Natafuta kazi kama mwalimu wa literature in english na history

wilson nisha

Member
Mar 13, 2020
27
21
Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa Mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu.

ELIMU:
Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017. Literature in English na history kama masomo ya kufundishia.

UZOEFU;
nimefundisha kama mwalimu Wa kujitolea katika shule mbili tofauti mkoani Mbeya tangu mwaka 2017-mpaka sasa.
-nimefanya kazi kama volunteer pia na shirika la Raleigh international linalofadhiliwa na UK, makao yake yapo Morogoro
-kwasasa nasimamia shamba la parachichi mkoani Njombe

LENGO:
natafuta kazi ya kufundisha, sehemu yoyote hasa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nitawasilisha Wasifu, na nyaraka zingine itakapotokea nafasi ya kazi.

MAWASILIANO;
Namba za simu,
0676775220
0767361063
 
Jina langu naitwa #####, ni mkazi Wa mbeya, kwasasa naishi mkoani Njombe taaluma yangu ni mwalimu.

ELIMU:
Nimesomea bachelor of arts with education Chuo kikuu cha Dodoma, na kuhitimu mwaka 2017. Literature in English na history kama masomo ya kufundishia.

UZOEFU;
nimefundisha kama mwalimu Wa kujitolea katika shule mbili tofauti mkoani mbeya tangu mwaka 2017-mpaka sasa.
-nimefanya kazi kama volunteer pia na shirika la Raleigh international linalofadhiliwa na UK, makao yake yapo Morogoro
-kwasasa nasimamia shamba la parachichi mkoani njombe

LENGO:
natafuta kazi ya kufundisha, sehemu yoyote hasa mikoa ya nyanda za juu kusini. Nitawasilisha Wasifu, na nyaraka zingine itakapotokea nafasi ya kazi.
Good
Mungu akutangulie upate hitaji lako ndugu.

I can feel your struggle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naitwa Wilson Mwamakalapya nipo NJOMBE mjini. Ni mwenyekiti Wa kikundi cha vibarua mashambani. Tunafanya Kazi zote za Shamba tupo Mbeya, NJOMBE, Iringa, Songwe lakini pia tunasafiri mikoa mingine.

Simu 0767361063 /0624227376
Email; wilsonmwamakalapya@gmail.com

What's up: 0767 361 063
Kulima heka shamba jipya sh. ngapi, kufyeja heka sh ngapi,kupanda mahindi heka sh.ngapi,kupalilia heka mahindi sh. ngapi. Kuchba mashimo ya parachichi sh ngapi?
 
Kuna Nyuzi unaweza pitia zikakufumbua macho aise.

Mkuu jambo la muhimu jitahidini sana kuimarisha umoja wenu na uaminifu kwa wateja wenu, mtafika mbali sana.

Bila kusahau suala la ubunifu katika shughuli zenu.

Sent from my E2333 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom