Kikeke ambana Maalim Seif

Kikeke ambana Maalim Seif

Mimi nimefurahishwa jinsi Maalim Seif alipotoka Washington kuongea na viongozi wa Marekani,aliporudi,baws la ndege ya Malaysia liligunduliwa Pemba.
 
"Wanakijani wameshinda gori la mikono miwili na kila kona ya dunia wameliona"
 
Hivi katiba ya Zanzibar inakifungu cha kufuta uchaguzi? tuanzie apo
 
Kikeke hakutaka kufanya nae mahojiano tangu awali, ila jamaa akasisitiza....walau niuze sura bbc ndugu yangu......ndio Kikeke akwambia, ok lakini itakubidi ucheze tune yangu...jamaa akasema hamna shida mimi ni Mwanasiasa bana...na ndio kilichotokea...ndio maana mmeona Maalim ametabasamu tu.
 
Habari,

Naangalia BBC Swahili hapa Star TV ghafla napandwa na hasira kuona Salimu Kikeke akimuhoji Maalimu Seif kwa dharau na kumuingilia kila Maalimu Sief akijaribu kujibu maswali anayoulizwa.

Kifupi Kikeke ameonyesha kuwa upande mwingine wa siasa mbal na Maalimu Seif.
Sijui ndo msimamo wa BBC Swahili au??
Wajuzi tujulishane

Japo sikuangalia ninajua Kikeke si sawa sana..na si mshabiki wake
 
Dada jackie English si kigezo cha Elimu.Naan sasa msikie diomond huyu wa WCB anavyo ongea hiyo kitu tena kama amerika .Nilugha tu
mtangazaji gani bongo anaweza kuongea katika prime time tv BBC na waingereza wakamuelewa bila kuweka captions chini,mimi nilikuwa simjui huyu jamaa but I was flabbergasted-itafute hiyo clip you tube alikuwa anazungumzia mambo ya fasting
 
Habari,

Naangalia BBC Swahili hapa Star TV ghafla napandwa na hasira kuona Salimu Kikeke akimuhoji Maalimu Seif kwa dharau na kumuingilia kila Maalimu Sief akijaribu kujibu maswali anayoulizwa.

Kifupi Kikeke ameonyesha kuwa upande mwingine wa siasa mbal na Maalimu Seif.
Sijui ndo msimamo wa BBC Swahili au??
Wajuzi tujulishane
Hata Mimi nilishangaa hio style ... Amemuonyesha dharau sana
Aje hapa atuambie kwanini alifanya vile
 
Salim anataka maalim seif amjibu anavyotaka, ni aibu mtangazaji kutaka kumpangia mtu cha kujibu.
Huo ni mtazamo wako lakini kwa waandishi wa habari wengi wa kimataifa hii ndiyo staili yao na kwa taarifa yako ukipandwa na hasira ukashindwa kudhibiti mihemko hii kwao ni habari angalieni hata Hard talk ndivyo wanavyofanya msilete siasa kwenye mambo ambayo huyajui
 
Muda huu maalim seif yupo kikaangoni BBC chini ya salim kikeke,.Amembana kwa nini hakuhamasisha wafuasi wake kupiga kura kwa maranyingine ikiwa yeye alishashinda kwenye uchaguzi wa awali.Kwa mara nyingine tena maalim anachemka kuhusu kususia uchaguzi.Kazi kwenu mnao muabudu.Dk 3 za maswali toka kwa Kikeke maalim jasho limemtoka.
Hili ndio jinamizi linalomsumbua Maalim Seif na ndipo alipotetereka kisiasa. Mimi simuelewi kushinkiza watu wafuasi wake wasusie kupiga kura. Kweli walimtii lakini matokeo yake CUF itabakia kuweseka miaka mitano mfululizo.

Ni kweli kurejewa uchaguzi kungempa ushindi wa lazima mgombea wa Urais wa CCM lakini CUF wangezowa viti vingi vya uwakilishi pamoja na kuitwaa Pemba yote. Kwa kususia imekosa mtoto na maji ya moto na kuwekwa kwapani na CCM wakitaka wasitake kwa miaka mitano ijayo.

Hakuna miujiza itakayoiokowa CUF kwa hili ila wajipange kumueleza ukweli Maalim Sif anavyokiburura Chama kubaya na kusikostahili. Maalim Seif mwenyesura ya bashasha sio yeye tena, amevurugika kisaikolojia, kusambaratika kisiasa na kuwa fukara wa mawazo.

