Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kama n kweli tutashuhudia mengi mwaka huu..
Mungu nipe uhai nione mwisho wa hii ligi
 
Politics bana...

Naamini kuna mengine mengi sana sisi kama wananchi hatuyajui...na kwakuwa yanawekwa kama hatari kwa usalama wa taifa basi hatutakuja kuyaelewa.

Naomba nisichangie sana. Ila namuomba kamnda Pasco aje hapa tuanze kuamini amini...
 
Last edited by a moderator:
Lowassa: "Siwezi kuhama CCM, ambaye anaona hafai ahame yeye"

Mbowe: "Lowassa ni fisadi na yuko katika list of shame".

Slaa: "Hatupokei makapi ya CCM"

Leo hii they all have same mindset!?

Hahaha...Tanzania nchi yangu nakupenda sana, ila ukombozi wako bado sana!
 
hahahaha...kama kweli vile

Safi sana

Ni wiki moja tu inatosha kuubadili Upepo....CHADEMA safiiiiiii...This is Politics
 
Baada ya kuwa kimya muda mrefu ''THE WHITE'' amesema wabunge zaidi ya 150,wakuu wa wilaya ,wa mikoa na viongozi mbalimbali wa serikali nao watanifuata,ndani ya siku mbili kuanzia leo.

Chanzo: Nipo kwenye kikao
 
Back
Top Bottom