Good prediction keep it up! Viva Mozambique, Viva Frelimo...
Masatu be my witness! we will be shocked!
Good prediction keep it up! Viva Mozambique, Viva Frelimo...
Hayo mengine labda anaweza kuyafanyia kazi... Lakini hili alishasema zamani kuwa hatolifuatilia...!d. Kuruhusu uchunguzu huru ufanyike dhidi ya Rais Mkapa na utawala wake (I don't know if that will work kwani yeye JK alikuwa ni sehemu ya utawala huo huo).
DEVIL YOU ARE RIGHT ..BUT PLEASE I BEG YOU TO DIFFER ON THIS...
we will not get any where with witch hunting.
AFTER NYERERE ...mkapa is THE BEST PRESIDENT we have have had.
Tukeshe tunajadili mabaya ya Mkapa na tusahau kuvurunda kwa serikali hii ni PROPAGANDA MBAYA KABISA...sio lazima ukubaliane na mimi lakini huo ndo ukweli halisi..
Good prediction keep it up! Viva Mozambique, Viva Frelimo...
sasa, hebu tupange kimfuatano. Ili aokoe Urais wake na kuiokoa CCM afanye yafuatayo:
a. Badili Baraza la Mawaziri -
Sasa hata leo hii mkisema rais akiteu watendaji wakuu lazima wapitishwe na bunge mimi bado yatatupata haya haya ya EL.
Nawaambia, yaani bora tushinde tomorrow.. maana ukishinda ile adrenaline rush inakufanya ujisikie unapaa hata kama unachanja mbuga.. inaweza kukupa feeling ya mirage ukajiona umeshinda lotto! Tatizo ni pale adrenaline itakapoisha!
Mzee FMES, Katiba inasema hivi Rais atateua Waziri Mkuu toka kwenye chama chenye wabunge wengi zaidi Bungeni kama hakuna chama chenye wabunge wengi zaidi basi yule anayekubalika zaidi na wabunge. Mabadiliko ya mwisho ya Katiba yamemuweka WAziri Mkuu kama nafasi ya tatu ya kukaimu Urais.. now.. imagine kwamba 2010 Chadema, CUF or one of the opposition parties inapata wabunge wengi kuliko CCM au wapinzani wanawazidi CCM.. guess what will happen before that especially kama CCM wataona kuwa watapoteza wabunge kwenye uchaguzi wa 2010?
unaweza kutueleza vigezo vinavyokushawishi kuamini hao mawaziri uliotaja wanastahili kubaki?Baraza hili linahitaji kuvunjwa na kupunguzwa, na wakati muafaka ni sasa kwani yeye anchohitaji kuwaeleza mawaziri hawa ni kwamba alikuwa anafanya experiment na sio siri kuwa haiku-work out,
kuna anaotakiwa kuwaondoa na kuwabakisha, bado anahitaji watu kama Mwandosya(Miundombinu), Mramba(Fedha), Magufuli(Mambo ya Ndani), Membe(Usalama), Msabaha(Nishati), Sarakikya(Ulinzi), Masha(Nje), Dr. Mwakyusa(Afya) wengine wastaafishwe kwa manufaa ya umma na iwe marufuku kupewa uongozi wa taifa tena, na atafute wapya kujaza nafasi zingine!
Akifanya hili, then alishawishi bunge kupitisha sheria mpya ambayo itatupa wananchi madaraka ya kuwakubali na kuwakataa viongozi wanaochaguliwa na rais, kutokana na rekodi zao, kama vile Waziri Mkuu anavyopigiwa kura bungeni kabla ya kushika madaraka hayo, akibadili hili tu moja mengine yote yatajipanga yenyewe!
Otherwise utakuwa ni mchezo wa kuigiza tu!
Baraza hili linahitaji kuvunjwa na kupunguzwa, na wakati muafaka ni sasa kwani yeye anchohitaji kuwaeleza mawaziri hawa ni kwamba alikuwa anafanya experiment na sio siri kuwa haiku-work out,
kuna anaotakiwa kuwaondoa na kuwabakisha, bado anahitaji watu kama Mwandosya(Miundombinu), Mramba(Fedha), Magufuli(Mambo ya Ndani), Membe(Usalama), Msabaha(Nishati), Sarakikya(Ulinzi), Masha(Nje), Dr. Mwakyusa(Afya) wengine wastaafishwe kwa manufaa ya umma na iwe marufuku kupewa uongozi wa taifa tena, na atafute wapya kujaza nafasi zingine!
Akifanya hili, then alishawishi bunge kupitisha sheria mpya ambayo itatupa wananchi madaraka ya kuwakubali na kuwakataa viongozi wanaochaguliwa na rais, kutokana na rekodi zao, kama vile Waziri Mkuu anavyopigiwa kura bungeni kabla ya kushika madaraka hayo, akibadili hili tu moja mengine yote yatajipanga yenyewe!
Otherwise utakuwa ni mchezo wa kuigiza tu!
naomba nitofautiane nawe kidogo hapo kwa Mramba coz huyu mtu hana lolote.Angalia ushauri alompa Mkapa kuhusu Rada,ndege ya rais na majibu yake kwa wananchi.He's useless minister than appendix
unaweza kutueleza vigezo vinavyokushawishi kuamini hao mawaziri uliotaja wanastahili kubaki?
Mwandosya(Miundombinu), Mramba(Fedha), Magufuli(Mambo ya Ndani), Membe(Usalama), Msabaha(Nishati), Sarakikya(Ulinzi), Masha(Nje), Dr. Mwakyusa(Afya)
Katiba inasema hivi Rais atateua Waziri Mkuu toka kwenye chama chenye wabunge wengi zaidi Bungeni kama hakuna chama chenye wabunge wengi zaidi basi yule anayekubalika zaidi na wabunge. Mabadiliko ya mwisho ya Katiba yamemuweka WAziri Mkuu kama nafasi ya tatu ya kukaimu Urais.. now.. imagine kwamba 2010 Chadema, CUF or one of the opposition parties inapata wabunge wengi kuliko CCM au wapinzani wanawazidi CCM.. guess what will happen before that especially kama CCM wataona kuwa watapoteza wabunge kwenye uchaguzi wa 2010?