Kikwete akabidhiwa magari 50 ya wagonjwa

Kikwete akabidhiwa magari 50 ya wagonjwa

Labda ni ambulance 5 na siyo 50? Umefikiria hilo pia.


Are u serious...!? This is just simple basic Maths..!!" In ndia kuna cheapest Ambulances...!!" moja ni kama $ 7,000

So, $ 300,000 u can get up to 50 Ambulances, ukiwa INDIA...!!! @ around $ 6,000 to $ 7,000... very possible kupata 50 ambulances made in India, for $ 300,000
 
Angalia na upande wa pili: huyo Shah hadi atoe magari hayo atakuwa ametuibia madini yetu kwa kiasi kikubwa.



There you are....!!! Anatoa msaada wa $ 300,000 while ktk madini kaiba tena ukute kodi kakwepa au kalipa very minimum na kapata $ 3,000,000,000 i.e $ 3b...!!!
 
watawala wa tanzania waliona ni vyema kununua magari 700 ya washawasha kuliko kunua magari ya kubebea wangojwa, alafu kwenye kampeni watajifunia magari hayo ya kupewa kwamba wanauongozi mzuri,mtegemea cha kupewa hufa masikini
 
Ambulance hamsini itakuwa wamekosea figure ni million 3.

Hata uki google bei za ambulance used ni zaidi ya hiyo.

Wewe tazama tu wajuu lakini kumbuka, hata pua na macho yako yanakusuta, yanaanganilia juu? Fikiri.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Weee nawe kapumbavu sana kwa nini usiseme wamekosea figure ni ambulance 5 au 3?
 
Decent Dia Jewel (DMCC, hivi kuna mtu hata kwa ku'google' tu amekutana na kampuni yenye jina hilo? Hata vichochoroni Mumbai kampuni hiyo haijulikani. Je ikulu ya Tanzania imeijuaje hii kampuni? Mpaka inatoa msaada kimataifa lazima tu ingejulikana huko India katika biashara ya vito (jewelry) lakini ndio hivyo tena haijulikani. Yale yale ya Richmond Development Company...sijui safari hii sisi tumewakabidhi nini!

Pamoja na hayo ambulensi 50 kwa dola 300,000 ni sawa na kila moja kwa dola 6,000! Ni magari au pikipiki? Nakumbuka tuliwahi kuletewa za mwanzo.
[h=3]
DECENT DIA- JEWELS PRIVATE LIMITED -...
[/h]corporatedir.com/company/decent-dia-jewels-private-limitedCached

Decent Dia-jewels Private Limited was registered on 09 March, 2010. Decent Dia-jewelsPrivate Limited's Corporate Identification Number (CIN) is U36911MH2010PTC200688 ..
 

DECENT DIA- JEWELS PRIVATE LIMITED -...


corporatedir.com/company/decent-dia-jewels-private-limitedCached

Decent Dia-jewels Private Limited was registered on 09 March, 2010. Decent Dia-jewelsPrivate Limited's Corporate Identification Number (CIN) is U36911MH2010PTC200688 ..
Asante sana wajingawatu kwa hii post yako. This is exactly what I expected and to tell the truth it is more than embarrassing. Kampuni hata haiko kwenye orodha ya makampuni ya vito Mumbai lakini ajabu imeweza kujipenyeza hadi Ikulu na kutoa kinachoitwa msaada wa ambulensi za dola 6,000 kila moja. Have we as a nation sunk that low? Kama taifa tunajenga mahusiano na makampuni ya vichochoroni kama Decent Dia-jewels Private Limited, kampuni ya mitaani isiyo na historia yoyote zaidi ya kudaiwa ilisajiliwa mwaka 2010 ikimilikiwa na watu wawili tu ambao ni ndugu.
 
Last edited by a moderator:
Kwani alienda kuomba ?? Au kapewa zawadi?

Bila shaka wangetoa na mafuta ya kuziendesha mana ztakua juu ya mawe not only coz are not working bt no budget to run them including fuel.
It can be a spare part deal as well;
 
Waziri gani au Rais gani au familia yake ya karibu watakubali kupanda hizo pikipiki?

Huko njiani ukikutana na shangingi la Chenge, anakumalizia kabisa na analipa faini laki saba.

Are u serious...!? This is just simple basic Maths..!!" In ndia kuna cheapest Ambulances...!!" moja ni kama $ 7,000

So, $ 300,000 u can get up to 50 Ambulances, ukiwa INDIA...!!! @ around $ 6,000 to $ 7,000... very possible kupata 50 ambulances made in India, for $ 300,000
 
Bila shaka wangetoa na mafuta ya kuziendesha mana ztakua juu ya mawe not only coz are not working bt no budget to run them including fuel.
It can be a spare part deal as well;
unataka upewe na mafuta ndugu wakati umepewa bure.
 
Ahsante tunashukuru kwa Mwenyeezi Mungu kwa msaada uliotupa.

Ni heri wewe Shah unaona baadhi ya faida uipatayo uirudishe Tanzania. Kuliko wezi Watanzania wanaohamisha fedha na kuzipeleka mabenki ya wazungu, wakifa zimekwenda hata watoto hawapati.

Nnakijuwa kisa cha ukweli kabisa cha Waziri mmoja wa awamu ya kwanza ambae alichapwa fedha zake benki ya Uswisi na wakishachapwa huwa hawasemi, wapo wengi tu.
Napenda hoja za FaizaFoxy hasa anapokuwa neutral bila itikadi. Hongera, natumaini Lizaboni na Ritz wataiga mazuri haya.
 
watawala wa tanzania waliona ni vyema kununua magari 700 ya washawasha kuliko kunua magari ya kubebea wangojwa, alafu kwenye kampeni watajifunia magari hayo ya kupewa kwamba wanauongozi mzuri,mtegemea cha kupewa hufa masikini
Hivi hawawezi kuyabadilisha kuwa ambulance.
 
Back
Top Bottom