Kikosi kazi hiki kimefitinika!

Kikosi kazi hiki kimefitinika!

kwa mara ya kwanza naona bandiko la Mshana nje ya mambo ya kale lililo na fasihi nzito.
Shakamaaaooo Mshana
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji120]
 
DAB ni mpambanaji sana ndo maana Jiwe anamkubari, kuwekeza sio jambo baya wakuu ajira zitazalishwa katika hio project.

Kumbuka hiyo ni "political entrepreneurship"

Ukiliona swala hilo ni dogo sana fikiria tuu pale unapokuwa mshindani wa kibiashara na DAB au mwanasiasa mwingine mwenye uwezo mkubwa wa maamuzi
 
Naona kikao chenu cha ile makutano yenu huko pwani yameanza kuonesha matunda....kama vp ongezini dozi...

Ova
Taratibu Mkuu wasije kuzidisha mgonjwa akaanza kulia, nawakati madhabahu za kulilia keshaziharibu.😀😀😀😀😎🙄😱.
 
Naskia alijenga banda la kulala wageni la nyota kadhaa hizoo contena 20 ni za kawaida kwa hiloo banda.


INA semekana kuna nyingine zaja Contena kama tano. Makachero tayari bandari kubaini ukweli kumpelekea baba ushahidi. Labda tuwasiliane na evarist chahal twaweza pata walau mawili matatu.


cocochanel
Hawezi akawa anafanya yote hayo pasipo Baraka za baba....! Atakaeamini anafanya bila baraka za baba hakika atakua amekengeuka
 
Naona sahv umepigwa pini ndomana Hata jf hatukuoni sana bora hyo jamaa aendelee kukaza hivyo hivyo lkn teh teh .......
Any way vp Uko Poa lkn

Ova

Ha ha haaaaaaa
Eeeeeeeh
Okei ooooo
Nipo poa shwariiiii
 
Back
Top Bottom