lakini kumbuka, hata pua na macho yako yanakusuta, yanaanganilia juu? Fikiri.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Rais Kikwete kafanya makubwa kwa nchi hii. Tutamkumbuka daima

hahahahaaaaa kweli hatari....makubwa kwa misingi ipi ? maana sijaelewa hapo....watu wanaweza kumbumbika kwa ubaya au uzuri...fafanua mkuu
 
Mdini mkubwa wewe bila kutaja awamu ya kwanza kinakuwasha! Hii ngwe ya kikwete hujawaona waliokwapua pesa!

Endelea kushinda na njaa eti swaumu! #$^&*

Kajansi comment kama hizi zenyekuelekea kukashifu na kubeza imani ya dini ya Kiislamu hazitakisaidia chama chako cha CHADEMA,badala yake unazidi kuwaaminisha wananchi kama sisi tusikuwa na kadi za vyama kwamba chama chenu ni cha upande fulani. ushauri wangu jaribu kuwa mstaarabu toa comment za kujenga na sio za kubomoa.kwa mfano hapo SWAUMU AU FUNGA YA WAISLAMU inahusu nini na huyo dada alivyoandika hapo? BAVICHA kuweni makini, na viongozi wa BAVICHA waambieni watu wenu wasicheze na IMANI za watu mtajiharibia.
 
Lakini afadhali kidogo itafidia nauli inayoungua angani!!! Jamaa wameona hili pia...
 
Back
Top Bottom