Ni dhahiri kuwa sasa CUF ni hamkani, si shwari tena. Maalim amekuwa kama jabali la barafu ambalo mabadiliko ya tabianchi alioyaleta Jecha yametosha kuimung'unyua kidigo
kidogo na kububujisha michirizi ya machozi yasio na mnyamazishaji ndani ya waumini wa CUF na hasa Zanzibar.
 
Stayfar,
Hakuna kiumbe mwenye akili timam awzae kumuabudu binadam mwenzake.

Hakuna anaemuabudu Maalim Seif ila wako wananchi wengi wanaomuunga
mkono kwa ajili ya siasa zake na uongozi wake.

Bahati mbaya sijakiona wala kukusikiliza kipindi lakini nitachangia.
Uchaguzi wa Zanzibar unaendeshwa ka sheria na kanuni.

Ikiwa ni hivyo basi ni lazima sheria ifuatwe vinginevyo ni vurugu kama hii ambayo
sasa imeikumba Zanzibar.

Uchaguzi ulifanywa na Dr. Shein akashindwa kama alivyoshindwa mwaka wa 2010.
Kakataa kushindwa kafuta uchaguzi kaitisha uchaguzi mwingine.

Tujaalie Maalim Seif angekubali kushiriki tena katika uchaguzi ule wa marudio.
Kitu gani kingemzuia Dr. Shein kufuta tena uchaguzi ikiwa angeshindwa?

Mtafiti yeyote anaefatilia siasa za Zanzibar anajua kuwa ni tabu sana kwa CCM kupata
ushindi dhidi ya CUF.

Sasa mambo haya hayataki ushabiki wa Maalima Seif yuko, ''kikaangoni,'' na Maalim
Seif
, ''jasho linamtoka.''

Hii si kweli.
''Mkaangaji,'' na ''mtoa watu jasho,'' ni Maalim Seif.

Rejea uchaguzi wa 1995.
Ali Ameir aliandika barua Tume kukataa matokeo ya kushindwa Salmin Amour.

Rejea uchaguzi wa 2010.

Maalim Seif asingetumia busara na hekima ya uongozi damu nyingi ingelimwagika siku ile
pale Bwawani.

Mzee Hassan Nassoro Moyo shahidi wa hili pamoja na umma mkubwa wa Wazanzibari.
Ushabiki haujengi taifa.

Wazanzibari wanahitaji kutiwa moyo wakae kitako wajadili mstakbali wa nchi yao kwa faida
ya vizazi vijavyo.

Wazanzibari wana mengi ya kujifunza katika historia yao kuanzia mapinduzi 1964 hadi leo.
Wazanzibari hawahitaji kuchinganishwa.
 
Baraghash,
Nimeeleza hili hapo chini post no. 135.
Kiongozi na asiye na akida (principles) si kiongozi wa kutegemewa.

Mtu mwenye akili timamu hakatiwo mkono akarudishiwa kidole
gumba akamshukuru aliyemkata mkono.

CUF ni shwari kama ilivyo wakati wote.

Juu ya vikwazo vyote CUF imeweza kujijengea mashine ya upigaji
kura ya kutolewa mfano Afrika kama si dunia.

Kwa robo karne cjama kimejijenga na kuwa na nguvu na kuja na
wapigaji kura ambao hawahitaji seminar elekezi au hongo kura zao
watumbukize kwenye sanduku lipi.

Dr. Shein na CCM wameshindwa uchaguzi na wamekataa kushindwa.
Hili ndilo tulijadili hapa ikiwa kuna watu wana hamu na mnakasha.
 
Wacha kuwa too selective. Na unakuwa na ujasiri wa kuwaambia wazanzibar wasome historia pale unapotaka wewe.. Wazanzibar wanatakiwa wasome hisptoria yao kuanzia mwaka 1498.. Wewe una ushahidi gani kama CUF imeshinda chaguzi zote hizo au ni stori za alinacha
 
Kiumbe
Baraghash,
Nimeeleza hili hapo chini post no. 135.
Kiongozi na asiye na akida (principles) si kiongozi wa kutegemewa.

Mtu mwenye akili timamu hakatiwo mkono akarudishiwa kidole
gumba akamshukuru aliyemkata mkono.

CUF ni shwari kama ilivyo wakati wote.

Juu ya vikwazo vyote CUF imeweza kujijengea mashine ya upigaji
kura ya kutolewa mfano Afrika kama si dunia.

Kwa robo karne cjama kimejijenga na kuwa na nguvu na kuja na
wapigaji kura ambao hawahitaji seminar elekezi au hongo kura zao
watumbukize kwenye sanduku lipi.

