Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,730
Ukawa imekua taaaamu.....
Wee acha tu... siasa is a fantastic game...magic, wonderful...amazing...
CCM 1977 - 2015... byeeeeeeeee....!!!" R.I.P
Ukawa imekua taaaamu.....
Ni zaidi ya pwagu na pwaguzi. Lakini nafikiri inakuwa maagizo hasa inapoingiliwa na wigizaji. Focus kubwa ya mbowe ni kupata viti vingi vya ubunge na hatimaye ruzuku kubwa, ni biashara. Lakini ni kujitia upofu kufikiria kwamba watashinda.Wanamtandao sasa wapo Chadema. SIASA ni Maigizo
Lowassa akishindwa uchaguzi huu nani atalaumiwa? Ina maana wameshindwa kumuamini Dr. Slaa?
haiwezekani kihvyo,na sio rahisi kihivyo
Mtatukana matusi yote, lakini haitasaidia, kila mtanzania yuko Huru kwenda chama chochote cha siasa anachokipenda!
Lowassa ni Chaguo la Mungu!
mlimkata sasa mbona mnalalamika baaada ya kujiondokea na kuwaachia chama chenu?