Mwalimu wa History na English natafuta kazi nipo Geita

pet geo pet

JF-Expert Member
Jun 30, 2018
461
644
Wakuu habari!

Kijana wenu natafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu.

Ni kijana mwenye umri wa 27, Nilimaliza elimu yangu ya shahada katika chuo kikubwa hapa Tanzania mwaka 2018.

Nina uzoefu wa mwaka mmoja katika ufundishaji yaani mwaka 2019.

Kama kuna shule yeyote inaitaji mwalimu wa masomo hayo nipo hapa.

Kwa sasa napatika Geita ila mahari popote naweza kuja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom