Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Uhaini, Uhaini, Uhaini. Kwa zaidi ya miaka 7 Dr Slaa na wenzake wametuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi na kwamba CHADEMA kinakataa usifadi, leo hii wanatumbia nini? What do CHADEMA stand for? Walioto wapi hadithi za Lowassa na ufisadi?

heheheh
Hukuona wengine wanombewa msamaha? Na yeye atasamehewa tu.
 
Huyu mtu anaweza kuandika historia mpya kwa siasa za Tanzania akitaka,kama ni kweli ndo mwanzo wenyewe.
 
Huu ndio wakati muafaka kumtoa mkoloni mweusi, kila la heri CDM, kila la heri UKAWA. Mungu ibariki TZ.
 
Kweli unashindwa kuona hiyo imetengenezwa?
 
kweli wasaliti ndani ya UKAWA bado wapo.
ya nini kurusha hizi picha mapema hivi?
Najua na wewe ni mmoja wa hao waheshimiwa
naamini vyama vinavyounda UKAWA vina maana ya kunyamaza
mpaka mambo yawe sawa sasa huhu kuwahi sijakupenda.
 
Uhaini, Uhaini, Uhaini. Kwa zaidi ya miaka 7 Dr Slaa na wenzake wametuaminisha kuwa Lowassa ni fisadi na kwamba CHADEMA kinakataa usifadi, leo hii wanatumbia nini? What do CHADEMA stand for? Walioto wapi hadithi za Lowassa na ufisadi?
subiri watakwambia, hawawezi kukosa la kusema.
Mungu anasamehe, wewe binadamu ni nani usimsamehe kiumbe mwenzio aliyetubu.
 
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona hafai ahame yeye"

Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of shame".

Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"

Leo hii they all have same mindset!?


Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana, ila ukombozi wako bado sana!

Hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo, na JK aliposema wanafunzi wa kike kupata mimba ni viele hele vyao, aliposema kuwa hajui kuwa kwa nini tanzania nia maskini? haya hayakuwa maneno. Maneno ya kisiasa siyo msaafu. Mbona wabunge wetu huwa wanaapa kutoenda kinyume na katiba lakini baada ya siku kadhaa wanapokea rushwa inakuwa sera yao ya kukwapua.
 
Back
Top Bottom