nyuki dume
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 435
- 34
Kwa sasa sio za kweli lakini wakati ukifika tutazithibitisha! Tulieni kwanza!
Hizi picha ni za kweli kabisa angalia kwa makini picha na 1 hadi na 3 zinafanana.sio photoshop
Kwa sasa sio za kweli lakini wakati ukifika tutazithibitisha! Tulieni kwanza!
Huwezi kuamini huyu ndie Edward Lowassa mmiliki mpya waLowassa kashaibadilisha Chadema.
1. Kabadilisha ratiba yao ya uchaguzi.
2. Kabadilisha mgombea wao. Dr. Slaa anakatwa kwa sababu ya Lowassa.
3. Kabadilisha bajeti yao ya uchaguzi.
4. Kabadilisha kauli zao kuhusu ufisadi.
5. Kabadilisha ilani yao ya uchaguzi.
Sasa tujiulize, nani anayebadili mwenzie? Chadema itambadili Lowassa au Lowassa anaibadili Chadema?
Lowassa yuko kwenye siasa muda mrefu kuliko umri wa Chadema. Kuamini kuwa Lowassa atabadilika ghafla ni kujidanganya kulikopitiliza.
Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.
Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...
Lowassa kashaibadilisha Chadema.

Mkuu ikandanganywa na ccm sawa ila ukindanganywa na chadema imekuwa nongwa!Mbona ccm ccm inakudanganya kila mwaka na kila uchaguzi hulalamiki?
Siasa ni mchezo wa wingi mwenye wengi ndo mshindi! Nchi hii bado watu wengi ni mbumbumbu ambao ni zaidi ya 60% hawa wako tayari kuchagua hata sura tu ukawa Rais wa nchi hii. kama tungekuwa wote tuna ufahamumtu ambaye anafaa ni Dr.Slaa, lakini kwa kuwa watanzania ni mbumbumbu, ukimweka kugombea mtashindwa wao wanataka LOWASA! wewe unasema ni fisadi wao ndo wanamtaka huyohuyo! Chadema wameamua nawao wazipate zile kura za mbumbumbu wa nchi hii ambazo ndo nyingi ili washinde mambo mengine mbele kwa mbele! kama na hapa utakuwa hujanielewa basi rudi darasani mkuu!
Kwahiyo kura zenu za maoni ni fix tu!Kumbuka msemaji wa mwisho wa nani agombee ni wa kamati kuu. Hivyo matokeo ya kura za maoni yanaweza kubadilishwa kwa maslahi mapana ya chama na mustakabli wa taifa.
Mimi picha hiyo ya chini nilisema wazi ni edited lakini hiyo ya juu hakika ni halisi kabisa na ni wazi Chadema hawakutaka picha hii ivuje na Mbowe ana sema za kutengenezwa lakini kwa aliyo yasema mbele ya wahariri ni wazi picha hizo ni halisi kabisa sema imembidi azikane tuu!
brother MUSSA ALLAN sasa rasmi kajiunga chadema
Tuwaulize huyo wanayemkaribisha amewaambia ana malengo gani na Nchi Yetu?
Hata jambazi sugu la kupora watu kwa silaha ukikutana nalo ukaliuliza lina malengo gani kwenye familia yake litakwambia lina malengo kujenga nyumba nzuri ya familia na kusomesha watoto shule nzuri.
He he heee! Mtawashwa sana mwaka huu.
Viva UKAWA!
Sikuamini masikio na macho yangu jana kile akina Lipumba walichokuwa wanakisema,wananchi tumegeuzwa matahira kisa pesa na mafanikio yao binafsi na familia zao kwa kupitia mgongo wa walalahoi lakini Mungu ni mkubwa waovu watashindwa na uovu wao,tutashikizana adabu Octoba.Pia ni wakati wa Slaa kuwakimbia mafisi.hiyo ndio hali ilivyo sasa kwny siasa za Tz.
mwalimu(isomeke Upinzani) ulitufundisha maovu na hatari ya ufisadi na sisi tukaelewa na kuamini vilivyo na tukashika silaha kupambana na mafisadi( isomeke fisi) na wakati sasa tumeshachoma moto kuwadhiti fisi-anatokeza fisi Mkuu aliyekuwa akitusumbua , mwalimu anasema huyu ni mwenzetu (isomeke mbuzi).
ndg zangu Watz, tunarudishwa kuanza vita nyuma kabisa wakati tayar mafisad walikuwa hoi-leo hii yale mafisi yote (Chenge, Karamagi, Rostam, Tibaijuka, etl) wanashangilia kuona sasa kizazi chao kinarejea upya.
hongereni UKAWA kwa miaka 20 mmetuaminisha imani ambayo kwa masilah yenu ya kifedha leo mmetugeuka
kWELI NI FULL AIBU....najiuliza kwa imani niliyonayo kwa DK Slaa na niliyokuwa nayo kwa Mwanasheria Tindu Lissu ...hakika navuta muda kulelekea uchaguzi huku nikipiga picha kampeni za Lowasa..kupitia ukawa...FID+SADIhiyo ndio hali ilivyo sasa kwny siasa za Tz.
mwalimu(isomeke Upinzani) ulitufundisha maovu na hatari ya ufisadi na sisi tukaelewa na kuamini vilivyo na tukashika silaha kupambana na mafisadi( isomeke fisi) na wakati sasa tumeshachoma moto kuwadhiti fisi-anatokeza fisi Mkuu aliyekuwa akitusumbua , mwalimu anasema huyu ni mwenzetu (isomeke mbuzi).
ndg zangu Watz, tunarudishwa kuanza vita nyuma kabisa wakati tayar mafisad walikuwa hoi-leo hii yale mafisi yote (Chenge, Karamagi, Rostam, Tibaijuka, etl) wanashangilia kuona sasa kizazi chao kinarejea upya.
hongereni UKAWA kwa miaka 20 mmetuaminisha imani ambayo kwa masilah yenu ya kifedha leo mmetugeuka
Mgeni anakuja, sera za chama ziko pale, anatekeleza hizo. UKAWA si ushirika wa kitoto ati! Kwani Lowassa bado mnamhitaji? Kama ndivo atabaki tu, tusiwe na haraka.Unabadilisha vipi mfumo wakati chama chako kimeshaanza kubadilishwa na mgeni?