Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Halafu kuna vidume vinajuaga mie kijike vinanitupia tu matongozo pm. Ngojeni siku niwale kabhanggg! Ndo mtaisoma namba.
nyani ngabu alikuwa anataka ushahidi wa mtu wa jinsia tofauti lakini id yake ni tofauti na jinsia yake!ushahidi huu hapa!husninyo jina la kike,kawaida anapost kikekike hususani jukwaa la wakubwa,lakini hapa anajitambulisha kama mwanaume!