Kikohozi cha Kibonde!!

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,713
12,063
Huu ni mwaka wa tatu, huwa namsikia akikohoa live redioni.Anayebisha amsikilize leo kama hata kohoa, nitamtumia vocha za 50 alfu kwa pm.
Zamani tulikua tunachemsha misonobali na kunywa juice yake,,ni tiba tosha kwa vikohozi sugu. Namshauri atumie.
 
Kwa kifupi, uache unyanyapaa
 
the people stations ! Utakimbia mwisho utarudi TU! watu wakiwa behind keys bords utawasikia "radio ya wafu" "cluds ndio nini" kwa akili za mende walizonazo za kusahau haraka kesho yake waanza kudiscuss leo clouds kimetokea nini...

RAIS WA MBEYA ALITOA TAMKO ACHENI KUSIKILIZA HIYO RADIO MWAMSALITI SUGU
:lol::lol:
 
director nakuamuru udelete hiyo post, nyie watu kuna mambo ya kuropoka.
Hata kama ni kweli, what will u gain kwa kumstress kwa kumwandika humu

I believe in life not death, mwongee mtu hata dk 2 za kuishi si kupunguza.
 
thanks!!! wengine wanaishi kama vile wana miadi na mungu!!
 
Yule wa ze komedi aliye muigizia Mrema kuwa anaumwa naye mmemsikia? The only is God who can give you the ticket to leave or live.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom