Maarifa
JF-Expert Member
- Nov 23, 2006
- 4,568
- 2,911
Kikwete ni mwanapropaganda aliyekubuhu. Nimeshangaa Rais Anakiri kuwa Richmond ilikuwa kampunin hewa!! Je ni richmond ngapi nchi imesign mokataba nazo? Je kwa upande wa TANESCO Ni nani aliwajibishwa? Je Hii DOWANS hajataja miliki wake halisi, Je Mbona hajsema lolote kuhusu RA? Lakini wakati anongelea mapato ya CCM amesema chapa kinategemea ruzuku na Kutoka kwa WAFADHILI i.e RA. Na hivyo kupoteza uhuru wake. Alikuwa nakiri kuwa hana uhuru wala mamlaka juu ya RA kama mfadhili wa ccm