Kikundi Cha AlQuds Brigades Chaonesha Kombe la Vita (Trophy) ililotwaa Kibabe kutoka Jeshi la Mazayuni Ghaza.

Unadhani yupi bora kati ya anayeenda kuimba mapambio na anayeenda kupigwa pvmbu?unaonekana unapenda sana ngono wewe na hivi unaonekana umeanza kuuingia uzee sijui wakati wa usichana wako ilikuwaje.

Yaani upigwe miti duniani na wanaume mbalimbali tena unasubiri ukapigwe na group la wengine 72 randomly huko kwa alah?
Ma shaa Allah, jiulize wewe ulipatikana vipi. Alipigwa nini, mapambio?
 
Bibi usisherehekee ngono hakuna Mungu mwenye muda wa kukufurahisha wewe na ngono amsha akili hiyo.

Kwa nini asiwape tu utulivu wa nafsi kutokana na pilika mlizokuwa nazo duniani ila awape ngono?kwanini ngono au na yeye anapenda ngono?
 
Video ya kile kinachoitwa 'kombe la vita' imetolewa na Brigedi za Al Quds za Islamic Jihad. Video hiyo inaonyesha ndege isiyo na rubani ya Israel 'Sky Racing' iliyodunguliwa na wapiganaji wa Islamic Jihad wakati wa makabiliano ya Ghaza. Maelezo yaliyotajwa kwenye drone yalisomeka: "Sky Racing Drone Model No. 528." Jina la mtengenezaji, Elbit Systems, pia limetajwa kwenye drone. Wakati huo huo, mbali na Hamas na Islamic Jihad, kundi la tatu la Ghaza pia linaongeza mashambulizi. 'Mujahideen Brigades' imetoa video ya shambulio la roketi dhidi ya vikosi vya Israel.

Chanzo: #alquds #islamicjihad #mujahideenbrigade #israelpalestineconflict #israeliarmy #idf #palestine #gaza

Licha ya ndege hiyo pia wameonesha silaha zingine za kisasa walizoziteka kutoka kwa mazayuni ambazo sasa wanazitumia kuwatandikia mazayuni. Jionee:

View attachment 2849854
Waliomuua Joshua unawashangilia hahaha hakika ujinga hauchagui jinsia
 
Sisi Waislam tunaamini hakuna anaeweza kutowa uhai wa mtu isipokuwa aliyekupa huo uhai.

Jisomee hapa mada ya Joshua:

Bibi usisherehekee ngono hakuna Mungu mwenye muda wa kukufurahisha wewe na ngono amsha akili hiyo.

Kwa nini asiwape tu utulivu wa nafsi kutokana na pilika mlizokuwa nazo duniani ila awape ngono?kwanini ngono au na yeye anapenda ngono?
Sasa wewe ndiye uliyesema ukanipa moyo, sasa wewe tena ndiye unaenivunja moyo. Kulikoni?

Umewahi kuisoma Qur'an au unafata wenye chuki tu, kuandika hovyo?
 
Leo mazayuni wameamuwa kukiondowa kikosi chao maarufu cha "Golani Brigades" huko Ghaza.

Wao wanasema wana jipanga upya, lakini wachambuzi wa mamo ya kijeshi wansema wanapinguza hasara ya watu na vifaa wanavyopata hapo Ghaza.

Vyovyote iwavyo, cha msingi ni kuwa wamechezea kichapo mpaka wanaondoka hapo bila kumaliza kazi iliyowapeleka:

View: https://youtu.be/z6tanppgceI?si=sBkB9_Bh9lP4yixo
 
Mada ya vita mnaleta udini. Mama watie pini wajalaana hao.

Ukiikosoa tu israhell unaonekana mdini.

Bi mkubwa mbona hajatoa mada ya Vatican na Rome yake?. Hamna maadili nendeni mkabalikiwe

Shubamiti.
 
Video ya kile kinachoitwa 'kombe la vita' imetolewa na Brigedi za Al Quds za Islamic Jihad. Video hiyo inaonyesha ndege isiyo na rubani ya Israel 'Sky Racing' iliyodunguliwa na wapiganaji wa Islamic Jihad wakati wa makabiliano ya Ghaza. Maelezo yaliyotajwa kwenye drone yalisomeka: "Sky Racing Drone Model No. 528." Jina la mtengenezaji, Elbit Systems, pia limetajwa kwenye drone. Wakati huo huo, mbali na Hamas na Islamic Jihad, kundi la tatu la Ghaza pia linaongeza mashambulizi. 'Mujahideen Brigades' imetoa video ya shambulio la roketi dhidi ya vikosi vya Israel.

Chanzo: #alquds #islamicjihad #mujahideenbrigade #israelpalestineconflict #israeliarmy #idf #palestine #gaza

Licha ya ndege hiyo pia wameonesha silaha zingine za kisasa walizoziteka kutoka kwa mazayuni ambazo sasa wanazitumia kuwatandikia mazayuni. Jionee:

View attachment 2849854
Hilo kombe inabidi lipelekwe iran faster likaongezewe maujuzi na uzalishaji uwanze faster
 
Back
Top Bottom