Dr. Shein na CCM wameshindwa uchaguzi na wamekataa kushindwa.
Hili ndilo tulijadili hapa ikiwa kuna watu wana hamu na mnakasha.
Kumbe hivi na wewe ni Kada mkereketwa wa CUF!
 
Habari,

Naangalia BBC Swahili hapa Star TV ghafla napandwa na hasira kuona Salimu Kikeke akimuhoji Maalimu Seif kwa dharau na kumuingilia kila Maalimu Sief akijaribu kujibu maswali anayoulizwa.

Kifupi Kikeke ameonyesha kuwa upande mwingine wa siasa mbal na Maalimu Seif.
Sijui ndo msimamo wa BBC Swahili au??
Wajuzi tujulishane
Kikeke jana alichemka sana, kashindwa kumpa Uhuru mhojiwa wa kujieleza anabaki kubishana naye
 
Waandishi wa BBC siyo wa Tz Daima, kumpamba mtu.
Ukiulizwa swali usitoe hotuba jibu ndiyo au hapana na sababu zake.
Jana Kikeke hakuwa na qualities hizo, alijionyesha kuwa mpinzani wa Maalim Seif. Akumbuke jinsi Tido alivyokuwa objective
 
Stayfar,
Hakuna kiumbe mwenye akili timam awzae kumuabudu binadam mwenzake.

Hakuna anaemuabudu Maalim Seif ila wako wananchi wengi wanaomuunga
mkono kwa ajili ya siasa zake na uongozi wake.

Bahati mbaya sijakiona wala kukusikiliza kipindi lakini nitachangia.
Uchaguzi wa Zanzibar unaendeshwa ka sheria na kanuni.

Ikiwa ni hivyo basi ni lazima sheria ifuatwe vinginevyo ni vurugu kama hii ambayo
sasa imeikumba Zanzibar.

Uchaguzi ulifanywa na Dr. Shein akashindwa kama alivyoshindwa mwaka wa 2010.
Kakataa kushindwa kafuta uchaguzi kaitisha uchaguzi mwingine.

Tujaalie Maalim Seif angekubali kushiriki tena katika uchaguzi ule wa marudio.
Kitu gani kingemzuia Dr. Shein kufuta tena uchaguzi ikiwa angeshindwa?

Mtafiti yeyote anaefatilia siasa za Zanzibar anajua kuwa ni tabu sana kwa CCM kupata
ushindi dhidi ya CUF.

Sasa mambo haya hayataki ushabiki wa Maalima Seif yuko, ''kikaangoni,'' na Maalim
Seif
, ''jasho linamtoka.''

Hii si kweli.
''Mkaangaji,'' na ''mtoa watu jasho,'' ni Maalim Seif.

Rejea uchaguzi wa 1995.
Ali Ameir aliandika barua Tume kukataa matokeo ya kushindwa Salmin Amour.

Rejea uchaguzi wa 2010.

Maalim Seif asingetumia busara na hekima ya uongozi damu nyingi ingelimwagika siku ile
pale Bwawani.

Mzee Hassan Nassoro Moyo shahidi wa hili pamoja na umma mkubwa wa Wazanzibari.
Ushabiki haujengi taifa.

Wazanzibari wanahitaji kutiwa moyo wakae kitako wajadili mstakbali wa nchi yao kwa faida
ya vizazi vijavyo.

Wazanzibari wana mengi ya kujifunza katika historia yao kuanzia mapinduzi 1964 hadi leo.
Wazanzibari hawahitaji kuchinganishwa.
Kinachowasumbueni nyie watu wa Cuf ni hilo neno "fare election" sijajua hiyo fare mnafananisha na nchi gani,hata huko ilikotokea democrasy hakuna fare election.system ya uchaguzi ni kama mpira,mbapo alofunga goli na refa akalikubali,no matter limefungwa katika mazingira gani hilo ni halali.
Maalim seif na chama chake nini kiliwaingiza kwenye uchaguzi ili hali walijua Tume ya uchaguzi chini ya Jusa haitakuwa upande wao?.Huko ni kutapatapa.

Halafu mnasema mnamuamini maalim seif,Ndiyo maana anawaburuza bila nyie kujijua.Baadhi ya wafuasi wa Cuf wanafanana na wale waumini wa Uganda waliochomwa moto kanisani na yule mchungaji(Kibwetere)kwa kuwadanganya mwisho wa dunia unakaribia.

Hivi kama siyo kumuabudu maalim seif hii tuiteje,?pale maalim alipokwenda kufanya mazungumzo na viongozi wa CCM,akaruhusiwa kuwa peke yake chini ya karibu watu sita wa chama tawala,maalim yupo peke yake
 
Back
Top Bottom