GE2010 Kikwete aanguka ghafla Jangwani...!

Mfalme wa miondoko ya Pop duniani marehemu M.J naye aliangukaga jukwaani hivihivi kama muungwana wetu J.M.

Naomba niulize kaswali kamoja. Huyu muungwana J.M aliwezaje kufikia cheo cha kanali huko JWTZ kama afya yake iko NA mgogoro kiasi hiki? na lile rigwaride aliliwezaje???

Huyu alikuwa kitengo cha siasa! Kitengo hichi huwa hawana magwaride wala mafunzo mengine ya kijeshi
 
Kama zingekuwa ngumi za kulipwa na kama mimi ningekuwa kocha wa huyu jamaa ningetupa taulo ndani ya ulingo ili kumnusuru na dhahama inayoweza kumkuta.

Anavyoonekana huyu hawezi kumaliza roundi 12 kama roundi ya pili tu yuko hivi je ya sita atakuwaje.

Ila kama washauri wake ni vichwa ngumu wamrudishe tena Jangwani waone.
 
Natafuta wasifu wa Madaktari wa Raisi wamesomea wapi na nini! Napata uchungu kuona raisi anaanguka vile hadharani, wanafanya kazi zao kinyume na ethics na kiapo cha udakatari, hii aibu Kikwete ataendelea ipata hadi lini?

Kikwete kwa sababu za kiafya achana na kazi ya kuomba uraisi hufai na unakifafa!

Aisee
 
Inawezekana madaktri wake wanafurahia hali hii, watu husema bila magojwa kusingekuwa na haja ya daktari kwa hiyo kuanguka kwa rais ni faraja kwao hata kuiomba per diem inakuwa rahisi.
 
Kama mawaziri na vimada wao wanafanyiwa medical check up nje ya nchi kwanini Kikwete asitumie nafasi hiyo kwenda kujitibu kuanguka anguka wakati wa Ramadan! Am Joking najua ugonjwa wake na tiba
 
Aiseee mzee nataka kwenda kubariki mtoto sehemu! Niwekee ile anasema aiseeee na kula mwereka
 
Ni muhimu kujikumbusha hadi siku ya uchaguzi maana watanzania wasahaulifu sana wasije wakafanya makosa tena

WATANZANIA MTALIA NITAWAOMBEA KWA MOLA............nimesahau kidogo anayejua please amalizie nataka nianze mazoezi

Sijui hawa wameanza mazoezi tayari.............

5yhkip.jpg
 
Kwa nini Rev unaturudishia hii, ona simanzi za hao kinamama; ila nao washikishwe adabu, hakuna sababu ya kuchagua kile ambacho kitakufanya ulie! Unalia moja kwa sababu matamanio yako hayajatekelezwa, pili unalia kwa kumsikitikia kiumbe mwenzako anayeanguka sababu tu ni kuwekwa mbele ya kadamnasi ambayo anaiogopa, kwa nini kwa sababu ya madhambi yake. Dhambi inamwangusha hakuna lingine. Ni kivuli chake kinamtisha anaogopa, anaishiwa nguvu, na ni hatari anaweza akapoteza maisha kwa kujihofia mwenyewe!
 
Na nimewapa ushauri wa bure wasirogwe tena kumrudisha jangwani wasije wakasema sijawaambia.
 
waende wapi sasa mwembe yanga ahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Kweli lazima tuendelee kukumbusha mgombea wa CCM mgonjwa
 
Back
Top Bottom