Kikao cha wanaume

Hahaha halafu we na King'asti mna ishu ipi? Kisukari mna chat?
King'asti jana kanambia eti kule fesbuk ni frendi wangu. Sasa nimeenda kule nimewakagua wabebs wote ambao ni frendz wangu lakini bado sijagundua ni yupi. Nahitaji msaada wako hapo. Sasa ishu iliyopo ni ya viatu vya Crocs....yeye anataka akija kuvichukua eti aje na Paw wake. Sasa mi Paw sim-feel kihivyo...keshaniban sana huyo jamaa.

Kwa hiyo nimesuka dili..nitaacha tu waje wote. Halafu Paw ntamnunulia whiskey....akilewa tu namteka nyara King'asti naondoka naye tunamwacha Paw kwenye mataa na mipombe yake.

kisukari
huwa namuona kwa nadra sana humu. Sijawahi hata kuchat naye. Yeye hata ukimkwoti wala hatakujibu.
 
Mleta mada umjuaje jambo hili??? wewe mwenyewe hatuamini kama wewe ni mwenzetu mvaa sjeti.
 

Mh!! umejuaje.. kuwa watu wanatumia ID mbili na moja ya Mwanamke. Mh kazi ipo ulimtongoza dume nini???????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…