Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,977
- 25,303
...subiri KITU live!!!
haahaa mbowe anasema zimetengenezwa ya kweli hayo? haahaa nimeamini siasa ni mchezo mchafu.
Wape angalizo lowassa asile kitu hapo else wasevu wanachadema wenyewe mamboya kupeanasumu za mda mrefu sio
Lowassa kashaibadilisha Chadema.
1. Kabadilisha ratiba yao ya uchaguzi.
2. Kabadilisha mgombea wao. Dr. Slaa anakatwa kwa sababu ya Lowassa.
3. Kabadilisha bajeti yao ya uchaguzi.
4. Kabadilisha kauli zao kuhusu ufisadi.
5. Kabadilisha ilani yao ya uchaguzi.
Sasa tujiulize, nani anayebadili mwenzie? Chadema itambadili Lowassa au Lowassa anaibadili Chadema?
Lowassa yuko kwenye siasa muda mrefu kuliko umri wa Chadema. Kuamini kuwa Lowassa atabadilika ghafla ni kujidanganya kulikopitiliza.
Mpaka sasa Chadema haijabadili chochote kwa Lowassa, yeye ndio anawabadili.
Chadema badala ya kuleta mabadiliko, yenyewe ndio inabadilishwa...
Tunataka kubadilisha mfumo. Karibu Lowassa.
Mbowe ni muongo ,hizo picha ni za kweli,, hakuna cha kutengenezwa hapo
picha hizo ni,photoshop jamani, ukiangalia vizuri sehemu aliyokaa lowasa na mwenzake kumetenganishwa na mstari na aliyevaa combat anaonekana kuwa yupo nyuma ya rangi. naamini hii picha haina ukweli na hata kama lowasa alikuwa kwenye kikao basi si kwa hizo picha.