Subirini siri ziwe hadharani ndio mtatia adabu.Ukawa mmedhihirisha kwamba mnafikiria kwa matumbo yenu.
TeheteheteheteheUongo, Kwa Maana Ulichokiandika Ilikuwa Siri ya Lowassa, na Bado Umeiacha Ikiwa Siri. Purely Lies.
Kwa nini ameongea kifichoni huko? Tunamtaka hadharani
Tusubiri tuone tusihukumu, kuna mambo yanakuwa kweli mengine ya uongo,wakati utatuambia.Uongo, Kwa Maana Ulichokiandika Ilikuwa Siri ya Lowassa, na Bado Umeiacha Ikiwa Siri. Purely Lies.
Kwa nini ameongea kifichoni huko? Tunamtaka hadharani
Subirini siri ziwe hadharani ndio mtatia adabu.
Ukawa mmedhihirisha kwamba mnafikiria kwa matumbo yenu.
Tunamtaka hadharani ndio tunaweza kuamini anachokisema
Aisee hapa kwa kweli tumesajili boonge la straiker,nitashangaa sana jinsi masisiem yatakavyosimama jukwaani na kusema Lowassa ni fisadi na mwizi wa mali ya umma,je walishindwa nini kumfikisha mahakamani wakati ni yao,majaji ni wao,polisi ni wao wanasubiri amri tu kutoka ugambani?Hahahaaa myajinyea mwaka huu...
Labda kama kajitoboa mwenyewe mbona yeye ndiyo mtuhumiwa namba moja kwenye Richmoonda zee jizi kweli hili.
Lipo wazi sana kwani nani aliyeondoka madarakani kwa kashifa ya wizi kama siyo Lowasa?Tutajua akina nani majizi kati ya Lowasa na CCM