Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

picha zimefanyiwa Photoshop hata ukiangalia picha EL aliyosimama katikati ya miguu yake kuna mguu wa 3 unajitokeza sijui ni wa nani?. Anyways time will tell kama Ataenda CHADEMA au UKAWA safari njema ndio ukomavu wa kisiasa tho aende kwa amani hatuhitaji machafuko nchini kwetu. amani mbele siasa nyuma.
 
Ah rafiki mie mdada bwana.Pole.Ninajua JK ndiyo mwenye deal ndiyo nimesema Edo siyo mjinga kihivyo.Kesi ya urais itaibua mengi.Si wengine wapiga kura tu....

Hhaahhahahah...Sorry mdada....hope umnielewa

Kwa hio usiwe na hofu

CDM hua haikurupuki....Maamuzi yote huwa yako well thought....
 
Wakati wale wa ESCROW wanasafishwa, tena bungeni, ulipata picha..??
sikupata pia. lakini waliowasafisha wale wa escrow sio waliowachafua. ungesema kafulila, zitto au filikunjombe ndo waliowasafisha ningekuelewa.
 
Acha kuweweseka wewe gamba. Mwaka huu Urais mtauisikia kupitia kwenye bomba. Gwiji wa siasa za Tanzania tayari keshaingia ulingoni. Safari ya matumaini bado inaendelea. Sasa imezaa safari ya uhakika!
mkuu mimi sio fan wa ccm. lakini nakuhakikishia kwa fitina za ccm hata kama ukawa watashinda hawatapewa nchi. lakini pia nikuhakikishie kuwa ni ngumu sana ukwa kushinda kwa mazingira yaliyopo. lowasa ndo ilikuwa reference point ya akina slaa kwenye ufisadi. leo hii amegeuka mtakatifu? hahaaaa! sijui na slaa naye ayapanda jukwaani kumnadi lowasa! vipi kuhusu lisu?
 
acha kudanganywa picha za kutengenezwa zoote, tena zchunguzen vzur background zlivyokaa na maumbile yao utagundua kuwa zmeungwaungwa tu kisanii, na hii waliyosimama, wamekata picha ya EL wakaiweka kwenye picha hiyo y viongoz wa cdm, angalia hata hawakuwa wanatazamana kila mtu alikuwa na time yake'

Inawezekana ila kuna rafiki yangu kapokea ujumbe toka Kwa EL pia.
 
Hayo ya lissu?
 

Attachments

  • 1438023603541.jpg
    1438023603541.jpg
    138.2 KB · Views: 357
Kumkataa Lowassa ni uchanga wa kisiasa, dola inachuliwa kwa style yoyote ile inayowezekana. CCM wanaua ili kulinda madaraka nyie kumchukua mtu kutoka CCM atakayewaumiza mnaona ni njia haramu ya kupata madaraka, Nawaombeni tukasome Theory za Machiavelli kuhusu Politics (Power) itatupanua uelewa kidogo wale tunaopinga political move ya Chadema kuhusu Lowasa. Halafu political immaturity tusiitoe nje ya group tutakuwa tuna expose our extreme ignorance on politics! Yani kuna watu wanaona ni bora CCM iendelee kutawala kuliko Chadema kushinda dola kwa kumtumia Lowasa. Hawa watu wanawapenda watanzania kweli? Hivi tunavyokuwa tunasema tunataka kuing'oa ccm madarakani tulikuwa tunajua kweli what it takes kukiondoa chama tawala madarakani, tunadhani ni kazi nyepesi? tuiamini kamati kuu ya chadema kama ambavyo tuliiamini kuhusu kumuondoa Zitto Chadema, they know what they are doing, and I even know more of what they are doing. Nitatetea huu msimamo kwa nguvu zote. They have made the right move at the right time, only time will tell you how right we are with this move. Siasa ni science na sanaa at the same time.
kamanda safi sana umenena kwa hisia sana
 
mkuu mimi sio fan wa ccm. lakini nakuhakikishia kwa fitina za ccm hata kama ukawa watashinda hawatapewa nchi. lakini pia nikuhakikishie kuwa ni ngumu sana ukwa kushinda kwa mazingira yaliyopo. lowasa ndo ilikuwa reference point ya akina slaa kwenye ufisadi. leo hii amegeuka mtakatifu? hahaaaa! sijui na slaa naye ayapanda jukwaani kumnadi lowasa! vipi kuhusu lisu?



Siasa hujui weee....ni mchezo, whoever plays it well, will win...!!!
 
chadema lilikuwa tumaini la wanyonge wengi ambao hawakuijua rangi yao halisi,,, ni vema wameonyesha mapema rangi yao halisi kabla ya kupewa madaraka now we know who are they sema hapana kwa ufisadi sema hapana kwa ghiriba za chadema.
 
hapo sasa ndo watanzania watajua kuwa kuna tofaut kati ya viongozi wenye uchu wa madaraka na wale ambao lengo lao ni kuisaidia umma
 
Hayo ya lissu?

Lissu amenena. Huo ndio Mzani sahihi. Ninakubaliana naye mia kwa mia.

Wanaodai watahama UKAWA ni akili ndogo sana, ama hawana maono zaidi ya urefu wa pua zao au ni mijitu ya kitengo na kina Membe na matoto ya JK. Hovyo kabisa.

Yaani wewe kweli miaka yote hii, CCM wamekutendea nini. Wakafie mbali.
 
chadema lilikuwa tumaini la wanyonge wengi ambao hawakuijua rangi yao halisi,,, ni vema wameonyesha mapema rangi yao halisi kabla ya kupewa madaraka now we know who are they sema hapana kwa ufisadi sema hapana kwa ghiriba za chadema.

Muda wa mabadiliko ndio sasa. Tunataka mabadiliko na uwajibikaji. Elewa ndugu. Chadema wajitahidi kule bungeni kadri ya uwezo, lakini sasa UKAWA wanahitaji kulikamata bunge ili tuanze mwendo wa kwenda mbele.
 
Picha kutoka photoshop, hebu cheki jamaa aliyekaa karibu na lowassa alivyopigwa pasi.
 

Attachments

  • edo1.png
    edo1.png
    57.6 KB · Views: 248
Integrity ya CDM na ukawa umekuwa compromised..kamwe upinzani hauwezi kuchukua nchi kwa siasa cheap namna hii!! Kinachosikitisha hatuna mbadala na hawa CCM.I wish nizinduke uzingizini.miaka 50 from now, labda watanzania tutakuwa tumejielewa.Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom