hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,805
Teh teh teh ....
Lizaboni hii habari hukuipata?
Kauzi kanatembea kama subaru.
Uongo... Ccm hawajamuengua fisadi yyte ata uyu magufuli angeenguliwa sema chadema wamejichanganya asa huruma zaidi kwa dr slaa, who will trust his words again? Nitasupot wagombea wote wa majimbo kwa upande wa chadema lakini si lowasa... May b watoe sababu za maana ...japo bado naisapoti chadema 99%...1% naitoa koz of lowasa..
Usengerema Sana,kwa hiyo Lowasa nae ni KAMANDA?
Nimependa pozi la Msigwa, utadhani yeye ndo anasemehewa Madhambi na kutubu mbele ya Jembe Lowasa.
Baregu uso umemshuka kama dume la shupaza
Dr Slaa hajiamini ameweka tabasamu la mamba
Hii haiwezi kuwa photoshop!kama kuna mtaalam wa photoshop anaweza kufanya hivyo nitamualika ...kazi ndio imeanzaaaaa
kazi imekwisha, cdm imejiua kwa tamaa ya fedha.
Hakika hii ndio SI HASA HALISI