Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Kusema ukweli, hili tukio linatia huruma sana. Ni vema CCM wakaliangalia hili upya. Kwa matukio haya, hata JK mwenyewe atakosa ujasiri katika baadhi ya mambo, na hivyo kushindwa kuwa kiongozi mzuri. Kwa kweli ni bora uchaguzi uchelewe, lakini asimamishwe mgombea mwingine. Hizi si dalili nzuri kabisa. Mtu mzima kuanguka vile kwa kweli haileti picha kabisa. Nimesikitika sana.
Hivi kuanguka kwake na Chadema kuna uhusiano gani aaahgggg, kwani alitumwa na Chadema kuanguka hilo ni tatizo lake kama anatafuta huruma kama mnavyosema basi aendelee kuanguka ili apate huruma nyingi, mnafanya utetezi bogus kabisa.Tatizo la chadema mnafikiri mtakwenda Ikulu kwa matusi ya kisiasa dhidi ya wapinzania wenu CCM. Mnajitafutia ajali ya kisiasa bure. mwaka huu kikwete katangaza kampeni za kistaarabu na kaagiza kila mgombea CCM afanye hivyo. Hii ni kete ya ushindi.
Ahaa ni ile slumdog millionaire,macho diliko, uwezo wako wa kuextra polate situations bahati mbaya ni mdogo sana.Kama wewe una wasiwasi usifikirie ni watanzania wote!!!! Una wasiwasi wa nini?
hapa ndugu yangu tuongee ukweli kabisa mimi au umma wa Tz haujaona mahali popote amkekuwa mtu wa kisasi watu wamekuwa wakimsema lakini amekuwa mpole. me nafikiri ingekuwa wakati wa uwazi na ukweli hapa hata hizi blog zisingekuwepo
hapa ndugu yangu tuongee ukweli kabisa mimi au umma wa Tz haujaona mahali popote amkekuwa mtu wa kisasi watu wamekuwa wakimsema lakini amekuwa mpole. me nafikiri ingekuwa wakati wa uwazi na ukweli hapa hata hizi blog zisingekuwepo
Hivi kuanguka kwake na Chadema kuna uhusiano gani aaahgggg, kwani alitumwa na Chadema kuanguka hilo ni tatizo lake kama anatafuta huruma kama mnavyosema basi aendelee kuanguka ili apate huruma nyingi, mnafanya utetezi bogus kabisa.
Nachingwea,hapa ndugu yangu tuongee ukweli kabisa mimi au umma wa Tz haujaona mahali popote amkekuwa mtu wa kisasi watu wamekuwa wakimsema lakini amekuwa mpole. me nafikiri ingekuwa wakati wa uwazi na ukweli hapa hata hizi blog zisingekuwepo
Du !
Haya kumekucha huko Jangwani mwenye news zaidi atujulishe hii ni kwa mujibu wa TBC ndo naangalia hapa, Rais Kikwete kadondoka live akihutubia.
Rais Jakaya Kikwete akiwa amebebwa na walinzi pamoja na wasaidizi wakati alipoanguka Jukwaani Jangwani
Masononeko na vilio mara baada ya Rais Kikwete kuanguka (photo: PwaniRaha.com)
VIDEO:SEHEMU YA KWANZA
SEHEMU YA PILI
Mkuu hiyo video ya mwisho Michuzi atakuwa katiwa msukosuko kaiondoa haraka. Ila kama ingepatikana kwa western media ingemdhalilisha sana rais, haifai kabisa kuwa online yaani nimeiangalia mpaka machozi yamenitoka aisee, rais wetu mgonjwa maana kabla hajaenda chini alianza na kusema "[B]Aisee!![/B]" ikiashiria gonjwa linakuja. Nafikiri hahitajiki kutembea nchi nzima kwa campaign, aende sehemu muhimu tu. Ila sisi kama raia tuna haki ya kujua afya ya rais wetu mambo ya kufichaficha si kitu kizuri. Nina uhakika kama tungekuwa tunajua afya yake tusingeshtuka kwa hili. Inatisha sana
Pole Jk, sijui unatatizo gani jamani, mbona kila mara jangwani kwenye uzinduzi waanguka.