Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

wewe unamatusisana ivi ukitukaniwa mamaako utalalamika?unamsema simba wayuda ni changudoa kweli kama umetumwa nanape ukome
 
Uchaguzi wa Mwaka huu sio Ukawa vs CCM, sio Magufuli vs lowasa, sio Jakaya vs Lowassa. Ni system vs system. Tegemea Usalama wa Taifa kupasuka msamba!
 
Hakika mi nimebaki dilema..niliachana na ccm baada ya kuona huyu mtu anatafta madaraka kwa udi na uvumba huku watu wanaomzunguka wote wakiwa na uchu wa rasimali za nchi hii rostam..chenge..karamagi..na wengine wenye uchu wa madaraka leo tena kapokelewa huku ambako ndiko kulikuwa kimbilio langu..mi kura yangu ni kwa magufuli lakini wabunge watoke ukawa..nimebaki dilema kwa kweli..
ujawahi kuwa chadema .mwongo wewe .
 
attachment.php

Pole,mie hakuna hata atakayepata KURA yangu maana hata huyo MAKOMEO naye ni wale wale wezi tu hana hata chembe ya usafi.Amewekwa kulinda maslahi ya waliokwiba.

NO Lowassa NO MAKUFULI
 
Jinsi Edward Lowassa alivyo, inaonekana kuna kitu alichokidhamiria katika nchi hii.Labda kulipa kisasi.Lakini yote namwona kama ni changudoa wa kisiasa

mwizi yeyote anakawaida ya kuhamahama maeneo akishabainika kuwa mwizi.
lengo la lowasa ni visasi na kuifilisi nchi lakini hata aende mbinguni urais haupati sababu mungu humjua mtu mbaya
 
Kweli xana kaka hyu atakuwa anatumiwa ndio maana anatafuta oungoz kwa udi na uvumba ili atomize matakwa ya wanaomtumia.

Nadhani anataka kurudisha VISASI hakuna ziada na kurudisha pesa zake alizotumia kuusaka URAIS
 
pesa mbaya
inabadili mpaka mifumo ya watu walioonekana wana msimamo mzuri
mi nimekosa imani kabisa na chadema
kauli ya lowasa anaibadili chadema nakubaliana nayo na atabadili hata mifumo yao iliyokuwepo kabla
hoja za zitto zinaonekana zina mashiko kuihama chadema
 
Mbna Wasira alipotoka upinzani na kujiunga ccm haujasema ni changudoa? km kawa tumempata muwindaji stadi
ajuae kichwa cha lile JOKA la kuchakachua kura KILIPO
...awali tulikuwa tunalitekenya tu mkiani,
sasa ni kulichinja shingoni tu
 
mwizi yeyote anakawaida ya kuhamahama maeneo akishabainika kuwa mwizi.
lengo la lowasa ni visasi na kuifilisi nchi lakini hata aende mbinguni urais haupati sababu mungu humjua mtu mbaya

Heri mwizi mmoja ukawa kuliko mjizi mengi ccm. Lowasa rais wa tz oct 2015
 
Hebu naomba nisaidieni, wanaoharibu mustakabali wa nchi ni watu waliopo CCM au jina tu CCM?

Kinachoharibu mustakabali wa nchi hii kwa zaidi ya 90% ni MFUMO MBOVU ULIOASISIWA, KULELEWA, NA KUTUMIWA NA CCM. Hayo mengine (sijui watu, n.k.) ni matokeo tu ya mifumo ya kishenzi. Mifumo hii ikiondolewa, nchi itakuwa imepona kwa zaidi ya hizo 90% then mengine madogo madogo yatafanyiwa kazi.
 
hiyo ndio hali ilivyo sasa kwny siasa za Tz.
mwalimu(isomeke Upinzani) ulitufundisha maovu na hatari ya ufisadi na sisi tukaelewa na kuamini vilivyo na tukashika silaha kupambana na mafisadi( isomeke fisi) na wakati sasa tumeshachoma moto kuwadhiti fisi-anatokeza fisi Mkuu aliyekuwa akitusumbua , mwalimu anasema huyu ni mwenzetu (isomeke mbuzi).

ndg zangu Watz, tunarudishwa kuanza vita nyuma kabisa wakati tayar mafisad walikuwa hoi-leo hii yale mafisi yote (Chenge, Karamagi, Rostam, Tibaijuka, etl) wanashangilia kuona sasa kizazi chao kinarejea upya.

hongereni UKAWA kwa miaka 20 mmetuaminisha imani ambayo kwa masilah yenu ya kifedha leo mmetugeuka
 
Back
Top Bottom