East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Mkuu uko sahihi kabisa.Ukiendekeza njaa ni rahisi kuita fisi mbuzi
Nafikiri wooooooote wa chama cha 'kijani' mmekuwa mkikosoa upinzani kwamba wapinzani ni, sacoos, wasaka tonge, wanaharakati nk. Sasa kama mwana-kijani EL atabadilisha upinzani si Jambo jema Kwenu kijani/njano?! Kwani adhma yenu yenu ni kushika dola tu, au kutoa elimu na kufanya mabadiliko, maana mna chama cha mapinduzi, si mtafanya mapinduzi na kwenye upinzani?!Lowassa kashaibadilisha Chadema.
1. Kabadilisha ratiba yao ya uchaguzi.
2. Kabadilisha mgombea wao. Dr. Slaa anakatwa kwa sababu ya Lowassa.
3. Kabadilisha bajeti yao ya uchaguzi.
4. Kabadilisha kauli zao kuhusu ufisadi.
5. Kabadilisha ilani yao ya uchaguzi.
Sasa tujiulize, nani anayebadili mwenzie? Chadema itambadili Lowassa au Lowassa anaibadili Chadema?
Lowassa yuko kwenye siasa muda mrefu kuliko umri wa Chadema. Kuamini kuwa Lowassa atabadilika ghafla ni kujidanganya kulikopitiliza.
Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.
Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...
Jinsi Edward Lowassa alivyo, inaonekana kuna kitu alichokidhamiria katika nchi hii.Labda kulipa kisasi.Lakini yote namwona kama ni changudoa wa kisiasa
hiyo ndio hali ilivyo sasa kwny siasa za Tz.
mwalimu(isomeke Upinzani) ulitufundisha maovu na hatari ya ufisadi na sisi tukaelewa na kuamini vilivyo na tukashika silaha kupambana na mafisadi( isomeke fisi) na wakati sasa tumeshachoma moto kuwadhiti fisi-anatokeza fisi Mkuu aliyekuwa akitusumbua , mwalimu anasema huyu ni mwenzetu (isomeke mbuzi).
ndg zangu Watz, tunarudishwa kuanza vita nyuma kabisa wakati tayar mafisad walikuwa hoi-leo hii yale mafisi yote (Chenge, Karamagi, Rostam, Tibaijuka, etl) wanashangilia kuona sasa kizazi chao kinarejea upya.
hongereni UKAWA kwa miaka 20 mmetuaminisha imani ambayo kwa masilah yenu ya kifedha leo mmetugeuka
Tuwaulize huyo wanayemkaribisha amewaambia ana malengo gani na Nchi Yetu?
Hapo ndipo utakapojuwa jinsi gani wanasiasa wanachezea akili za wananchi. Wanatufanya mazuzu tunaoweza kulishwa chochote kutoka kwao. Mbowe ametufanya sisi Wananchi ni wajinga sana wa kutokujua nini feki na nini si feki. Kifupi ametudharau.
Mtu mzima ukishajua mtu mwenye akili timamu anakudharau na kukufanya wewe zuzu haupigi naye kelele, muache aamini kuwa uongo wake umeaminiwa unakuja kumuonyesha siku ya siku kuwa wewe si wa kudharauliwa kiasi hiki.

Mitanzania mibishi kweli. Hizo picha ni za Photoshop
Lowassa kashaibadilisha Chadema.
1. Kabadilisha ratiba yao ya uchaguzi.
2. Kabadilisha mgombea wao. Dr. Slaa anakatwa kwa sababu ya Lowassa.
3. Kabadilisha bajeti yao ya uchaguzi.
4. Kabadilisha kauli zao kuhusu ufisadi.
5. Kabadilisha ilani yao ya uchaguzi.
Sasa tujiulize, nani anayebadili mwenzie? Chadema itambadili Lowassa au Lowassa anaibadili Chadema?
Lowassa yuko kwenye siasa muda mrefu kuliko umri wa Chadema. Kuamini kuwa Lowassa atabadilika ghafla ni kujidanganya kulikopitiliza.
Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.
Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...
Lowassa kashaibadilisha Chadema.
1. Kabadilisha ratiba yao ya uchaguzi.
2. Kabadilisha mgombea wao. Dr. Slaa anakatwa kwa sababu ya Lowassa.
3. Kabadilisha bajeti yao ya uchaguzi.
4. Kabadilisha kauli zao kuhusu ufisadi.
5. Kabadilisha ilani yao ya uchaguzi.
Sasa tujiulize, nani anayebadili mwenzie? Chadema itambadili Lowassa au Lowassa anaibadili Chadema?
Lowassa yuko kwenye siasa muda mrefu kuliko umri wa Chadema. Kuamini kuwa Lowassa atabadilika ghafla ni kujidanganya kulikopitiliza.
Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.
Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...
MK254 mtu wako lowasa kawa rais