Kikeke ambana Maalim Seif

Kikeke ambana Maalim Seif

Interview ya hovyo tangu kuzaliwa kwangu ndio hii nimeshuhudia leo..Yaani haina mpangilio pia Kikeke anauliza maswali nadhani pia alikuwa na majibu yake.
Unajipandisha level bure. Ushaona interview ngapi tangu umezaliwa? Probably hata kifurushi cha CNN huna. Kama umezoea imterview platform za akina A. Masako, then hii nadhani siyo size yako.
 
Mungu yupo juu(facing the skies) hayupo chini wala upande fulani wa dunia (not west east north or south)!!!! discuss.
Usilete Mambo ya Mungu hapa JF, the home of Great Myths and Lies.
 
Leo wakati akimhoji Maalimu Seif juu ya uchaguzi wa Zanzibar, Salim Kikeke mtangazaji wa BBC, aliishia kupigishana makelele na Maalimu Seif kwani kila mmoja alikuwa anaongea kwa sauti.

Huu ndio utaratibu wa kuhoji watu Salim?

Anyway, binafsi sijaona hiyo interview,
Nafikiri mwandishi makini analojukumu kuhakikisha mgeni anabaki focused kwenye agenda au maswali yaliyoandaliwa
Kama Mtu anataka kubadili MAUDHUI ya mjadala/interview mwandishi makini hawezi kuruhusu.
 
Salim kikeke ameshindwa kuficha ukijani wake anataka kupigana ila simlaumu cv yake nasikia hata diploma ya uwanahabari hana ni mchimba mgodi wa chini na muendesha vpindi vya mziki hapa tz enzi hizo.Ni mwanahabari mwenye CV ya chini kule Uk .Asubir tu DED ,RAS ,RC au DC
Mbona huyu Kikeke nilimsikia BBC English service anamwaga English safi sana ambayo mara ya mwisho mimi kuisikia English ya kiwango hicho kutoka kwa mbongo ilikuwa ni Mkapa
 
Leo wakati akimhoji Maalimu Seif juu ya uchaguzi wa Zanzibar, Salim Kikeke mtangazaji wa BBC, aliishia kupigishana makelele na Maalimu Seif kwani kila mmoja alikuwa anaongea kwa sauti.

Huu ndio utaratibu wa kuhoji watu Salim?
Katika hard talk inaruhusiwa kupigizana kelele na unayemhoji
 
Hivi BBC wanasikika Rwanda? Kikeke naye si wa kule kwa PK,kipenzi chetu kipya,tulikoomba wataalam wa IT?
 
Nimefurahishwa sana Salimu Kikeke alivyomuhoji Seif
Kwasababu Seif hakuwa na hoja za msingi kwanini hwakushiriki uchaguzi wa marudio Zanzibar
wewe nenda kanywe mbenge tu ndio ikufaanyo mzee. ivi wewe kwa ujinga wako hili kada la CCM jecha ataitangaza CUF kuwa ndio ilioshinda
 
Salim Kikeke AMESHINDWA KUONYESHA WELEDI WAKE. Yeye ndio kamwita Maalim Seif studio halafu badala ya kumpa nafasi ajibu yeye anampigia kelele. Hii ndio extremely unprofessional episode toka BBC SWAHILI niliyowahi kuona. Ni kama Sam Mahela si alipomhoji Mch. Peter Msigwa. Hua wanaogopa kwamba baadhi ya majibu yanayotolewa YATAWAKERA WATAWALA FULANI.
Acha ushabiki wewe yaan sijui watu wa Tz mnatumia akili gan? Hakuna Siku mfuasi wenu anakosea kila siku yuko sawa , acheni ushabiki usio na maana
 
Salim kikeke ameshindwa kuficha ukijani wake anataka kupigana ila simlaumu cv yake nasikia hata diploma ya uwanahabari hana ni mchimba mgodi wa chini na muendesha vpindi vya mziki hapa tz enzi hizo.Ni mwanahabari mwenye CV ya chini kule Uk .Asubir tu DED ,RAS ,RC au DC
Mpumbavu we, hivi we CV yako ikoje
 
Ccm inatuonea, polisi inatuonea, spika anatuonea, mahakama zinatuonea, BBC inatuonea, basi kuna kitu hakiko vema kichwan mwenu, sasa kila MTU anawaonea nyie? Utapeli wa siasa mbovu
 
Pale ni bbc aisee siyo bongo nakumbuka hata jk alisha banwa na Charles Hilary akaishia kujibu majibu ambayo yapo nje ya topic!
 
Salim anataka maalim seif amjibu anavyotaka, ni aibu mtangazaji kutaka kumpangia mtu cha kujibu.

Hujui kitu wewe katika taaluma ya habari, nenda kajifungie chooni, kuliko kutoa haraufu mbaya inayokudhalilisha hapa barazani
 
Maalim hana hoja ya msingi kwa kutokushiriki uchaguzi wa marudio,alikataa mwenyewe kushiriki kwa kujua kua kura zake fiki zimeshagundulika na hivi sasa anataka serekali ya mpito baada udanganyifu wake kwa wafuasi wake kua ataapishwa tarehe 49 umegonga mwamba na akaja na mpya kuwa Rais Shen mwezi wa 7 atakuja kuondishwa na umoja wa mataifa kiufupi mtu huyu anataka kuolewa na huku akiwa bado ujane anautaka
 
Ni kwa sheria ipi jecha alikuwa hoja ya kufuta uchguzi wa october
 
Hivi katiba ya Zanzibar inataja uchaguzi wa marudio?
uchaguzi km umeharidika unategemea kufanyika nn km sio kurudia?na hii Zanzibar sio ya kwanza kurudia uchaguzi na Zanzibar pia uchaguzi kurudia sio mara ya kwanza huko nyuma kabla ya mapinduzi kuna uchaguzi ulirudiwa si bado nikawaida sana
 
Nawashangaa makijani Kikeke anajulikana ukijani wake. Ubaya wa mahojiano kwake aling"ang"ania suala la kususia uchaguzi bila kujikita kwenye masuala muhimu kama mstakabali wa Zanzibar. Ndio ujinga wa akili za kushikiliwa
 
yale sio mahojiano bali ni "Harassement": pengine Kikeke ana agenda ya siri
 
Back
Top Bottom